My fav❤ Kurundi kwa Yesu arudilie burundi, Nataka kuje mucongo ni mubebe kumugongo, Niende naye zambi tuone wenye zambi, Niende bulaya sitakua Malaya.. Mama 👏👏🤗🤗🔥🔥 Papa karibu Shiloh pentecostal international kesho,jukwa liko tayari,we are waiting eagerly 🙏🏽🙏🏽
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu, nakumbuka mulipokuja kwa kabisa pale kenya, Mimi ndo nilikuwa naandaah chakula chako mtumishi wa Mungu, na ukaacha unanibariki kwa kutuombeya wapishi wote na Mm pasta wetu mukanisa la Redeem gospel church kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki Pastor Ushindi kwa wimbo wako uliojaa upako na maneno ya hekima. Napenda nyimbo zako zimejaa mafunzo na maonyo. Napenda jinsi unahudumu kwa nyimbo zako,maneno yaliojaa hekima na mafumbo
Powerful one
Pastor ulinyamaza sana
Nina hudumu si biacha sina hanja mungutu njo ananitocha
Pasteur ubarikiwe sana mchungaji....ujumbe umefika
Kweli dunia ni soko kubwa kama wakristo watajuwa walico tumwa, kazi ni nyingi ila watenda kazi ni wacace!! Ubarikiwe baba.
Nakupenda sana pasteur
My fav❤
Kurundi kwa Yesu arudilie burundi,
Nataka kuje mucongo ni mubebe kumugongo,
Niende naye zambi tuone wenye zambi,
Niende bulaya sitakua Malaya..
Mama 👏👏🤗🤗🔥🔥
Papa karibu Shiloh pentecostal international kesho,jukwa liko tayari,we are waiting eagerly 🙏🏽🙏🏽
I miss many of your songs on here..kama ile ya kunguru na njiwa...where can i get them
Such for pastor Emmanuel Ushindi.. Mali ya wizi .. Dunda Mu Yesu... Nimejificha china ya Mwamba... ubariki sana Mchungaji Pastor Emmanuel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇩🇨🇩
Napenda sana uimbaji wako wa pekee, wimbo wako mmoja sawa na nyimbo tatu za kawaida naomba endelea kuwa unique hivyo hivyo mtumishi wa Mungu.
Neema na ushindi wa kristo ukuhuluku mchungaji.
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu, nakumbuka mulipokuja kwa kabisa pale kenya, Mimi ndo nilikuwa naandaah chakula chako mtumishi wa Mungu, na ukaacha unanibariki kwa kutuombeya wapishi wote na Mm pasta wetu mukanisa la Redeem gospel church kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
Nyimbo zako mchungaji zinanitia wazimu kabisa ubarikiwe mtumishi wa Mungu 😊
Me too Chanel yake inaitwa? I really wants to follow him
Chukrani niombeytu assnte nipaT uchindi
one of the most realistic singer i know mafundisho kibau
Mziki mzuri...salamu kutoka Tanzania
Simati kabisa❤❤❤❤❤
Thankyou Pastor I'm following you from Tanzania 🇹🇿
I like your songs,sana ile ya wazazi it touches me
This song inanipa ufahamu sana na ili ya mama
I lv it
We miss you ushidiiiiii we need more of your songs na mahubiri please
Kukosa maongezi kati ya bibi na Bwana ni kama Mazishi ya maendeleo yao.... powerful. Mungu akubariki Pastor Ushindi
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
Listening to you is enough..it's like listening to a sermon in church
Mungu akubaliki mchungaji
Pastor mimi nakupenda sana. Wacha mungu akubari
Ubarikiwe tena pasteur wangu❤
Ubarikiwe nabwana wetu Yesu Christo .
God Bless man of God , Pastor Emmanuel Ushindi . 🇰🇪🇨🇩
Halljuah nakufuatilia nikiwa Kenya nakupenda sana pastor
This song 🔥🔥🔥🔥🔥 inaongea sana
Underrated song it should have 1 million viewers
Nimekuona ukihubiri Bunia congo
Nyimbo za mguso wa roho mtakatifu barikiwa mchungaji
Nasikiya Muzuri sana na ihi song
Mungu akubariki Pastor Ushindi kwa wimbo wako uliojaa upako na maneno ya hekima. Napenda nyimbo zako zimejaa mafunzo na maonyo. Napenda jinsi unahudumu kwa nyimbo zako,maneno yaliojaa hekima na mafumbo
Waaaaaah!!! Pastor Emmanuel. I really love your songs,,so inspiring.may God bless you
Ungali wa kwanza kwa kuimba Gospel Grang Frère maana nyimbo zako zina hekima nyingi.
Much love from Kenya pastor Ushindi,all the way from Dunda mu Yesu vol 1 to date. Kazi safi
Iam watching this song from Tanzania 🇹🇿 dar es salaam kariakoo today Thursday jul 23/24
Napemda nyimbo zako Sana Pasteur Ushindi
🥺🥺 oh Yesu kristo mpenzi wa kweli na majira inayo faa na isiyo faa Asante Yesu rafiki mwema
Barikiwa Sana mutumishi
Hongera sana mtu wa mungu
Mfano yako yamuhimu sana mzehe wetu mchungaji mwema asante sana kbsa
Pastor we love you toi much.
mon favorites artist ushindi u never disappoint me,good blaise you
Spirit filled song. Appreciating from Tanzania
Pastor Ushindi you bless me always with your songs
Now this is what my heart wanted ,,, exactly what I wanted and oooh, I got it. My heart found what it wanted.
Mtumishi USHINDI, Mungu akubariki kabisa. Nasikia nyimbo zako tangu siku nyingi na zinanibariki kila leo. Endelea katika Yesu Kristo.
Powerful messages God bless you abundantly pastor ushindi Emmanuel
Nabarikiwa nikiwaa Tanzania
siku mingi muze wetu. karibu tena
Muze wangu nakubali sana niko south Africa lakini na kubulie sana
Mungu azidi kukuinua Pastor...Mpenzi wa kweli ni Yesu
I'm in love with this song🎉🎉
Baba nakukumbuka God bless you.From Zambia
Mubarikiwe tunakunja bila muchezo
Hizi nyimbo zako Baba zinanifanya nipate kichaaaa,,,nazipendaaaa sanaaaa mbaka nachanganyikiwa.Mwaaaaaa Glory to GOD almighty.Alelluyaaaa
Barikiwa
Mutumishi Mungu akubariki wimbo huu unanijenga
Unanibariki sana kbs mutumishi izo rumba zakwako very very good blessed babayangu
From American
Mutu mwenye ali tumwa na mungu hishake papa merci ku nyimbo🎉
Msg zako zina akili sana Mungu akubariki mchungaji
Ubarikiwe Mzee ! Always the best
Baba una waza mingi kabisa
Nice song ,, pastor,,may God's blessings locate u forever,,,,,,,true ,,🙏
Barikiwa
Mrc kwa chahuri
Papa Emmanuel God bless you abundantly love you MOG
Weye ipo Siku Mungu atakulipa
Ubarikiwe bb
What a voice 👍 Sister 👍
kali sana Kamanda wa Yesu
Hii safi sanaaaaaa.loving n blessed
Nakuelewa mtumishi kweli unanikuza Iman barikiwa pastor E.Ushindi
❤❤❤blessings after blessings
natafuta wimbo wako unaoitwa hadithi joo, kindly upload it
Napendaka mifano yako sana❤
Nimejazwa kupitia hii wimbo Mungu azidi kukubariki pastor Emmanuel.
Amen Amen Amen Pasteur Emmanuel Ushindi kwa wimbo uyu , Mungu aendeleye kuwatiya nguvu, mimi ni fans wako kutoka burund
Bariwa ndugu nilepitiya lengi bautolbeyetu Mungu atanganzwe kwasayti kubwa barikiwa
Barikiwa
True inspiration song with godly meanings... Mpezi Yesu
Nimesikia aman kupitia huu wimbo mungu akuongezea hekim nakupenda Sanaa pastor ushindi
Amin
Yesu anatosha, my best gospel singer
I love how you emphasize diving into salvation,..kujitupa tu
God bless you
haki Napenda huyu pastor Kundos mtumishi wapi album full
My favourite person i will listen a million times.
Musically you remain my role model.
I always love your hits
Great song yesu milele 🎉🎉
You bless my heart Pst Emmanuel
Ubarikiwe Papa Ushindi.
I would like to meet this man of God
Amen ubarikiwe papa Manue Mungu azidi kukutumia kwa njia zote na uzidi kuenda mbele katika uduma🙏 respecte.
Asante napokea wewe nisaidiye kutabgaza yesu nawilbohuu
@@emmanueluchindi8863 🙏 yote ni kwa utukufu wa Mungu🇨🇩🇨🇩
Nice song .God bless you richly mzee na mama
Ouah! Merci beaucoup pasteur.
🎉Kunguru nanjiwa on Spotify
wow this song attended literature class papa
Ushidiiiiiiii we love you Daddy
Mes félicitations pasteur !
Mungu asifiwe na awatumiye sana...❤
Mashahiri MotoMoto.
Ukienda ulaya autakuwa malaya