Wakaazi wa Mathira wajitokeza kumuombea Gachagua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Haya yalipokuwa yakiendelea Nairobi, Wakaazi wa eneo la Mathira kaunti ya Nyeri anakotoka Naibu Rais wamewaonya wabunge dhidi ya kuendeleza hoja ya kumbandua Rigathi Gachagua. Badala yake wamemtaka Rais William ruto kumpa nafasi Gachagua kukamilisha miaka yake mitano kama walivyopiga kura. Kamau Mwangi anaarifu kuhusu ibada maalum iliyoandaliwa na wakaazi wa Mathira hii leo, huku kundi la wazee likisema liko tayari kuanza mazungumzo ya upatanisho.

ความคิดเห็น • 1