ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MASHIRI SDA CHOIR VOL 6, COMING soon. JIANDAYE KUBARIKIWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 27

  • @endrosdakwayakaratu2955
    @endrosdakwayakaratu2955 6 หลายเดือนก่อน

    Acheni kazi ya Mungu isongembele na malengo yenu zishindwe kwa jina la Yesu

  • @cecygeofreydeusdedith9312
    @cecygeofreydeusdedith9312 6 หลายเดือนก่อน

    mungu hawabariki nimeupenda huu wimbo jamani fanyeni mtupe wuote

  • @pamelamshana6180
    @pamelamshana6180 6 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali Sana mbarikiwe

  • @RayMwanja-yj8li
    @RayMwanja-yj8li 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo ni Za mungu sis huku hatujawah kusikia hao endro tumeusikia kwa mashir pigen mzik nyimbo za din hazna mwenyewe sisi tunabarkiwa tu mashir songa mbele niko mbya nawafuatilia sana toka zaman

  • @endrosdakwayakaratu2955
    @endrosdakwayakaratu2955 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi zuri Sana Mungu hawatangulie mfike mbali hakika Mungu anastahili sifa

  • @user-ld7pt4cb1r
    @user-ld7pt4cb1r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Like songambele sda choir❤❤🎉🎉

  • @endrosdakwayakaratu2955
    @endrosdakwayakaratu2955 7 หลายเดือนก่อน

    Eee Mwenyezi Mungu tutakusifu milele na milele Amina🙏

  • @user-ot3ib3xi2s
    @user-ot3ib3xi2s 6 หลายเดือนก่อน

    Msiimbe nyimbo za watu mkifanya hivo mtafka mbali huo wimbo ni wa endro sda acheni kuwafanyia hujma wenzenu mungu awasaidie

  • @HildaHildasamwely-ph3lt
    @HildaHildasamwely-ph3lt 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba wa Mbinguni awabariki sana mfike mbali ❤❤

  • @endrosdakwayakaratu2955
    @endrosdakwayakaratu2955 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu hawaongoze mfike mbali tunawaombea wapambanaji wenzetu msonge mbele hakika Mwenyezi Mungu anafaa sifa heshima utukufu Amina🙏🙏🗣️♥️

  • @malimajr8708
    @malimajr8708 7 หลายเดือนก่อน

    Kama muonekano utakuwa huo ni kiwango cha chini Sana,Ila wimbo mzuri

  • @fadhilinyagwegwe431
    @fadhilinyagwegwe431 7 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe ,,,❤

  • @malimajr8708
    @malimajr8708 7 หลายเดือนก่อน

    Nuimbo za Kumsifu Mungu zinapaswa kuimbwa kwa utulivu,

  • @user-ot3ib3xi2s
    @user-ot3ib3xi2s 6 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuimba nyimbo za watu mkifanya hivo mtafka mbali huo wimbo ni wa endro sda acheni kuwafanyia hujma wenzenu mungu awasaidie 😢😢😢😢

    • @endrosdakwayakaratu2955
      @endrosdakwayakaratu2955 6 หลายเดือนก่อน

      Endro ipi mkuu

    • @heraldsministerssori2023
      @heraldsministerssori2023 6 หลายเดือนก่อน

      User hata Endro wanashangaa na wewe 🤣

    • @user-ei7cr1lh9n
      @user-ei7cr1lh9n 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@endrosdakwayakaratu2955mmmmmh

    • @user-ei7cr1lh9n
      @user-ei7cr1lh9n 6 หลายเดือนก่อน

      Acheni kujichomoa betri huo wimbo niwa endro

    • @JeneeWilson-xh9ec
      @JeneeWilson-xh9ec 6 หลายเดือนก่อน

      Shida ni baadhi ya waimbaji na waalimu kutokua waaminifu kuna watu wakihama wanahama na nyimbo zao