RIPOTI YA LEO AGATHA VOLUME 12

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @SpeniaNicolaus
    @SpeniaNicolaus ปีที่แล้ว +3

    Nmekumbuka ata pale kwa msiba wa babaa agatha kuna watu walikuja wamevaa nguo nyeus na wanaela itakua ndo wapo ndani kwa agatha awo wanaotembea ndani usk

  • @MecktridaAmos-fx9zm
    @MecktridaAmos-fx9zm ปีที่แล้ว

    Asante sana kwakutuletea simriz nzur

  • @totooz5853
    @totooz5853 ปีที่แล้ว +9

    Nilivyo kua nasubir kwa hamu😀😀😀wa 2

  • @joanaberkaseraaber3098
    @joanaberkaseraaber3098 ปีที่แล้ว +4

    Dada Veronica nakakabali napia nakuomba afya njema kirasku uenderee kutufunza namm nafufatilia Kira hatua nareo nimeona niongee ramoyoni mwangu ♥️♥️♥️♥️

    • @bintimrope
      @bintimrope ปีที่แล้ว

      Chaaa😁😁😁

    • @lizzybeth6344
      @lizzybeth6344 ปีที่แล้ว

      Hatari fire sio kwa mvurugo uo...🙌

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh Agatha unaishi na jini pole sana hao viumbe ni wabaya sana na wanatisha

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +2

    pole Sanaa😭yani ilitakiwa ushtuke hile Upipotoka kwamwuza genge ukamkuta nyumbani nawakati geti Ulifunga,istoshe ata uyo bint anayekujibu jeuri kaveshwa tu sura yandg yako kumbe naro jini😭Mungu 🙏pia 🤲Unisamehe kwakili napitia wakati mgumu nawakati kunawatu wanapitoa Aswaa🙆Mweee hi Dunia🙌

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

    Aya mambo ni ya kufikirika sana.kwavile waliopotia na kutujuza, ni jukumu letu kumtanguliza Mungu kila atua ili atuepushe nayo.

  • @monicamonakatwe7880
    @monicamonakatwe7880 ปีที่แล้ว +7

    Ila hawa viumbe wakikupenda na ukiwafuata wanavyotaka utaishi maisha mazuri sana ila yataka moyo

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว

      Masharti yao magum ndo shidaa yan lazim wakupe kizuizi na ndo wanadam tunashindwa

    • @monicambuva529
      @monicambuva529 ปีที่แล้ว +4

      Kiumbe huyo hawezi kukupenda kamwe,...ni swala la muda tu,........hayo maisha unayoona mazuri ni kwenye macho yako ila watu wengin watakuona unaish kwenye pagare tu utaon umevqq umependeza kumbe machoni kwa wengine umevaa matambara tu so hakun majin mazuri, majin wote n wabaya na zaid chakula Chao kikuu n damu za wanadam

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 ปีที่แล้ว

      @@graceisaac4388 uongo uo

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

      Ni uongo mtupu

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว +2

    Dunia ina mabalaa mungu atukinge inshallah

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 ปีที่แล้ว +8

    Hapa ndio napata picha kuhusu kifo cha babaake agatha na mtu aliyekuwa anaongeanae akimwambia bado mdogo sana sio makubaliano yao na hiyo sentence aliyomwambia me niwako mbona toka zamani Sana 🤔🤔🤔🤔🤔 kuna kitu hapa sio bure

  • @mariammalimi4382
    @mariammalimi4382 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atunusuru cc mabint ambao bd hatujaolewa jmn dah 😔

    • @CAPTAIN_GALAXY13
      @CAPTAIN_GALAXY13 ปีที่แล้ว +1

      ᴹᴵ ᴺᴵ ᴮᴵᴺᴬᴰᴬᴹᵁ ᴷᴬᴹᴬ ᵂᴱᵂᴱ ᴹᴮᴼᴺᴬ 😹😹

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 ปีที่แล้ว

    Asanteee saaana kwa muendelezo

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 23 วันที่ผ่านมา

    Agatha Anafatiliwa na wanachama wa baba yake.

  • @keithnicholas4667
    @keithnicholas4667 ปีที่แล้ว +1

    cant wait kujua aliliachaje jini

  • @MeriMari-ol3ii
    @MeriMari-ol3ii ปีที่แล้ว

    Jamani mi naogopa hii simuliz sijui kama nitaimaliza

  • @juliethpeter-4949
    @juliethpeter-4949 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Dada Veronica

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 ปีที่แล้ว +6

    Similizi ya Agatha, sikujua, Fatma na Zamda niya kuhogofya sana tuned 🇰🇪 🇰🇪

  • @PendoAbery-l7x
    @PendoAbery-l7x 9 หลายเดือนก่อน

    Unaeza ishi na mtu miaka mingi ukajua unamjua vzl kumbe humjui hat ukucha wake looooh mmh

  • @shamirasongati3906
    @shamirasongati3906 ปีที่แล้ว +3

    Dunia ina mambo hii jamnii😟😟

  • @christinaabelmwaipungu-5727
    @christinaabelmwaipungu-5727 ปีที่แล้ว

    Inatisha sanaaa!! Hii inafananafanana na Ile ya sikujua!

  • @juliethkissura7910
    @juliethkissura7910 ปีที่แล้ว

    Da Vero hii story mmeirudia

  • @yonayoh3736
    @yonayoh3736 ปีที่แล้ว +1

    kumbe unaweza ukajiona unaendesha gari kali kumbe unatembea kwa miguu hawa viumbe. Hawafai kabisa

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😆Atari Sana na waweza ona upo kwenye mjengo mkali kumbe pagale bovu limesahaulika miakaa

    • @yonayoh3736
      @yonayoh3736 ปีที่แล้ว

      @@mariamyoyote8172 yaani anakupiga kiini macho, daaah pole nyingi ziende kwa Agatha kwakweli 😂

  • @zainaburamadhani7495
    @zainaburamadhani7495 ปีที่แล้ว

    Duhh mbaka naogopa jamani mungu atunusuru

  • @jasminemallya4783
    @jasminemallya4783 ปีที่แล้ว

    Mimi jmn!! Mungu atunusuru sisi viumbe wake

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    😀😀😀 vero leo hakaliki naogopa

  • @christinaabelmwaipungu-5727
    @christinaabelmwaipungu-5727 ปีที่แล้ว

    Mmh!! Hatari sana

  • @shamirasongati3906
    @shamirasongati3906 ปีที่แล้ว +2

    Kupendapenda watu aged hawa ndio madhara yake haya

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc ปีที่แล้ว +4

      Hata hao wadogo pia ni mtihani tu viumbe hawa wakikuandama kuwa kwepa ni ngumu ni kuomba mungu tuu.

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣mbna aged

    • @shamirasongati3906
      @shamirasongati3906 ปีที่แล้ว +1

      @@salma-fc4xc basi tuzidi kuomba Mungu tuu maana hakuna namna hapa😒

    • @asmamohammed4201
      @asmamohammed4201 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @agathamwageni5016
    @agathamwageni5016 ปีที่แล้ว

    Agatha na sikujua wamepata neema ya Mungu ya kutoka kwenye kifungo cha majini lln naona ni wengi wamepotelea huko kwenye vifungo vya majini Mungu tusaidie

    • @mariamjackobo6219
      @mariamjackobo6219 ปีที่แล้ว +1

      Du mungu atusaidie atuepushi nahizo baraaa inatisha sana

    • @mariamjackobo6219
      @mariamjackobo6219 ปีที่แล้ว +1

      Duu jamani nyie dunia inamambo kweri yeeeeeeeee

  • @ChattaBoi
    @ChattaBoi ปีที่แล้ว

    Hizi ni hadithi tu hazina ukweli wowote

  • @keithnicholas4667
    @keithnicholas4667 ปีที่แล้ว +1

    inaogopesha 😂

  • @sekundarajab-2434
    @sekundarajab-2434 ปีที่แล้ว +1

    Jmn kumb unawez kuw unajion upo kwny ghorof kumb upo kwny ghofu jmn

  • @latifaramadhan-5180
    @latifaramadhan-5180 ปีที่แล้ว

    Duuuuuh jmn mbn majabuu

  • @shaluuanthony1836
    @shaluuanthony1836 ปีที่แล้ว

    Mimi napenda pesa za kujitafutia ila uzembe wa Agatha ni hatari sanaaaa

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 ปีที่แล้ว

      Uzembe upi

    • @vumiliarichard9347
      @vumiliarichard9347 ปีที่แล้ว

      Agatha hajafanya uzemb wwt ni maish ya kwa mama ak mdg aliokua anayapitia ndio yamefany aolew nae tu

  • @zamdazamda7425
    @zamdazamda7425 ปีที่แล้ว

    Mmh 🤔🤔

  • @totooz5853
    @totooz5853 ปีที่แล้ว

    Yni story kma hizi nilijua ni story za bununiasi tu..kumbe yanaweza tokea kwa binadamu jmani🤔🤔🤔navuta picha ningekua mmi cjui ingekuaje..? ..TUENDRLEE KUFATILIA TUJUE AGATHA NALIFANYAJE MPKA AKATOKA KWENYE IMAYA YA HUYO JINI.?

  • @tulanyagawa7507
    @tulanyagawa7507 ปีที่แล้ว +2

    Duu jmnii dunia inamambo aisee

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว +1

      Na tunasimuliwa tu yakikukuta je

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว +1

      Omba iwe simulizi lakin yakikukuta ni balaa

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

    No 4

  • @fora2009
    @fora2009 ปีที่แล้ว

    Mimi nigakufa palepale

  • @drmaryjohnmponda3484
    @drmaryjohnmponda3484 ปีที่แล้ว

    Duuh