ukisikiliza taarabu za zamani na sasa kuna radha siipati kabisa😅😅 zamani sie wanaume afu tulipata tabu kusikiliza hizi nyimbo wengi waliamini ni za kike😂😂ila saizi haaaa
Tuleteeni ile nyimbo ya Karamu ya Rahmani haifutiki...liandikwalo na Mola halifutiki...Mwimbaji ni Mwanamvita Shaibu akiwa kwa Zanzibar Stars enzi hizo
Imenikumbusha mbali 2006 kwa Mama Yangu Mdogo Area J! Mwenyezi Mungu Amrehemu Mama Omary! 2020 imenipa hisia za 2006.
kabisaa
Kuna nyimbo moja naitafuta ya mossy suleimani safari ya huba akiwa dar modern taarabu
ukisikiliza taarabu za zamani na sasa kuna radha siipati kabisa😅😅 zamani sie wanaume afu tulipata tabu kusikiliza hizi nyimbo wengi waliamini ni za kike😂😂ila saizi haaaa
Thanks sana kupost huu wimbo . Forever my song 💕
Thanks thanks thanks thanks a million times, fantastic job, keep up.
Kibao kitamu Miaka hiyo 2004/2005 Ahsante bi Zubeda na Zanzibar Star kwa vitu Adhimuu
Nausikiliza zangu hapa beila mozambique naupenda sana huu wimbo
Tuleteeni ile nyimbo ya Karamu ya Rahmani haifutiki...liandikwalo na Mola halifutiki...Mwimbaji ni Mwanamvita Shaibu akiwa kwa Zanzibar Stars enzi hizo
2006 miss you Dady Mungu akurehemu Inshaallah
🎉
Tuomba nyimbo ya mwenzangu una choyo muimbaji zubeda mlamaly Znz stars
Tenaaaaaa
I remember listening to this song when young. Brings back treasured memories.
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana jamani ...NIMEWAMISI JAMAA ZANGU WA K/SAMAKI
Shairi nzuriiiii..mashaallah
KIPINDI ICHO 2006 DADA ZANGU WALIKUWA WANACHEZWA HU WIMBO ULIKUWA UNATAMBA SANA MIE WAKATI MDOGO
Imenikumbusha mbali sana nikiwa changamwe jamani wimbo was roho
Bahar FM saa 4 kila asubui hii song ucheza😅😂
zubeda Omar aka gaucho
Jokha alikuwa mzuri jamani wakati huo
Sanaaaa kwasasa kanenepa
Kitambo yaaan
Hii song yanikumbusha bahari fm kenya kwa kipindi cha taarab tuko bomba.Listeaning @Doha Qatar
Yess na dalila
khadijah hujambo?.nadhani ni ule wa kbc radio kama sijakosea..mola akupe dua chema nakuombea
@@shabankapsaly1945 sio khadijah wa KBC mie
Nakumbuka nilipokuwa Zanzibar hapo nyie mlikuwa mnavuma sana.poa
napenda sana
Zamani nyimbo zilikuwa nzuri zenye madili lkn kwasasa akuna piya taarab inakufa
Weee kaz ipo naisikiza nikiwa ndani ya Bahraini kaz indelee
Kusema ukweli hii nyimbo inanikumbusha dahali hizo
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
2006 hukoo
ati mbirimbi mbovu? ahaa!
2022
Kitambo
Hii