Watu wawili wafariki kwenye ajali ya barabara eneo la Ngata, Nakuru

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Watu wawili wamefariki na wengine ishirini wamejeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha magari mawili ya umma katika eneo la Ngata kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Eldoret usiku Wa kuamkia Leo.

ความคิดเห็น • 9

  • @catherinegithigiu4468
    @catherinegithigiu4468 7 วันที่ผ่านมา

    So sad, my friend Kinya n family,take heart,God is in control..

  • @FloraAlanaxi
    @FloraAlanaxi 7 วันที่ผ่านมา

    Poleni saana 😭

  • @EvansKibet-e2c
    @EvansKibet-e2c 7 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana 😢😢mungu atawajunga mbaka mubone

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 7 วันที่ผ่านมา +1

      Eishh kibet hio ni kiswahili gani 😂😂😂😂😂😂

    • @mercymercyjohn9911
      @mercymercyjohn9911 7 วันที่ผ่านมา +1

      😁😁😁

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 7 วันที่ผ่านมา +1

      Uuuuuuui hii ni kiarabu ama aswayo?BT asante Kwa kuwaombea

  • @jaelagutu7103
    @jaelagutu7103 7 วันที่ผ่านมา

    Qr

  • @worrylesstv
    @worrylesstv 7 วันที่ผ่านมา

    To everyone watching mnipitieko leo tafasali nafanyako comedy 😂😂

    • @FloraAlanaxi
      @FloraAlanaxi 7 วันที่ผ่านมา

      Omba accident utapata ati unajeka wengine 😢