JE UKIKOSA VIZA UNARUDISHIWA PESA ? ✈️✈️✈️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #shengenvisa # Firsflight Hedofstaste safari#greencard #usembassy #arrivaltime#ndege#I94#diaspora#creditcard#dv2024#thedignityact2023#asylum#nairobi#romanian#amsterdam

ความคิดเห็น • 84

  • @JoseBoazy
    @JoseBoazy ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana mwana kwetu

    • @Witness-ti1gz
      @Witness-ti1gz 9 หลายเดือนก่อน

      Kwahapa dar mnapatikana wapi?

  • @deolynemollel427
    @deolynemollel427 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa Sana 😊

  • @janety1933
    @janety1933 ปีที่แล้ว +1

    Uko Sawa kabisa yaan hiyo Dola 100 Ni halali yako kabisa mm nakukubali Sana mwanakwetu❤❤❤❤❤❤

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 หลายเดือนก่อน

    Narudia rudia asante unaeleweka

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana yawezakuwa wew wanajua msomali mzee baba

  • @tridaxprocumbens6079
    @tridaxprocumbens6079 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa vizuri mzee wa secondary inspection. Binafsi gharama za process za visa naweza kujitahidi nikazipata, ila sasa mahali pa kufikia na vibali vya kuishi kule kwa muda mrefu kidogo ndio vitu ambavyo najiuliza mara nyingi navipataje. Maana ukienda na visa ya matembezi unapewa miezi 6, sasa huo bado ni muda mfupi kwa mtu anaetaka kufanya kazi huko. Asante

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว

      Mbona hiyo ameshazungumzia itafute hy video ipo humu

    • @tridaxprocumbens6079
      @tridaxprocumbens6079 ปีที่แล้ว

      @@MAISHAYACROATIA sawa mkuu, ngoja nitafute.

    • @ericmkami7578
      @ericmkami7578 ปีที่แล้ว

      mzee hivyo vitu sahv vinawezekana unaweza ukaenda kwa visa ya matembezi ukifika unabadili status kwa sababu asahivi ukiwa na visiting visa unaweza ukafanya kazi US wameruhusu... jaribu kuangalia video zingine za mr secondary inspection utaona hilo ameshazungumza

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 9 หลายเดือนก่อน

    Cause kuna mtu wangu yupo Canada aliwahi kunambia kuwa the best way to immigrate for the first time ni kupitia tourist visa,sasa nilichukuwa dini lake na dini lako hapa kwenye hii video nikapata madini,so nikaona it make sense

  • @mukhtarally5819
    @mukhtarally5819 ปีที่แล้ว +1

    Big man nakujja mwanza insha allah tuuongeee vzr sana

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      Saizi ninesharudi America

  • @husseindottokilenga5424
    @husseindottokilenga5424 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @user-pi8nr2cd7l
    @user-pi8nr2cd7l ปีที่แล้ว +2

    Mwanaketu ushauli wangu ingekuwa vizuri ukaweka wazi kuhusu garama za full process ya viza kila inchi bei zake kwasababu kuna watu wengine tupo njee ya tz sema tunatafuta pesa ya safari sema unakuta changamoto hujuwi nipate kiasi gani halafu ndo niendo tz kufanya process ya visa kwahiyo naomba uweke wazi kiasi gani kwawatu wakila aina halafu mtu akiwa anataka kuongea na wewe ndo alipie lakini kuhusu garama ziweke wazi ili mtu anajuwa natafuta pesa kiasi frani namtafuta mwanakwetu

    • @trueone_tz
      @trueone_tz ปีที่แล้ว +1

      Bila shaka anashinda kuweka sababu inategemea na Visa mtu anayo taka cz viza zipo daraja tofauti ,Visa ya masomo ni tofauti na visitor kwa kila procces mfano marekani wana zaidi ya visa 17 na kila moja ina process tofauti .Canada hivyo hivyo but ukitaka safari at list uwe na 2000usd kuendelea au 1500usd hapo bado tiketi na uzuri unaweza kumlipa MWANAKWETU kwa awamu kama upo sirius. tupambane tutoke tusikate tamaa vijana

    • @ericmkami7578
      @ericmkami7578 ปีที่แล้ว

      ​​@@trueone_tzkwa jinsi livyomuelewa Mr secondary inspection kwa safari hasa za nje unatakiwa uwe na kwanzia dola 1500 Mpk 2500 if possible ndio maana naona bora ujipange ili mkifanya jambo mnafanya bila longo longo then ukienda pale ubalozi kwenye interview unaongea mpk waseme huyu jamaa ni mwanasiasa au?😅

  • @big4400
    @big4400 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana brother

  • @Libson10
    @Libson10 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana Kaka ww ni muwazi sana nakuelewa

  • @PaulsenMgema
    @PaulsenMgema 11 หลายเดือนก่อน

    Saafi sana bro umeeleweka

  • @zengeummu9575
    @zengeummu9575 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru kwa muda wako unaojitolea kwetu! Mbali na kujifunza bado unatuburudisha pia maana sio kwa raha hizi❤❤❤Natamani usafiri tena utuchukulie videos nyingine tuendelee kujifunza😅😅😅😅

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      Hahahhaha

    • @RachelRachel-zx6dx
      @RachelRachel-zx6dx 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@ArrivalTvkaka Habari naomba kuuliza kama nataka kusafili kwenda marekani natumiwa visa ticket je pale uwanja wandege.unaulizwa maswali au laaa naukifika kule unaulizwa au vipi naomba nifahamishe kaka

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  11 หลายเดือนก่อน

      @@RachelRachel-zx6dx yaah utaulizwa maswali ya kutosha kabisa

    • @RachelRachel-zx6dx
      @RachelRachel-zx6dx 11 หลายเดือนก่อน

      @@ArrivalTv duuuuu Asante

  • @ericmkami7578
    @ericmkami7578 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa secondary inspection 😅😅... tunashukuru kwa kutusanua kwa taarifa kama hizi kwa maana zinatusaidia tujipange vizuri maana safari za kimataifa ni gharama..tupo pamoja

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 ปีที่แล้ว +1

    Bro asant3 kutuelewesha . Ugeliweza kutuambiya safari yabei zaidi unaona inaweza kufikiya pesa ngapi approximate

  • @anwarsaid2008
    @anwarsaid2008 ปีที่แล้ว +2

    Consultation fee maana yake kiendacho kwa mganga hakirudi uwe umejipanga au hujajipanga aisee😃

  • @Trey2k365days
    @Trey2k365days ปีที่แล้ว

    Content nzuri sana imeeeleweka mno.

  • @lutambisos3605
    @lutambisos3605 7 หลายเดือนก่อน

    Brotherasante sana kwamsaada wako

  • @abuubakary4848
    @abuubakary4848 9 หลายเดือนก่อน

    mwana kwetu.mi.sijui.kingereza naweza.kusafir

  • @frankkataraiha607
    @frankkataraiha607 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kaka

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 หลายเดือนก่อน

    Big up bro uko mkweli na muwazi sana

  • @brightonjacob7776
    @brightonjacob7776 ปีที่แล้ว

    Gharama visa ya US ni shiling ngap,kwa process zote kasoro nauli?

  • @kobbasupplies5772
    @kobbasupplies5772 7 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew 10 หลายเดือนก่อน

    Arrival

  • @willsonsamwel1158
    @willsonsamwel1158 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana mwanakwetu mungu azidi kukufungulia njia zaidi na kila hatua zako zitakapokanyaga mungu akupe kibali

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 9 หลายเดือนก่อน

    Aah kuna dini moja hapa nimelinasa hapa which very important..sasa hebu nambie kwamfano nimechukuwa Tourist visa ya one ya 3 weeks na baada ya kufikia tu sehemu husika after 3 days nikaanza process ya kuchenji visa from tourist to work visa labda process zake zinaweza kuchukuwa mda gani?

  • @moshirajabu5148
    @moshirajabu5148 ปีที่แล้ว +1

    Sawa kaka

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanakwetu

  • @user-xp6hb6xn3i
    @user-xp6hb6xn3i 11 หลายเดือนก่อน +1

    mnapatikana wap au naweza nikapata namba

  • @hamisigazza2838
    @hamisigazza2838 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka tunajifunza vingi kuhusu Safari kk

  • @user-bf1ls9zc7u
    @user-bf1ls9zc7u ปีที่แล้ว

    Bro nakubari sana

  • @elizabethmangapii7477
    @elizabethmangapii7477 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nilipitia Mimi wakati nakuja nilikaa almost 2hours pia

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      But ulifananikisha kupita ?

    • @elizabethmangapii7477
      @elizabethmangapii7477 ปีที่แล้ว +2

      Yes kabisa nilipita..maana mpaka simu ilikaguliwa eti...dah

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว

      ​@@elizabethmangapii7477duh pole Shida ilikuw maswali

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv 11 หลายเดือนก่อน

    A living channel.

  • @willsonsamwel1158
    @willsonsamwel1158 ปีที่แล้ว

    Mwanakwetu inatakiwa kiwango gani cha kuongea kingeleza maana halo ndipo kwenye shida upande wangu hua nafikilia sana nikihojiwa nitatoboa kweli

  • @HazlaomariHazlaomari
    @HazlaomariHazlaomari 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanakwetu naomba namba mpya

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  4 หลายเดือนก่อน

      +14253642418

  • @muhidinsiwa1523
    @muhidinsiwa1523 11 หลายเดือนก่อน

    Huko clear sana

  • @willsonsamwel1158
    @willsonsamwel1158 ปีที่แล้ว

    Mwanakwetu umenena vema sana huyo anayedai kurudishiwa pesa arudi shuleni akaeleweshwe

  • @allykilapo-js3hg
    @allykilapo-js3hg 11 หลายเดือนก่อน

    Kwer bwana Kuna mtu amekwambia ungeweka gharana Za viza shingap harafu mtu ajue atafute shingap kuwaanzi viza mpaka naur manaake wengine hatupo tz Kwa mfano viza yacanada ambapo wengine ndiio tunapopafikiria

  • @trommyx
    @trommyx ปีที่แล้ว

    MWANAKWETU huna baya sema uturetee video ya secondary inseption

  • @husseindottokilenga5424
    @husseindottokilenga5424 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa tusiokuwa na namba zako je tunazipataje?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  7 หลายเดือนก่อน

      +14253642418

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 9 หลายเดือนก่อน

    Wakweli unatufungua akili kusema ukweli

  • @naimuothman3493
    @naimuothman3493 ปีที่แล้ว

    Sasa brooo me nauliza jee kwa wale ambao tayari washa ingia ktk system muna wasaidia vip

  • @Trey2k365days
    @Trey2k365days ปีที่แล้ว +1

    Number mpya hazionekani kaka

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      +1425-508-2094

  • @Trey2k365days
    @Trey2k365days ปีที่แล้ว +1

    Naomba number mpya asante

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      +1425508-2094

    • @gotafostv7305
      @gotafostv7305 11 หลายเดือนก่อน

      Mwanakwetu unaeleweka mno

  • @daxboy8699
    @daxboy8699 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @ramseyjonathan2479
    @ramseyjonathan2479 ปีที่แล้ว +1

    Brother unafanya na visa ya New zealland

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @ramseyjonathan2479
      @ramseyjonathan2479 ปีที่แล้ว

      Ntakutafuta soon

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว +1

      Vipi maisha yapo kule????

    • @ramseyjonathan2479
      @ramseyjonathan2479 ปีที่แล้ว

      ​@@MAISHAYACROATIAndio newzealland ni kama Australia na Canada na USA azina utofauti kimaisha

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว

      @@ramseyjonathan2479 duh kweli mzee

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 ปีที่แล้ว

    Ubalozi wa marekan si tunaenda na hela cash(dollar) unalipia vip wew

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      Mnaenda na cash ?😳

    • @JoyceakaJowi
      @JoyceakaJowi ปีที่แล้ว +1

      @@ArrivalTv😂😂😂 me sikulipa cash lakini….nililipa kwa system (mtandao wa simu)

    • @user-fq4xr3le1i
      @user-fq4xr3le1i ปีที่แล้ว

      Ukinyimwa visa unaweza omba tenavkwa mda gani

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว +1

      @@user-fq4xr3le1i unaweza kurudia kuomba viza wakati wowote ambao sababu iliyokunyima mwanzoni itakuwa imebadilika

    • @ramadhanrashid1011
      @ramadhanrashid1011 11 หลายเดือนก่อน

      @@ArrivalTv broo mimi niliomba canada broo lkn mpk leo majibu cjapata ya visa yng nimwaka mmoja na mwez tena cjw tatizo nini broo nisaidie

  • @Trey2k365days
    @Trey2k365days ปีที่แล้ว +1

    Bila travel history tutatoboa maswala ya usa kweli😅😢😢

  • @gracyanygracy5088
    @gracyanygracy5088 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba number yako tuongeye inbox

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว

    Unatisha kaka 😅