MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH Sheikh wetu mwenye kutufuza mpaka tuna muelewa vinzuri na kwatulivu kabisa ALHAMDULILA ALLAH akueke Sheikh wetu THUMMA AMIN 🤲🏼
Mashallah tumefaidika mno na kuwaidhika Sanaa ktk khutba ya Leo.. Ni muda sasa wa kupambana kwa adhkar na nyiradi na swala ili tuwe ni wenye kutolea viungo vyetu sadaka everyday everytime..
MASHAA ALLAH tabaarak ALLAH Sheikh wetu mwenye kutufuza mpaka tuna muelewa vinzuri na kwatulivu kabisa ALHAMDULILA ALLAH akueke Sheikh wetu THUMMA AMIN 🤲🏼
Masha Allah Mwenyezi Mungu Akubariki. Nami na muhomba Allah anipe watoto kama wewe Amina Amin
Asalam alaykum ww alahu akbaru shukran sana nilikuwa siyajuwe haya yote Mashaallah ❤❤❤❤❤❤
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh,, uislam Raha 🌹🌹
Masha Allah,, sheikh Kishk kwa ujumbe maridhawa! Allah azza wa jallah akulipe Khairat insha Allah❤❤❤
Khutba za sheikh ni Darsa tosha kabisaa.. Tumefaidika mno kilichobaki ni kufanyia kaz yote ulotufikishia sheikh Allah akulipe kher kwa ilmu ulotupa
Mashaallah kipenz chetu kinshkh améliorer muuminina wa tz allah akup uhai mlefu kwa kazi unayoifanya
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤❤
Ma Sha Allah shekh Allah akuhifadhi na akupe yaliyo Bora kama alivyowapa mitume wake watukufu
Inshaallah mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema shekh.
TabaarakaLLAHU wa JazaakaLLAHU khayra 🤲
Shukrani sana ❤
Shukulani shehee watu tumefahau mana tulikiwa tunajiuliza viugo unavitolea vip inshallah Allah azidi kukuifazi shehe wetu
Mashallah tumefaidika mno na kuwaidhika Sanaa ktk khutba ya Leo.. Ni muda sasa wa kupambana kwa adhkar na nyiradi na swala ili tuwe ni wenye kutolea viungo vyetu sadaka everyday everytime..
Shukran saan Sheikh mpendwa wa UMMa ❤❤❤❤
Allah akbar 😢😢
Alhamdulillah
Kwa khutba sheikh wetu Allah yahfadhk?..jamani Yahya Tweitin haonekani Kabisa hata ktk jumaah tumemmiss kwa ajili yamapenzi ya kiislam
Sheikh wangu mpendwa
Mashaallah
Allahu Akbar
Sheik,asalam alaikum, swali langu ni,kusoma Quran kimya Bila kutoa sauti yafaa
waleikum.salam warahmatullahi wabarakatuh
nilipokeya kuwa ni sawa ILA LAZMA ULIMI NA MIDOMO ISOME PIA
Shukran
Mashaallah ❤
Allahu Akbar