PART15:PASTOR ISACK JINSI YA KUJUA KAMA NAFSI YAKO IMETEKWA KICHAWI,DALILI NA JINSI YA KUJINASUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 หลายเดือนก่อน +3

    KAZI safi davistar Mr everything shikiria hapo naikiwesekana kua na huyu mtumishi akulee baadae utaona manufaa

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 หลายเดือนก่อน +1

    bwana yesu asifiwe

  • @jonasiisaka
    @jonasiisaka หลายเดือนก่อน +1

    Mjue kitu kimoja kwaulimwengu wasasa watu mfano wa ngano niwachache sana wengi wana taka miujiza awataki mafundisho ili wajitoe kwenye vifungo vinavyo watesa ndio maana wanaibiwa na watumishi hewa pole sana

  • @joselynenizi9475
    @joselynenizi9475 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu ❤❤unatusaidia sana ,nimejigunduwa nina nia ila sina musukumo 😢😢😢Mungu anisaidie

  • @tonitodd1922
    @tonitodd1922 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri Davistar Mata media 👍

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @jonasiisaka
    @jonasiisaka หลายเดือนก่อน

    Acha magugu na ngano yakue pamoja

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 หลายเดือนก่อน

    Acha kumuiga huyo mtu

  • @WilberforceLuvai
    @WilberforceLuvai หลายเดือนก่อน

    Kile kinafundishwa,kwa umakinifu kitakusaidia katika uelezi na uelewa,ukipata lako lifanyie kazi

  • @dazoldaz4610
    @dazoldaz4610 หลายเดือนก่อน +1

    Upo na 241k subscribers Mzee ulifeli waapi, jee ni mtiririko wa stoli, ama ni kuegemea pande Moja ama unafeli wapi.. hao laki mbili wote walifariki😢 bona sioni views , sioni coment

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 หลายเดือนก่อน +1

      Walio wengi niwapenda story, ambazo mwisho wake wanabaki vile vile na Imani zao ama bila badiliko lolote ndio maana wamepukutika lakini naamini wataongezeka wengine wengi Zaid nawachache tuliopo tutaendelea kuwepo