Mungu hutenda makuu . Mimi pia nilizaliwa katika familia kama hii lakini namushukuru Mungu kwamba licha nimepitia changamoto kama zake Antony , nipo katika chuo kikuu nchini kenya na namini kwamba Anthony atafika mbali. Hongera sana na Mwenyezi aendelee kukutenda mema
MUNGU aliamua kumsikilizisha mbele za watu wachache Ila Kwa uwo uwezo wa Mungu na bidii za MILLARD Ayo TV wametu habarisha kwa macho tunaona. Kazi nzuri Ayo TV Iyo sio msaada tu bali ni sadaka (zaka) God ble ss
Mashallah, Anthony nilikuwa nasubiri kwa hamu kuhusu matokeo ya shuleni, nimefurahi sana kwa hatua uliyofikia, Allah akutangulie katika kila lenye khery uzidi kuongoza vizuri katika masomo yako.
Daah ngumu kuamini kwa mazngira alokuwepo Anthony, hiyo ni hatua nzuri Sana mnaobeza na kuona ni Kiki nawaona jinsi gani mlivo hasi kifikra. Mungu amfikishe mbali zaid Anthony. Hongeren waalimu
Asante sana mtangazaji,Mwenyemungu azijaze kheri na fanaka katika kazi zote za mikono yako.Huku Rwanda niliko,ukweli vedeo hii na zingine ulizotanguliza awali zimenigusa zaidi. Mungu akuhifadhi every day, vile ulivyo jitahidi kufanya advocacy kwana dogo Antony na wewe Mungu akuhufadhi usiku kucha! Bwana Antony...much congratulation kwa kazi unayoifanya , kesho ni nzuli!
asante AYO kwa kumuibua Antony, pia wafadhili wake hongera sana. mzidi kupata wanafunzi wengi. endelea kutupa updates za Antony AYO, pamoja na baba yake kuhusu kujengewa nyumba na Maendeleo ya Dada zake. itakua vyema sana
Anton the Great Mungu akupe nguvu na afya ili uipate Elimu hiyo sawasawa maana ndiyo kesho yako. Mbarikiwe familia inayomsaidia Anton, Mungu atawalipa Mara dufu kwa moyo huo.Amen
Hongera walimu pia Anthony hongera sana nauongeze juhudi sinauhakika kama utakua mwalimu nakuona kwenye professional nyingne tofaut. Mungu yupo pamoja nawe
This child will be a reknown lawyer or human rights activist. I see great love in his big heart. Thanks alot Tanzanian who rose up to the occasion in aiding the life of this boy. Remember his father n his two sisters still or may b, i don't know are languishing in the village. Asanteni waTz Kwa roho kwa za ukalimu.
Yaani kila nikiangalia habari za huyu mtoto nalia mimi, kweli namshkuru sana MUNGU kwaa jili ya wote waliomuwezesha pia nashkuru Mungu yeye hufanya njia pasipo njia. 🙏🙏🙏🙏
Huyu mtoto huwa nikimwangaliaga tu nasikia hisia ya upendo ndani yake,, natamn afike mbali,, huyo ni profeser wa baadae,trust me,, ni mwezi tu wa pili sasa lakin mtoto anabidii sana, gob bless him
Huyo sio dogo wa akili za vijana wa kisasa dogo ubarikiwe milele zaidi usimsahau mwenyezi Mungu katika maisha yako kwani maekutowa mbali sana.hongera Anthony.nitataka kupata namba za wazamini wako naishi Marekani nimekupenda sana ahsante.jina langu naitwa Nehemia. Thank you so much Anthony to improve your English faster than we expected.
Wao Antony NGO uli chibhoko kumpeleka baba Polisi yaani moja kwa Moja Mimi nakuhitaji usome hadi uwe Mwanasheria najua haki zitapatika tu ulakoze chane.
Yaan uyo mtoto hamenipatia raha sana kwel kesho yako uijui lakin mungu ndio ajuae kesho yako Antony mungu hakubariki mtoto mzur na viongozi wote mliojitolea kumsaidia uyu mtoto na familia yake kwa ujumla mungu hawabariki pia hata millady ayo mungu hakubariki kaka
Ee ama kweli kazi ya mungu haina makosa na mungu atabaki kuwa mungu. Poleni wote mlioguswa na msiba huu mzito wa maria na consolata! Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwangazie wapumzike kwa amani. Amina!
I am always in tears listening to this because its proves alot that God lives and reigns in every soul and everything that happens is for the glory of God
Anajua ila hana makuu, na anaonesha n kweli walimu wamekuwa msingi kwao, na anawafagilia walimu wake.. Hongereni sana walimu Mungu awalipe kwa kadiri ya upendo wenu
Pronunciation yake ya kiingereza is so amazing..Huyu dogo might be somebody in future InShaAllah
mambo ni moto hongera antony mungu akutangulie mwanangu😍😍😍😍
Aggy George kabisa mpnz mambo ni fire😂😂😂
walimu pia hongereni sanaaaaa
Leah Alone kabisa na mtto pia anabidii
Kwanza kaanza na kuamkia na anavyojibu maswali sasa
Khadija Mbuta
Mungu hutenda makuu . Mimi pia nilizaliwa katika familia kama hii lakini namushukuru Mungu kwamba licha nimepitia changamoto kama zake Antony , nipo katika chuo kikuu nchini kenya na namini kwamba Anthony atafika mbali. Hongera sana na Mwenyezi aendelee kukutenda mema
we have a genius here thanks so much for your help Millard Ayo & the government. God bless you more and keep the good work... Love Love Love
Shukran sana Ayo TV hizi ni habari tunazozihitaji ambazo zinasaidia watoto wengine waweze kujitahidi si udaku wala umbea ila ni maendeleo tu.
asha ali fact
mungu awe mbele yake
Mungu akutie nguvu mdog wangu vizul san
Mungu akutangulie Anthony
@@anicethwillbroad2859 .mungu akuwe nawe bro
MUNGU aliamua kumsikilizisha mbele za watu wachache
Ila Kwa uwo uwezo wa Mungu na bidii za MILLARD Ayo TV wametu habarisha kwa macho tunaona.
Kazi nzuri Ayo TV
Iyo sio msaada tu bali ni sadaka (zaka) God ble ss
Ongera SNA mungu akutangulie
Hakika mungu atakufanyia zaid
Nashukuru Mungu wa mbingun huyo mfadhili wa Anton hapo anapotoa parudi maradufu na biashara/kaz yke vikapate Kibal mbele ya Mwenyeenz Mungu
Well done Antony petro
Kumbe kesho ya Mtu anaye ijua ni Mungu tu.
Safi sana
Hadi kanenepa
Andrew John kweli mpendwa binadamu tunazulumiana sana Mungu hakupenda akaona amuangazie nuru
maryam oman
Ameen
lugendo pius
Kweli kabisa shavu dodo
Good
Mashallah, Anthony nilikuwa nasubiri kwa hamu kuhusu matokeo ya shuleni, nimefurahi sana kwa hatua uliyofikia, Allah akutangulie katika kila lenye khery uzidi kuongoza vizuri katika masomo yako.
Saumu Hassan sana
mtoe mchango sio kusifia tuuu ndo tatizo la watanzania
Daah ngumu kuamini kwa mazngira alokuwepo Anthony, hiyo ni hatua nzuri Sana mnaobeza na kuona ni Kiki nawaona jinsi gani mlivo hasi kifikra. Mungu amfikishe mbali zaid Anthony. Hongeren waalimu
Daa!!!
Huyo mtoto anton
Tunampenda
Mwe mnamfatilia kiramda
Hata wazungu hiku
Marekani
Wana shangaa maishayake
Alio yapitia
Tukiwa tafsilia
Machozi ya furaha yamenitoka..Mungu atazidi kukuongezea juhudi mdogo wangu uje ufikishe ndoto zako👏👏👏
husna Basher mimi ni mefurahia aki huyo mtoto ana akili
husna Basher sana
Cute love
@@seknorebon2072 nic
nice mungu akujalie ufikie malengo yakot
Bismillah maa shaa Allah
ANTHONY
M.mungu akubariki
safi mtoto
Fally me too 2 mungu akuongeze akiri
Nyota ya kila mja Mola ndiye aijuaye.
Japo nime chelewa lakini huyu mtoto NI genius kuliko Mimi akili kujiamini🤗 MUNGU asikupungukie maisha yako na ukuwe na hekima na maaarifa ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
am a Ugandan hv been following Anthony'story may de almighty Allah bless him
I see my boy
Going very fair GOD blessed
all the time
Daaah walaahy Anthony mungu akutangulie San utafika mbali mdogowang inshaallah
daaa
Masha allah Anthony mungu akuongoze katika masomo yako katt kana akili haka
Ama kweli Mungu ni muweza
Mungu akutangulie Antony uje uisaidie jamii inayowazunguka
Rahima Juma mungu akuongoze ufikie malengo yako
Rahima Juma amen God bless him
Munhu akubaliki mdg wangu
wooow Mungu mukubwa mtoto Antony Hongera
Nzisa Kasau sana
Nzisa😂😂😂 we mwanamke uko kila mahali ka corona 😂😂😂😂
@@Ms.Mulambe 🤣🤣🤣huku ni home
@@nzisakasau8234 😂😂😂😂
@@Ms.Mulambe 🤣
Kila jambo linakusudi LA mungu. Antoni mungu akuongoze na akupe maisha malefu. Mimi nitapenda kufatilia talifa zako maana nasikia fulaha kweli.
this so amazing I wish I could educate him hear in kenya
Nashukuru Sana selikari ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania kwa mambo yote mnayomfanyia mtoto Antony bilashaka motto huu ni shujaa ya kesho! Asanteni
This is one of the very educative channels big Millard ayo vontinue to empower the society positively
hongeren amani vumwe...hongera rafiki yang head loti ..
your doing good job
Congrats Antony, we truly need a clever boy like u ,don’t give up n keep going further.
k
Asante sana mtangazaji,Mwenyemungu azijaze kheri na fanaka katika kazi zote za mikono yako.Huku Rwanda niliko,ukweli vedeo hii na zingine ulizotanguliza awali zimenigusa zaidi. Mungu akuhifadhi every day, vile ulivyo jitahidi kufanya advocacy kwana dogo Antony na wewe Mungu akuhufadhi usiku kucha! Bwana Antony...much congratulation kwa kazi unayoifanya , kesho ni nzuli!
asante AYO kwa kumuibua Antony, pia wafadhili wake hongera sana. mzidi kupata wanafunzi wengi. endelea kutupa updates za Antony AYO, pamoja na baba yake kuhusu kujengewa nyumba na Maendeleo ya Dada zake. itakua vyema sana
Anton the Great Mungu akupe nguvu na afya ili uipate Elimu hiyo sawasawa maana ndiyo kesho yako. Mbarikiwe familia inayomsaidia Anton, Mungu atawalipa Mara dufu kwa moyo huo.Amen
mashallah antoni nakupenda mwanangu mungu akutanguliye
Hamida Ibrahim kabisa
Mungu mwema Sana Antony Mungu akutangulie baba
A good student. I would be very Proud to be his teacher.
Mungu mwaminifu kweli hakuna muombaji atakae nyimwa mungu akupiganie mwanangu 👏👏👏👏mungu atakufikisha
Hongera walimu pia Anthony hongera sana nauongeze juhudi sinauhakika kama utakua mwalimu nakuona kwenye professional nyingne tofaut. Mungu yupo pamoja nawe
Daaah huyo ticha nimejaribu ku zoom plate number naona inasoma namba D...two thumbs up 👍
This child will be a reknown lawyer or human rights activist. I see great love in his big heart. Thanks alot Tanzanian who rose up to the occasion in aiding the life of this boy. Remember his father n his two sisters still or may b, i don't know are languishing in the village. Asanteni waTz Kwa roho kwa za ukalimu.
Safi sana mdogo wangu Antony,,, MUNGU akuongoze na akushike mkono mpaka mwisho Amen,,,
Yaani kila nikiangalia habari za huyu mtoto nalia mimi, kweli namshkuru sana MUNGU kwaa jili ya wote waliomuwezesha pia nashkuru Mungu yeye hufanya njia pasipo njia. 🙏🙏🙏🙏
Nyaso Jasmin Kweli
Nyaso kweri kabisa video ya mtoto eshii huluma sana
Nyaso Jasmin anton ukue kichwa umkumbuke baba yako
amen amen Mungu ni mwema
Manager wa shule kumbe ndio mfadhili mkuu Mungu ampe baraka zaje
Huyu mtoto huwa nikimwangaliaga tu nasikia hisia ya upendo ndani yake,, natamn afike mbali,, huyo ni profeser wa baadae,trust me,, ni mwezi tu wa pili sasa lakin mtoto anabidii sana, gob bless him
Grace Joseph huyu in raisi wa baadae
Grace Joseph ...Mungu ni Mwema azidi kumbariki Anton aweze kusoma kwa bidii na kufaulu kt masomo na maisha yake.
Michael Haule kabisa kabisa
god bless all of you walim wote
Grace Joseph sana
Mungu azidi kumsimamia mtoto mzuri kabisa😍😍😍😍❤😍😍😍
Nyaso Jasmin Ameen
Pole sana mdogo wangu mungu ata yupo pamoja na wew ata kusaidia kwa uwezo wake wote nawa shukur pia wadhamin mungu awa jaalie amina.
I love this Guy hahahahaha Bless up my Antony Genius
😀God is Good..,i think ataweza n atafikia his target...all the best Antony🔥👏
Huyo sio dogo wa akili za vijana wa kisasa dogo ubarikiwe milele zaidi usimsahau mwenyezi Mungu katika maisha yako kwani maekutowa mbali sana.hongera Anthony.nitataka kupata namba za wazamini wako naishi Marekani nimekupenda sana ahsante.jina langu naitwa Nehemia. Thank you so much Anthony to improve your English faster than we expected.
Allah akufanyie wepesi kwakila jambo
Mwana Khatibu ameen
Mwana Khatibu ameen
Well done Anthony
Safi sana dogo...siku moja utakuja kuwa mtu muhimu hapa Tanzania...Mungu akulinde
Hongera sana baba uliejoto kumsaidia mtoto huyu mungu akupe maishaarefu na afya njema
Hongera mtoto mzuri mwenyezi mungu akusaidie
Wowww god job walimu hongereni sana Mumefanya kazi zuri sana
Antony hongera sana,mwenyewe ulisema unataka usome kisha uwe mwalimu kisha usomeshe watoto wenzako
Mungu yu mwema...kila binadamu ni wa kipekee sana. My Almighty God bless Antony
Safi sana Antony utafika mbali mungu akutangulie katika Hiyo safari yako
Antony utafika mbali sana mdogo wangu
Nikweli kaka mkali
wewe mkali kweli aroooi
mkali wenu original please subscribe ni kwel mkal
mungu akubaliki mtoto Antoni usonge mbele
Mashaallah utajuat mdogo angu mwanz mgum
Good job Anthony, hongera kwa walimu wake pia
Mungu awabariki sana MILLARD AYO TV na mfadhiri wa huyo mtoto Mungu anaona unachokifanya na atakuongeza ulipopunguza amina
Elizabeth Mapunda sana
Mungu akusimamie kwakila jambo mtoto mzuri
safi sana dogo anton
Geraldine from Burundi Bujumbura hongera sana mtoto mzur!!!
Wao Antony NGO uli chibhoko kumpeleka baba Polisi yaani moja kwa Moja Mimi nakuhitaji usome hadi uwe Mwanasheria najua haki zitapatika tu ulakoze chane.
Mashaalla mtoto upo viziri sana mwenyezi mngu akuzidishie uwezo wa zaidi na zaid
Ongera sna Anthony ALLAH atakufnyia wps utafika mbali zaidi
Machozi ya furaha imenidondoka Mungu atatenda mengi zaidi juu Antony
daaaaah Antony kabadilika mpaka nimemkumbuka Mwl BILAGO kuwa Serikali acheni wivu msiwabughudhi Shule Binafsi
Anthony all the way from Kenya we wish you all the best young bro.... You have a bright future don't loss focus just focus
Mambo ni moto mungu akutangulie akulinde ufanikiwe ktk maisha yako
Dah nimekubali alipangalo MUNGU hakuna wakulipangua Jah akubless mdg angu Anthony na pia Ayo TV pongezi sana
hongereni walimu kwa kazi nzuri mnayofanya.
Joyce mashikolo. Sana
Joyce mashikolo.
I used uyyuyuuy
hongera walim na athon kwajud zen
Meresiana Were sana
Yaan uyo mtoto hamenipatia raha sana kwel kesho yako uijui lakin mungu ndio ajuae kesho yako Antony mungu hakubariki mtoto mzur na viongozi wote mliojitolea kumsaidia uyu mtoto na familia yake kwa ujumla mungu hawabariki pia hata millady ayo mungu hakubariki kaka
asante bwana yesu
nakaombea sana jamani
mungu ni mwema
Mwenyez mungu akuzidishie wepesi
Allah akupe afya uweze kufanya vzr zaidi mtt antony
Asia Zuberi Ameen
💃👏👏👏mungu akutangulie zaidi na zaidi Anthony 🙏
Mungu azidi kukulinda mwanangu na akujaliye ufikiye Ndotozako ayidha malengo yako kiujumla 🙏🙏👏👏 +1
Mola azidi kukufungua akili na macho Antony hongera mdogo wangu
siz nic mungu wa mbinguni akufanikishe kipekee Anton.
Bertha Mtasha majaliwa mungu ako pamoja na dogo Antony
molaa akuongoze
Aisha Kilindimo Inshallah ya"rabby
nice
Wow. It is so amazing . Good luck Antony. Your so intelligent.
Ee ama kweli kazi ya mungu haina makosa na mungu atabaki kuwa mungu. Poleni wote mlioguswa na msiba huu mzito wa maria na consolata! Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwangazie wapumzike kwa amani. Amina!
Nashukuru sana kwa mafanikiyo ya huyo kijana Anthoni mungu amubariki..
We want such touching stories, sio kila cku weme, diamond harmonize# from Kenya, kura yangu mkonayo.
Dogo nakukubali sn,nakuelewa mno...big up sana Dogo janja
Ako very polite, such a bright star
Woooow vzr xna komaaa Matt mzur mungu n mwem kexho waweza kuwa kiongoz serikalini😍😍😍😍😍
Loveness Humphrey h
Loveness Humphrey sana 🔥🔥🔥
Mungu ni mwema sana,,,najihisi faraja sana kumsikia huyo Mtoto,,,mungu amuongoze afikie malengo yake
Mungu akulinde antony ufanye vizur
Maashaallah, mungu azidi kuku ongoza utafika mbali kwa rehma zake
Mungu mjalie awe kichwa na si mkia katika maisha yake daima
I am always in tears listening to this because its proves alot that God lives and reigns in every soul and everything that happens is for the glory of God
Mungu akusaidie ufike mbali na uje uokoe familia yako na jamii yako ...Mungu akusaidie
God is God of mercy,,, this boy is a BLESSING,,
mashalah MUNGU akiongoze mdgo wig👍👍👍👍
Asante Mungu kwa ajili ya ANTHONY
Kama umegundua huyu mtoto atakuwa kiongozi badae gonga like hapa ❤️
mtoto wa maisha nduni ndiye anayefanya vizuri katka masomo yake
Joshua Samson acha umama usikariri
Sasa hivi yupo darasa langap
Masha Allah mtt khodari sana Allah akufanyie wepes kwenye masoma yako na watt wetu pia
Kweli mungu akipanga lake hata uwe kwenye chimo atainua watu wakuinue tuu mungu akutangulie katika masomo yako mtoto acha mungu atukuzwe
Mwadishi umefanya KZ nzuri sana MUNGU akubariki
Waaoh! Antony Mungu akuongoze ufike mbali.
Aisee huyu mtoto Mungu amjalie neema,ataenda mbali sana
Mungu akuinue zaidi akutetee mtoto mzuri
Uko vizuri sana mungu akujarie zaidi
Educatn dvpt will improve each day. Congrant mdogo wang
God bless you Anthony, will ur family 🙏🙏
Ubarikiwe sana na weee mwanahabari uliefanikisha msaada wa Anthony
Anajua ila hana makuu, na anaonesha n kweli walimu wamekuwa msingi kwao, na anawafagilia walimu wake..
Hongereni sana walimu Mungu awalipe kwa kadiri ya upendo wenu
This guy z extra Brigh.Antony go on ma boy am alwayz praying for u to success
well done Anthony... mungu akutangulie zaid @
hongera Anton
Mungu akubariki Antony na akuongezee ujuzi zaidi.