Few people are destroying our beautiful cultural.these people are from main land and they destroying our culture and our traditions may Allah protect our generation 🙏. Free Palestine 🇵🇸 ❤️
Wapo wengi wazawa. Nimekuwa huko muda. Sio wanguja tu hadi wapemba. Hata Nairobi, Mombasa, Lamu, Tanga wenyeji na wasomal wanauza sana. Hawaogopi itikafi tena. Ni janga la dunia zima. Hata Dubai mapakistani, wahindi na waarabu huko Deira na vilabuni wanapishana peupe na machangudoa ya kutoka Uganda, Naijeria, Ethiopia na Somalia. Yaani tabu bin taaban. Kila sehemu ni ufuska. Usishangae ya Zenji ni janga limekuta umma mzima na duniani pote. Nguvu ya sarafu.
Ninaelewa wasiwasi wako kuhusu mabadiliko yanayoletwa na utalii Zanzibar. Utalii unaweza kuleta athari nzuri na mbaya pia. Ni vizuri watu kufurahia Zanzibar, lakini ni muhimu pia kulinda tamaduni na mazingira yake
Ao ni wabongo sio wa zanzibar haya ndio mambo tulioletewa na muungano na hizo ndio faida za muungano ndio maana tunaukataa hatutaki maadili yetu yabomolewe na wageni ila viongozi wetu tulioekewa hawawezi kusema wala hawawezi kukemea
Umegusia jambo muhimu kuhusu athari za muungano na utalii kwenye maadili ya Zanzibar. Ni kweli kwamba ni changamoto kupokea wageni huku tukilinda tamaduni za wenyeji. Mazungumzo kama haya ni muhimu sana ili kupata uwiano huo
Yani kwa upande wa kisiwa cha zanzibar kwa kiwango cha pesa wanachoingiza kwenye sekta ya utalii awawezi tena kudhibiti mmomonyoko wa maadili kwa sababu wao wame focus kwenye pesa na sio uzalendo tumuombe sana mungu atuepushe na mabalaa yani hapo kisiwani kuna madudu yanafanyika mara mbili zaidi ya Tz bara wazungu sio watu wa kuwaachia ovyo ovyo
im feeling bad that i have lived in Sweden for a year and half now, and i only speak little Swedish, but bro u have been living in Tanzania for 10 years and u cant speak Swahili? Swahili is like the most easiest language
@maverickcreativesolutions8285 lied to me? Swahili is obviously an easy language to learn. I know that because it's my mother tongue, and I have friends from all over the world who learned it in just a few months
@ArchitectRussell when u decide to move to another country, I think it's always good to learn their language, its like showing appreciation or respect to locals
Watch Nightlife in Dar Es Salaam: th-cam.com/video/HLJKPouUnqc/w-d-xo.htmlsi=pamtcdnyiJGT9Tqn
All people in the bar they come from Tanzania mainland we zanzibarian we do do them
I love you
May Allah Almighty protect the ppl of zanzibar from all evil.
Ameen ya Rabbal aalemeen
This guy is SHAMLESS... and I love it😂
Kumbe Zanzibar iko hivi 😎 #tobaaaa
WABONGO HAO WANATAFUTA BIASHARA ZANZIBAR
@@fakihdarusi4385 Balaa zito hili kwakweli 🤔
@@fakihdarusi4385 wengine wazenji kabisa unafikir zanzibar km oman eeeh nyie wenyewe washenzi tu
@@ChoroTesla Kuwa na adabu basi japo kidogo ijapokuwa hukufunzwa hivyo namamaako 😎
Eh Russel ana kula bataaaa!
I would love to visit there someday
Bro I got have to come in Dar es salaam so we can make a collabo 😂😂 that’s amazing Video bro
Fantastic! The food is not for me though 😂😂
Touristic places prices
@@MrIsma75I thought this was a local bar though? When I went it seemed very local.
Few people are destroying our beautiful cultural.these people are from main land and they destroying our culture and our traditions may Allah protect our generation 🙏. Free Palestine 🇵🇸 ❤️
Chui chui bebebeeeee
😂
😂😂😂😂😂😂
Mzungu yuasema Chui Chui ana stink na bado tu amemchukua akaenda naye,Daah!😂😂😂
CHIPS KUKU FOR 22,000 THAT'S A RIP-OFF
AO NI WABONGO
Kama wewe sio mzazibar huwezi kufahamu, sasa hivi sio wa bongo tu wazanzibar wenzetu wamekuwa hatari kuliko wabongo
@@yusuphjafarijr7583sehem gani wazanzibar wanajiuza hadharani hebu niambie,twende kwa ushahidi
Kuniuza hadharani kujiuza kwa kujificha zote hazifai @@khamisBaharia
Wapo wengi wazawa. Nimekuwa huko muda. Sio wanguja tu hadi wapemba. Hata Nairobi, Mombasa, Lamu, Tanga wenyeji na wasomal wanauza sana. Hawaogopi itikafi tena. Ni janga la dunia zima. Hata Dubai mapakistani, wahindi na waarabu huko Deira na vilabuni wanapishana peupe na machangudoa ya kutoka Uganda, Naijeria, Ethiopia na Somalia. Yaani tabu bin taaban. Kila sehemu ni ufuska. Usishangae ya Zenji ni janga limekuta umma mzima na duniani pote. Nguvu ya sarafu.
Explore more clubs in Zanzibar please 😅🙏
Will do!
bro was too high at the end lol
Did that guy just order Ugali and have Russel order Mbuzi and Kuku and Chips? 😆😅🤣😂
They didn’t have anything else besides kuku and chips
Wee mzee ni noma na malaya ukasepa nae adi magetoni 😅😅
Haha, naona umeleta mzaha kwenye mazungumzo! Hadithi za usiku zinaweza kuwa na vituko, hasa ukiwa na ‘mzee’ kama huyo karibu!
Thanks for the Video :) but not for me, neither the food nor the party vibes. Thailand is calling 🎉😅
😂
That's the sketchy part. Zanzibar is a party vibe. Go yo Nungwi during full moon if you are into this sort of thing
Wanaichafua zanzibar tu mbwa hawa
Ninaelewa wasiwasi wako kuhusu mabadiliko yanayoletwa na utalii Zanzibar. Utalii unaweza kuleta athari nzuri na mbaya pia. Ni vizuri watu kufurahia Zanzibar, lakini ni muhimu pia kulinda tamaduni na mazingira yake
@@ArchitectRussellgood point ❤❤
Sisi wenyewe tembea uone je utakubal ktk nyumbaykomtu alewe ukiona mtu analewa kwako jiylize ni kwangu au nimepanga
Hao wa usiku sio wazanzibar ni wakuja kwa kazi hiyo tu ya kuuza K
Tembea uone Wazanzibar cc wenyewe wabongo wao wapo ila ss tumefirutu ada
Hakuna kitu kama hicho Zanzibar . Tumezaliwa na kusoma mpka kuwa wakubwa!hayo ni mambo ya kuletwa tu
Baa zipo toka mapinduzi uhuni wa zanzibar kautaka mzanxibar mwenyewe
Hii baa ndio Karume kauliwa. Haya mambo yamekuwa tangu kabla ya Mapinduzi na yatazidi kuwa.
Ao ni wabongo sio wa zanzibar haya ndio mambo tulioletewa na muungano na hizo ndio faida za muungano ndio maana tunaukataa hatutaki maadili yetu yabomolewe na wageni ila viongozi wetu tulioekewa hawawezi kusema wala hawawezi kukemea
Umegusia jambo muhimu kuhusu athari za muungano na utalii kwenye maadili ya Zanzibar. Ni kweli kwamba ni changamoto kupokea wageni huku tukilinda tamaduni za wenyeji. Mazungumzo kama haya ni muhimu sana ili kupata uwiano huo
Yani kwa upande wa kisiwa cha zanzibar kwa kiwango cha pesa wanachoingiza kwenye sekta ya utalii awawezi tena kudhibiti mmomonyoko wa maadili kwa sababu wao wame focus kwenye pesa na sio uzalendo tumuombe sana mungu atuepushe na mabalaa yani hapo kisiwani kuna madudu yanafanyika mara mbili zaidi ya Tz bara wazungu sio watu wa kuwaachia ovyo ovyo
@@stewartkilewo4433😂😂Good point 👏👏👏
hao ni WATANGANYIKA
Ccm moja iyo
Essa mulheres não é de zanzibar e de tanganyika
They are from stone town born and raised like a leopard
Not like us you lie
im feeling bad that i have lived in Sweden for a year and half now, and i only speak little Swedish, but bro u have been living in Tanzania for 10 years and u cant speak Swahili? Swahili is like the most easiest language
who lied to you?
@maverickcreativesolutions8285 lied to me? Swahili is obviously an easy language to learn. I know that because it's my mother tongue, and I have friends from all over the world who learned it in just a few months
Why feel bad? I don’t.
@ArchitectRussell when u decide to move to another country, I think it's always good to learn their language, its like showing appreciation or respect to locals
I know enough to get by. I’ve not had the need or interest to speak fluently.
Ikesha watu misikitini maadili