Nuhu endelea kutengeneza Safina tutakutana Elimino ikizidi, haya masuala waachie wenye elimu ya Blockchain manaa nimekosa hata cha kukwambia inaonesha elimu uliyo nayo juu ya haya masuala ni ndogo sana. So usiwakatishe tamaa watu wenye moyo maana hakuna hela wala ada youote mtu anatoa ili kumiliki Pi kwa sasa.
We aliekuwambia Pi ni aidrop ni nani? Yawezekana unajua blockchain yes. Lakini haujui blockchain ya Pi. Hii ni Pi Newtork it has it's own network and it's own blockchain. Kwahiyo usikariri maisha. Pi ni matokeo ya research iliyofanyika 6 years kwenye kuichunguza Bitcoin. Halafu ndo ikaletwa Pi sasa. Bro kaa kimya endelea kuibiwa kwenye ku trade forex huko. You know nothing about Pi. Pole sana then dig deeper.
Ninawafuatilia kutoka Rwanda. ❤❤❤ Nawapenda sana. Pi to the moon 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mtangazaji yupo vizuri kinoma
Mkuu mimi nimejiunga ieo ba nimepata pi moja.
Good job see you at the top
Abog master much appreciated
Waooooo hongera saaana mkuu kazi nzuri saaana mkuu
pamoja sana mkuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Osha begi andaa passport.
Aloooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ngoja nioshe chap
Hongera sana. Piga kazi
Great
Pi to moon
Leo vp naona akaunti yangu haifunguki kabisa
Napataji kujihunga na pi na jinsi ya kuchimba mnachimbaje
nichek nitakuelekeza
Tanzania nimejisajil imekata
Chapa kazi Washikajyi
Itaanza lini kutumika hapa tz
Elimu aliyonayo huyu jamaa hapo sidhani kama watu wa benki wanayo asee. Jamaa anaelimu kubwa sana about blockchain.
Niambieni najiungaje
Vipi ulishajiunga au nikuunganishe free ni wewe na bando lako
Juun 28/6/224
Kama unataka kuwa tajili amini kama hautaki usifatilie hata kidogo
Abo G ninoma
Abo G master can you be my mentor?
Mawasiliano yenu jmn
Lakini hii pi naona itashangaza Dunia nzima kama huna fanyeni mpango
hakuna airdrop yoyote inayoanza na $100 piga ua galagaza
Pi network itazinduliwa lini?
Kwanza anayesema Pi network ni huduma ya wizi atakuwa ni mpuuzi kwani anachangia kias gani kumine pi..!!?
Upewe maua yako...❤
Ninaomba link ya kujiunga Pi
Umepata teali
Nitapata wapi Pi account
nichek nitakuelekeza
kaka zangu air drop inaanzaga na dola 0
Nuhu endelea kutengeneza Safina tutakutana Elimino ikizidi, haya masuala waachie wenye elimu ya Blockchain manaa nimekosa hata cha kukwambia inaonesha elimu uliyo nayo juu ya haya masuala ni ndogo sana. So usiwakatishe tamaa watu wenye moyo maana hakuna hela wala ada youote mtu anatoa ili kumiliki Pi kwa sasa.
@@changingliveboss
Kweli au?Una uzoefu wa mda gani katika block chain technoloy ?
Core na Renec ni mifano tosha
We aliekuwambia Pi ni aidrop ni nani? Yawezekana unajua blockchain yes. Lakini haujui blockchain ya Pi. Hii ni Pi Newtork it has it's own network and it's own blockchain. Kwahiyo usikariri maisha. Pi ni matokeo ya research iliyofanyika 6 years kwenye kuichunguza Bitcoin. Halafu ndo ikaletwa Pi sasa.
Bro kaa kimya endelea kuibiwa kwenye ku trade forex huko. You know nothing about Pi. Pole sana then dig deeper.