EXCLUSIVE: WEMA SEPETU AIKANA RUSHWA YA NGONO, AFUNGUKA KUVUNJIKA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND PLATINUMZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 161

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 ปีที่แล้ว +12

    Mwanamke pekee aliempa diamond umarufu na nyota Nassib akaitumia vizuri ssaivi ndo yule kule.......we love you wema much respect my tz sweetheart

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk ปีที่แล้ว +16

    Madame wema chukua mauayako❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️

  • @user-pz5td7tq9t
    @user-pz5td7tq9t ปีที่แล้ว +15

    Nampenda uyu dada daaaah Mungu ampee maisha marefu

  • @fabiola4007
    @fabiola4007 ปีที่แล้ว +14

    I love this girl namupenda sana from canada 🇨🇦 ♥️ 💓

  • @loverbedah3459
    @loverbedah3459 ปีที่แล้ว +23

    She is absolutely beautiful ❤️❤️❤️❤️ I like her

  • @salomennanga3110
    @salomennanga3110 ปีที่แล้ว +7

    I love you Wema from Switzerland 🇨🇭 ❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @user-cr4th9lr6b
    @user-cr4th9lr6b 2 หลายเดือนก่อน

    Toka Nijmemjua Wema kwenye hi show ndio nimemjua kumbe ni very smart young lady

  • @m___ck799
    @m___ck799 ปีที่แล้ว +58

    Dada aliyemleta Diamond mjinii. Apewe heshima yake huyu dada.🫡

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful and superb up stairs, kwa jinsi anavyojieleza, utagundua ana karama kubwa ya uongozi.
    Now mature and still the same Wema,Wema Sepetu. Lovely and Beautiful.🎉🎉🎉

  • @hansmosses9422
    @hansmosses9422 ปีที่แล้ว +10

    Wema tako tako 😀😀😀... you're so really wema 👍

  • @mrsab303
    @mrsab303 ปีที่แล้ว +8

    I love wema ❤❤❤❤❤

  • @officialidakeys
    @officialidakeys ปีที่แล้ว +7

    Kwakweli wewe ni Tanzania Sweetheart Unaga umbambamba na watu na Interview zako zote una ongea ukweli na maneno yenye Point nyingi sana Kiukweli wewe ujawahi kutuagusha Mashabiki zako Nakupenda Bure Wema Wangu Mama Duuh Wasio Kupenda Kazi Wanao

  • @fabiola4007
    @fabiola4007 ปีที่แล้ว +15

    Ila mungu amupe mutoto she's beautiful wema I don't know but she is beautiful 💖 ♥️ 😍 ❤️ 💕

    • @tamausikanye9604
      @tamausikanye9604 ปีที่แล้ว

      fabiola nyinyi kwakweli wazo lenyi siyo wema ni bado mdongo aja pitiya miaka

    • @fabiola4007
      @fabiola4007 ปีที่แล้ว

      @@tamausikanye9604 mungu atamupa mutoto

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 ปีที่แล้ว +17

    Kuna kitu ndani ya WEMA,sema hajakitambua🤩🤩🤩

    • @nicoluu874
      @nicoluu874 ปีที่แล้ว

      Kitu gan na ww ninani mpk ujue kitu kuliko yy achaa ujinga tfta ela huna lolot

    • @shikoshania953
      @shikoshania953 ปีที่แล้ว +1

      @@nicoluu874 kaoshe mkundu wewe Acha kuniletea harufu mbaya kwa comment yangu🤥

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @alhabsi6430
      @alhabsi6430 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @sawasuleimanmwambungo9706
      @sawasuleimanmwambungo9706 ปีที่แล้ว

      Nikubaya😂😂

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 ปีที่แล้ว +9

    I love her ❤ , bring kajala or misa

  • @latifamiluko-gr9iw
    @latifamiluko-gr9iw ปีที่แล้ว +3

    Jamani wema pole MUNGU atakupa mtoto inshaallah🥰

  • @shabil0689
    @shabil0689 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah she's so beautiful ❤️😍

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว +10

    Nakupenda wema

  • @daphroserherbibi6250
    @daphroserherbibi6250 ปีที่แล้ว +1

    Allah will bless you with children Inshaallah ! Just have faith Wema my dear. I also pray for you mdogowangu!!

  • @ZuwenaOmar-xk6gq
    @ZuwenaOmar-xk6gq ปีที่แล้ว +1

    I love uu my sister wema, m/mungu azidi kukupa subra kipenzi cha watu ❤ ❤ 🤲🤲

  • @masendetv5942
    @masendetv5942 ปีที่แล้ว +5

    ❤️❤️❤️❤️❤️ Chuku mauwa hayoooooo

  • @masika.zubeda.430
    @masika.zubeda.430 ปีที่แล้ว +7

    I really hate advertisements when am watching such amazing shows

    • @Lucy_ikupa
      @Lucy_ikupa ปีที่แล้ว +1

      Yakija ndo wenzio ndo wanapata hela

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +7

    We love you madam

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 ปีที่แล้ว +9

    I ❤️ ma mdogo wema wangu mrembo wetu msalimie Mrs Bush Nuru 🤣🤣🤣

  • @ankovictor1564
    @ankovictor1564 ปีที่แล้ว +9

    Nampenda wema

  • @daphroserherbibi6250
    @daphroserherbibi6250 ปีที่แล้ว

    Maashallah you are so beautiful!

  • @nilmadaudi9358
    @nilmadaudi9358 ปีที่แล้ว +1

    Kipenzi changu wema akee 🥰🥰

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 ปีที่แล้ว

    Duh nahisi she is authentic ❤❤it!

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 ปีที่แล้ว +6

    First to be here👌👌👌

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍Nampenda sana wema.

  • @allyhamad3113
    @allyhamad3113 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 ปีที่แล้ว +7

    Inawezekana kweli alikuwa bikra

  • @sophiashomary8542
    @sophiashomary8542 ปีที่แล้ว +1

    makupenda weee mdada❤❤❤❤

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 ปีที่แล้ว +2

    Mdada huyu asipojikolokochoa na Vipodozi she is cutest more than uzuri

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 ปีที่แล้ว +1

    Pole mungu akupe mtoto iwe faraja yako

  • @estherkamanzichania1871
    @estherkamanzichania1871 ปีที่แล้ว

    Wema❤

  • @nassorsalum3846
    @nassorsalum3846 ปีที่แล้ว

    wema hauwozi🦋🍫❤🖇

  • @gracesaidamwanzia6717
    @gracesaidamwanzia6717 ปีที่แล้ว

    Love this girl....

  • @ashangohi450
    @ashangohi450 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakupa mtoto amini Mungu Ipo siku utabarikiwa.ila Mungu anasababu huwezi jua

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว +5

    ❤❤❤❤

  • @hollojuma9538
    @hollojuma9538 ปีที่แล้ว

    Wema pendeza Sana 👌❤️❤️ manshalla 😘

  • @belindanasike2842
    @belindanasike2842 ปีที่แล้ว

    I love you 💕, from Kenya

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda na kanapendaa sanaaa ila kanaumizwa na mapenzi.... *******Ushauri wangu wema wanaume wote tunafanana umalaya wetu tamaa zetu, hulka zetu jitahidi kuvumilia ulonae hicho hukufanya uonekane muhuni akati ukizinguliwa unaacha jumla TULIA ulipo*

  • @samaliraven4210
    @samaliraven4210 ปีที่แล้ว

    i love uu wema ❤

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว +2

    Usitumie sana madawa ya mitishamba kunywa sana si nzuri coz nina ndg amekunywa sana mitishamb apate mtoto lkn yalimuharib na aliambiw aache kutumia na doctor coz yanajikusanya kwa utumb huend yatamsababishia maradhi so aliacha kabis kutumia mitishamba na huu ujumbe uwaendee wanawake wot wanataft watoto msitumie sana mitishamb kwan inamadhara ikizidi hvy ngojeeni kudra za mwenyezimungu na tuwe na subra na nawaombe mpate watt wema wenye kheri nanyi amiin.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +7

    Leo umependeza afazali

  • @Asha-gh5gs
    @Asha-gh5gs ปีที่แล้ว

    Kaka❤❤❤❤❤❤

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f ปีที่แล้ว

    Wema Sepetu km Wema i love you so much ❤💋💋💋😍

  • @aisha.naombanambayasimiyam5962
    @aisha.naombanambayasimiyam5962 ปีที่แล้ว +2

    Mambo kaka manara nakupenda sana kipindi chako I hope natamani ningekuwa hata chawa wako hapo studio nitafurah sana

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 ปีที่แล้ว +7

    Inawezekana kweli watu wametoa mpaka mimba 20 na bd wakazaa lkn kila mtu na bahat yake inawezekena ww doctor wako alikua wamchongo akakuharibu kizazi au maybe uliotow ndio mungu alikua amekuandikia wawe hao hao

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli watu tumetoa mimba had unachokq mwwenyewe na tumezaa

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 ปีที่แล้ว +3

    Yaan nakuwaga najiuliza huyu Dada anatafuta baby na Hana ndoa. Kwanini hafikirii kufunga ndoa kwanza saa zingine Allah anamwepusha kupata mtoto WA haramu anataka anataka ampe WA halal

    • @khanifakhalfan389
      @khanifakhalfan389 ปีที่แล้ว +2

      Fact hata mm nilitafta mtt sanaa kipindi sijaolewa had nikahc sizai tena lkn nilipoolewa tu nimekaa miez mitatu tu nikapata ujauzito

  • @missclementsemizigimisscle7458
    @missclementsemizigimisscle7458 ปีที่แล้ว +2

    Una takaje mtt huna mume tafuta mume kwanza huwenda mtt wako yupo ndoani sio kwenýe zinaaaa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 ปีที่แล้ว +12

    Mtu anapoteza mil.320 na anachukulia poa lakini mimi nikipoteza elfu 10 tu nakosa raha siku nzima.

    • @eben_ezer8853
      @eben_ezer8853 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂 Yaan hata elfu tatu hadi pressure zinapanda😅😅

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 ปีที่แล้ว

      Yani buku 10 yote hiyooo jeroooi tuu unaiitafutaaa hadii basi

    • @bahathmuro7145
      @bahathmuro7145 ปีที่แล้ว

      Juzi nimesahau nlipoweka 200 nliumia hadi nkakoma nkatamani nikiroge kichwa changu kwa uzembe aisee

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 ปีที่แล้ว

      ​@@dorisfabian4776😂😂

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 ปีที่แล้ว

      ​@@eben_ezer8853😂😂

  • @rechalmshana1293
    @rechalmshana1293 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 ปีที่แล้ว +1

    Huwa nampenda kumsikiliza wema

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @usherguillain8032
    @usherguillain8032 ปีที่แล้ว +3

    Leta naye Diamond plantnumz umuoji swali zote tuna taka kujuwa Yale anayo ficha kuwale waona msema vibaya😅

  • @irenekayombo5509
    @irenekayombo5509 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka Haji,kazi nzuri.

  • @nadrasalim
    @nadrasalim ปีที่แล้ว +1

    Jamani mm mbona siioni prt 2 ya hii @manara tv

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 ปีที่แล้ว +7

    Uzuri wako hauchuji wema

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 ปีที่แล้ว +1

    Brother leo umetuacha na huyu mtu wako kwa English sasa cc tusiolewa tunafanyaje?

  • @lutegomakoyeluhahula361
    @lutegomakoyeluhahula361 ปีที่แล้ว +9

    Wema watu wanajuwa hitaji lako kubwa ni mtoto,na wanafahamu kaabisa kuwa kuzikula pesa zako kirahisi ni kukuahidi kukupa dawa za kukufanya uzae. Nakushauri wema kuwa na maamuzi magumu.umri wako wa kuzaa,bado haujapita.nakushauri njoo mwanza,magu tutakuonesha suruhisho,naamini utafanikisha.mdogo Wang na marafiki zangu walipatiwa suruhisho la matatizo yao.naamini nawe utafanikiwa. Usione Kama utani,utakuja kuwashukuru wasukumaa.

  • @caluchinotz5367
    @caluchinotz5367 ปีที่แล้ว +1

    Sema huyu wema mkweli sana yani

  • @ramlamonopoly707
    @ramlamonopoly707 5 หลายเดือนก่อน

    Why usipandikieze

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Sidikilizi kwa sababu maneno mengi kiengereza sielewi

  • @emmajuma896
    @emmajuma896 ปีที่แล้ว +1

    Spendthrift

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi hichi ndio kipindi kwasasa napenda ❤❤❤

  • @bizzyjunior_tz
    @bizzyjunior_tz ปีที่แล้ว

    kipindi kizuri, good conversation but sauti zinachangamoto kidogo, so mnaweza angalia hilo kipindi cha editing

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 ปีที่แล้ว

    Umuachiye Mungu wema sababu Mungu anaweza yote

  • @hamidawamba
    @hamidawamba ปีที่แล้ว

    Hiyo sehem ya pili iko wap

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 ปีที่แล้ว +1

    Sasa vinafaida gani kwa sasa 😅😅

  • @aminadaudi6448
    @aminadaudi6448 ปีที่แล้ว

    Interview mbona imeishia kati

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว +1

    pesa ni hakili huo alizitumua vibaya

  • @mohamedsaididha3184
    @mohamedsaididha3184 ปีที่แล้ว

    Haji mwambie wema kama kweli anataka mtoto arudi kwa Allah kikamili na aombe twabah na awache zina aolewe halali alafu amuombe Allah aone atapata ama hatopata langu ni hilo.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +2

    Wema punguza kiengereza

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      Lazima apunguze kwa sababu anaemhoji hajui kingereza

  • @zaharak4121
    @zaharak4121 ปีที่แล้ว

    Dada yema oleyaa alfu mutoto unapata wahalali dadagu mungu ataleta nema🎉

  • @ilhamjonas6986
    @ilhamjonas6986 ปีที่แล้ว

    Kiukweli unene mbaya

  • @bouchofundishokesha2759
    @bouchofundishokesha2759 ปีที่แล้ว

    Mi naona kama wema kama anataka mtoto angeenda kwa mfalme wa mbegu Mbosso khan mshedede atakupa tuu

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 ปีที่แล้ว +1

    Luga ngeni ya nn wakati kiswahili kinatumika uswailini???

  • @user-hd7vt8fk5t
    @user-hd7vt8fk5t 2 หลายเดือนก่อน

    Wema muongo hukua bikra kabla hujawa miss ulishawahi toka na mr.blue nae akaibiwa wakamuimba nilikataa kama demu wangu kicheche ambaye ni wewe na yeye akawajibu roho zinawauma .mana blue alikuwa star kabla yako

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 ปีที่แล้ว

    Tujuane tuliogundua wema amekua na kibes
    Ile saut y madam sepenga haipo tena kweli miaka inaenda😮😢

  • @fikedyngulwa9320
    @fikedyngulwa9320 ปีที่แล้ว

    Kwahyo kaamua kufanana na saida kaloli

  • @natashasergo119
    @natashasergo119 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ulihonga ulivunja kanuni za uchaguzi na ukakosa juu

  • @octaviantito
    @octaviantito ปีที่แล้ว

    Mtu anatumia milioni 320 kuutafuta ubunge, Je akiupata atawahudumia wananchi saaana ama kurudisha kwanza 320 zake wamba? Ni hatari saaana kwa Taifa nadhani ni kutokana na serikali kuweka mazingira mabovu ya kibiashara na mazingira ya ulaji kwenye nafasi za serikali. Uzalendo kwa TZ ni mgumu saana kama taifa tusipochukua hatua za kizalendo kabisa.

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi kumuona wema

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 ปีที่แล้ว

    Wema kapole

  • @aminadaudi6448
    @aminadaudi6448 ปีที่แล้ว

    Inaendelea au mbona vipande viingine havionekani

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 ปีที่แล้ว

    Punguzeni matumizi

  • @tibaijukaolevarez6257
    @tibaijukaolevarez6257 ปีที่แล้ว

    Baada yakuipata tsji ukaanza upashkuna

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว

    weye wacha huo mwili wako unajua wanaume wengi tu

  • @rizikikhalid5119
    @rizikikhalid5119 ปีที่แล้ว

    Labda ya mkundu

  • @GeorgeBillings-zm9um
    @GeorgeBillings-zm9um ปีที่แล้ว +2

    Akitaka kupata mtoto aende kwa mwamposa akaombewe atapata

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว +1

      Dah! mwamposa anapeana watoto ? Kufuru hii ya wazi wazi

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

      Yani asimuombe mngu akamuombe mwamposa

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 ปีที่แล้ว

      Kupitia mtumishi Mwamposa naamini atapata na Mimi nimefanikiwa

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 ปีที่แล้ว

      @@maryamtanzania9743 kupitia mtumishi wake atapata mimi nilifatiia maombi ya Nwamposa nikapata Mtoto Wa kike nilikuwa na tatizo nikibeba mimba zinaharibika na nilikuwa naumwa sana vichomi nikapona

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 ปีที่แล้ว

      @@maryamtanzania9743 namshukuru Mungu kupitia mtumishi wake nilifanikiwa

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 ปีที่แล้ว +2

    Huyu anazeeka vibaya. Yaan alikua primary enzi za ray c???? Mbona mm naona hawajapishana sana kiumri??? Huyu wema anapenda utoto sijapata ona

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว +3

      Wema ni mdogo sana kwa ray c

    • @sophiashomary8542
      @sophiashomary8542 ปีที่แล้ว +1

      ww ndo mzaz wake😢

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว

      Tena mkome wema ni mdogo sana

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว

      Wew ndio wazeeka coz wakt mdogo unamuona kwa tv wew umr umekutup😂 acha makasikiro kwa wema bana weee, kunywa maji ushushe nyongo. Wew ndio wazeeka vibaya ndio waona kila mtu anazeeka vibaya 😮

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 ปีที่แล้ว

      @@hopefully7090 we choko komaa

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +7

    Labda bikra ya mkundu😂😂😂😂😂😂😂

    • @benedictalex6838
      @benedictalex6838 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว

      Mbn kama unaumia 😂😂😂 maskin unaugua nafsi mpk unatema hasidi kwa mt hata hakujui😂😂😂 pole mwaya. Tema nyongo hiyo maisha mafupi usije kufa na sickness ya moyo😅. Loh chuki nayo maradhi.

    • @lindambilinyi6253
      @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

      Miss@naona umeandika waraka wa yo hana kwa mtume paulo🤣🤣🤣🤣🤣

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d ปีที่แล้ว

      @@lindambilinyi6253 tema vyote safisha nyongo mwaya ondoa chuki uish kwa amani 🤣🤣🤣 acha makasiriko na watu pole.

  • @itNeza
    @itNeza ปีที่แล้ว +6

    3:38 - Katika wanawake Wajinga wenye Umaarufu Tz na Huyu Mooja wapo. 🤔😏

    • @innat04
      @innat04 ปีที่แล้ว +3

      Siujinga ni bahati ndio hana, tumuombee

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว +1

      Ujinga wake nini?

    • @immaculatendinda3900
      @immaculatendinda3900 ปีที่แล้ว

      Umevurugwa na maisha Kila mtu wamuona mbaya...

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว

      Wee ndio taahira wa kwanza

    • @itNeza
      @itNeza ปีที่แล้ว

      @@immaculatendinda3900 angekua mwanzume kasema ningeamini, Ila malaya Ndinda siwezi Amini, Nyinyi ndo mnafanya familia nzima wawe Makahaba ( Na ukijibu una Confirm Kuwa kweli nyinyi ma Kahaba ). 😉🌹

  • @MohammediMgeni-fy9gb
    @MohammediMgeni-fy9gb ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤