Rachel hajabadilika hata she is still beautiful ako na roho nzuri sana uyo dada may God bless her hustlers na Mungu akubariki pia kwa kuona kipaji chake tunatumaini siku tutamuona dada as a solo artist rachel ukiona comment yangu nitafute tulisoma wote macmillan nakubali sana
Nakukubali sana kwajiliyako nilianza mziki na Nina jitahidi mpaka sasa
Good music speaks itself. Much love bro
Kwa kweli unajuwa mziki sio kama Wale wengine kama sio playbak hawa juwi répétition live .kuja nahili band Congo Bukavu
Rachel hajabadilika hata she is still beautiful ako na roho nzuri sana uyo dada may God bless her hustlers na Mungu akubariki pia kwa kuona kipaji chake tunatumaini siku tutamuona dada as a solo artist rachel ukiona comment yangu nitafute tulisoma wote macmillan nakubali sana
Kwakweli mimi pia nampendaga sana uyo dada kwa shows huwa anatabasamu tu uyo mdada
Dah, safi sana kuona vipaji ulivyovilea kutoka Bss vikishine.
Iko king of best melody…. Una tukoshaka sana le grand.
🥰🥰 nipeni like nimekua wa kwanza
CBO umerudiiii 💯
Un professeur de la musique
Lesheee nalesheeeee🎉🎉🎉🎉
Jina ya iyo ngoma plz
Tuna isubiri iyo kazi sisi wapenzi wa band tume mis kazi ya Malaika band
Very good
Unajua sana bana
Safi sana
Ngoma nzuri sana
Shkamoo kaka
Nice songs
Kanivurugaaa
🫡🫡🫡🥰🥰
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Fundi
ww mwamba unajua kuimba tena kama izo nyimbo za live performance unazijua kinoma ❤❤❤❤❤❤