Watachanganyikiwa sana mwaka huu! Wao c wapo dsm na mikutano yao wanawakunya pamoja na watoto wa shule, cdm wapga kura husika ndio wanaokuja mikutanoni
Chanzo Cha Matatizo"CCM" Wako kwenye FIESTA NA WAKINA Mashinji... Kazi wanayo... LAZIMA WAISOME NAMBA WALIOITENGENEZA; WASIEMPENDA KAJA NA anatembea pamoja na Mungu Mkuu....!!! WACHA TUWAKEREEEE... wao wanatembea na mungu wao Magu... Hatari kasoro robo....!!! NI YEYE LISSU RAIS2020....!!!
Daah yaani kila nikiangilia video za lissu nalia kwa uchungu😭. Asante sana Mungu kwa kumrudishia uhai huyu mbeba maono ambae waovu walitaka kukatisha maisha yake 🙏. Watanzania walio wengi wana imani na lissu mpenda haki aje awatetee kutoka kwenye dhiki kuu na uonevu mkubwa waliofanyiwa na CCM. Nina imani hata Mungu kawachoka CCM kwa maovu yao. Ni YEYE ✌️❤️
Yule mungu wao Magu IKULU HAKUKALIKI iwe ni ya MAGIGONI au CHAMWINO....!!! Labda tu ya kijijini kwake kule Wilayani Chato....!!! NI YEYE LISSU RAIS2020....!!!
Jamaa anatisha jana kapanda mtumbwi Ukelewe aaaaaah aaaaah ......ili ndio jembe mtetezi wa wanyonge sio ao wanabomolea wanyonge nyumba zao wengne wazee wamestaaf kuna walioachiwa nyumba za ulithi kabomoa ili ajenge balabala sita kw ajili ya wny Bugati,Hummer ,Range na v8 gr zeny speed kubwa na za be,sasa iz ha bar I za rais wa wanyonge znatoka wapi watu wanateseka,...jaman inauma tumechoka porojo kusoma tunajua na picha tunaona hakuna mtetez wa wanyonge ccm .....vote for lissu jembe
Watanzania tumechoka kukandamizwa tunataka KATIBA mpya na Bunge lenye madaraka ya kuendesha nchi. Madege wala madaraja ya Magufuli hayatusaidi kitu. Tunataka UHURU wa kujieleza.
Kunakipindi nilisikia ccm 2020 watapita bila kufanya kampeni lkn sasa ,kitawatokea puani kama wanajua watanzania wanafurahia uo unyanyasaji wao ngoja tuwaone huu mwaka ,na akianan ccm akipita huu na ama nchi ,ztakuwa figisu sio za kawaida maana Kama mgonjwa wko ICU
Jaman mi nime chpka sana yani kila nkifungua cm yagu nakuta cm yote ime jaa mafuliko ya lisu yani sehem zote anako kwenda jamani mpaka naogopa sana hii si ya kawada aise
CCM wametawala miaka 59 inatosha,ati wanajidai wazalendo,ati wanaamka sasa,tunataka utawala wa haki na sheria,nchi yetu ni tajiri,lakini CCM wameifisidi.
Ukweli kesho kutwa ww hufai hata uenyekiti hao wasukuma hawajui umeacha watoto rehani ulikokuwa unatibiwa ww waambie umekubali ndoa ya jisia moja uone kama hawajakuuwa hapa ulipo eti uhuru wa mtu chumbani yaani ww
Kwan wasomi waisha.Raisi wakati anamteua Kabudi kuwa waziri before alikwa mwalimu chuo kikuu,wenye taaluma zao wapo wengi sana usiogope.Hata hao makatibu wakuu baadhi yao sio wana siasa
Lisu ni chaguo La watanzania kama unaamin gonga like tuendelee
Kama tar 28 una Jambo lako na lissu acha like hapa makamanda😎✌️
✌✌✌✌
Sio lazima ku-like; ILA TUNA JAMBO LETU 28/10/2020....!!! Wa Chato kunamhusu....!!! AMINA....!!!
Freedom is coming tomorrow
Safi san mgombea wetu mtarajiwa lazima tung'oe mag madarakani
Hapo ccm lazima watafutane ,maji yamezidi unga.
May God Enable you to Win this Election
Aamin
Inshaallah. Amin
Freedom,Freedom,Freedom,Ewe Mungu tuokoe na utawala huu ukatili.
Eeeeee🤝🤝🤝🤝🤝🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️
Hakika ww Mungu unayo sababu juu ya Huyu mtu please magoti yetu twapiga mbele yako mpitishe Mussa WETU (TUNDULISU) Aje atutoe utumwan.
Kweli kabisa ninatafakari kuhusu (kupata kibali mbele za MUNGU na mbele za wanadamu) neno la MUNGU ni. hakika na ni thabiti
Amen chiiiiiiiiiiiiii
Duuuuuh lissu raisi✌️✌️✌️✌️💯☑️
kipenz cha watanzania
Wanakuja wenyewe hawafuati mziki inatisha ccm presha inapanda
Daaa kupendwa raha sanaaa
Watachanganyikiwa sana mwaka huu! Wao c wapo dsm na mikutano yao wanawakunya pamoja na watoto wa shule, cdm wapga kura husika ndio wanaokuja mikutanoni
Chanzo Cha Matatizo"CCM" Wako kwenye FIESTA NA WAKINA Mashinji... Kazi wanayo... LAZIMA WAISOME NAMBA WALIOITENGENEZA; WASIEMPENDA KAJA NA anatembea pamoja na Mungu Mkuu....!!! WACHA TUWAKEREEEE... wao wanatembea na mungu wao Magu... Hatari kasoro robo....!!! NI YEYE LISSU RAIS2020....!!!
Mungu atukuzwe
Daah yaani kila nikiangilia video za lissu nalia kwa uchungu😭. Asante sana Mungu kwa kumrudishia uhai huyu mbeba maono ambae waovu walitaka kukatisha maisha yake 🙏. Watanzania walio wengi wana imani na lissu mpenda haki aje awatetee kutoka kwenye dhiki kuu na uonevu mkubwa waliofanyiwa na CCM. Nina imani hata Mungu kawachoka CCM kwa maovu yao. Ni YEYE ✌️❤️
Amen amen
@@yusufusalimu1872 🙏🙏🙏
God blease lisu 🤲
Wapi iyo
Afu leo nmekuwa wa Kwanza
Kucomment
Hongera sana jaamaangu.
Bariadi wametishaaaa
Mpaka rahajamaanguuu
Safari hii labda waibe kura au wachukue kwa nguvu mungu akutangulie lisu baba
Huyo mwenzetu mpaka aende na diamond na Ali kiba. LISU KIBOKO YAO
Hahahaaa
Lissu ni zaidi ya nyerere🤔
Kweli kabisa
Si anafanya fiester kupnd cha kampn we subiri tu ,ww unadhani anasera uyo anajiita mtetez wa wanyonge utasikia ndege balabala na wanawake weupe tu bc
Dah unatisha lissu kila nikifatilia kampeni zako unawatu maelfu kwa maelfu kila mkoa unamyima magu aman sana kwakifupi ushashinda kwa kimbunga
Magufuli ngoma imegoma.
Asantee sana lissu tuvushee
Hapa Usukumani kabisa na hao ni kabila moja na Magufuli Bariadi mmetisha sanaa ✌✌✌✌✌✌✌
Huu ni muujiza kila mahali anapoenda anaugwaji mkono mradi mkubwa wa watu.
Imebuma iyo
Lissu kipenzi cha Mungu na watu.
Uwiiiiiiiiiiiiiiii🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Kama vipi watu wote wa Bariadi Ni Mbinguni wote moja kwa moja chiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
💪💪💪💪✌️✌️✌️✌️🇹🇿❤️❤️❤️
Mwaka huu
Ccm na wasanii wao.wanyonge na lissu wao
Yule mungu wao Magu IKULU HAKUKALIKI iwe ni ya MAGIGONI au CHAMWINO....!!! Labda tu ya kijijini kwake kule Wilayani Chato....!!! NI YEYE LISSU RAIS2020....!!!
Kiutani utani huyu mtu anaweza chukua nchi
Mwaka huu wataisoma namba km wimbo wao.
mwaka huu lazima wamtafute mchawi nan...Lisu for presidential
Mmmh, had nkahis kuna mondi.....
Tundu lissu kweli ni kidume
Jamaa anatisha jana kapanda mtumbwi Ukelewe aaaaaah aaaaah ......ili ndio jembe mtetezi wa wanyonge sio ao wanabomolea wanyonge nyumba zao wengne wazee wamestaaf kuna walioachiwa nyumba za ulithi kabomoa ili ajenge balabala sita kw ajili ya wny Bugati,Hummer ,Range na v8 gr zeny speed kubwa na za be,sasa iz ha bar I za rais wa wanyonge znatoka wapi watu wanateseka,...jaman inauma tumechoka porojo kusoma tunajua na picha tunaona hakuna mtetez wa wanyonge ccm .....vote for lissu jembe
Vijana wamechoka jmn huku nako htr
Ishara za mwenye Haki ndio hizi
tundu lissu is too good for tanzania
Kuna watu wanapoona watu wakifurahi na kuwa na shahuku ya kumsikiliza Lissu matumbo hujaa joto.
Always weng n wavuta bangi.....hawana vitambulisho hao endelea kupuuzwaa.....
Nimeshutuka nilifikiri ni trump kaja Tanzania kumbe ni huyu kiongozi lao .
Mkiiba kura safari hii ,tunaivamia Dar es salaam na dodoma,tutaijaza miji hiyo mpaka haki ipatikane.
Tufanye kwa vitenDo
@@amosmoses7800 Lissu anashinda Uraisi,ukitaka usitake,hilo lipo wazi kabisa.
@@amosmoses7800 Raisi,Raisi,Raisi,Raisi,Raisi.
Lisu ofisini tumtumbue na yeye
Tarehe 28 tufanye heshima ya mwisho ya kupea kazi tundu na kumpeleka nyumbani magufuli
Mipango ya MUNGU Binadamu haijui. Huyu MUNGU kamuweka kuja kuikomboa TANZANIA.
Hakuna kuiba kula ccm mmekwisha ,mulilewamadalaka eti mimindie RAISI wanchihii siamuliwijamboo wewee ninani .
Good good
Yani anaboa kwakweli kujifanya mungu mtu
Watanzania tumechoka kukandamizwa tunataka KATIBA mpya na Bunge lenye madaraka ya kuendesha nchi. Madege wala madaraja ya Magufuli hayatusaidi kitu. Tunataka UHURU wa kujieleza.
Epuka sana kumnyanyasa binadamu hapa duniani.hi maana yake Nini.
Kunakipindi nilisikia ccm 2020 watapita bila kufanya kampeni lkn sasa ,kitawatokea puani kama wanajua watanzania wanafurahia uo unyanyasaji wao ngoja tuwaone huu mwaka ,na akianan ccm akipita huu na ama nchi ,ztakuwa figisu sio za kawaida maana Kama mgonjwa wko ICU
Dawa inaingia taraatib
Htr duh mtetezi wao
Lissu ndie mkombozi wa Tanzania
Jaman mi nime chpka sana yani kila nkifungua cm yagu nakuta cm yote ime jaa mafuliko ya lisu yani sehem zote anako kwenda jamani mpaka naogopa sana hii si ya kawada aise
Eeeeeeeeeeer
Magu chini
Nyota njema huwonekana asubui
Pigaaaaa keleeeeeeee🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Mahaba ya ajabu sana loh!
Rais wangu 28/10/2020
Chamuhimu ni kupiga kura
Raisi gani unanyanyasa mwenzako
Jamani
ACT hawana bendela ?
Tunataka kila mafuriko tuwe tunaona bendera aina mbili Yaani
CHADEMA na ACT wazalendo.
Ni yeye
Mungu simamia haki kwa mteule wako.
Eeeeeeee🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🤝
Simiyu sio pa kuamini shauri yako, maana huko hamna upinzani wabunge wote ni CCM
CCM wametawala miaka 59 inatosha,ati wanajidai wazalendo,ati wanaamka sasa,tunataka utawala wa haki na sheria,nchi yetu ni tajiri,lakini CCM wameifisidi.
Dalili ya mvua mawingu
Msipomwapisha lisu na hama Tanzania sababu amani duhu duuu
Huyu jamaa anaushawishi kama Raila odinga
Weeeeweeeeee
Nilimsikia Musiba anabwabwaja anasema Lissu hana watu hawa wakuedit
Hiyo ngoma ya asubuhi CCM ngoma ya kukesha. Chadema inapigwa mapema tu. CCM inaenda na hesabu. Chadema hana hesabu kamili
Kimeumana
Chaajabu akuna msaniii apo
Baba lao mwaka huu ccm hawatoboi
Ukweli kesho kutwa ww hufai hata uenyekiti hao wasukuma hawajui umeacha watoto rehani ulikokuwa unatibiwa ww waambie umekubali ndoa ya jisia moja uone kama hawajakuuwa hapa ulipo eti uhuru wa mtu chumbani yaani ww
Hivi pale kuna wapiga kura wangapi kama sio walalahoitu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwaiyo kura wamehalalishiwa ccm2
Wakimbize mafisi
Amna wapiga kura hapo
Hapo hamna. Kuna wapiga gita tu NA fiesta
Wamefata fiesta kama mlivozoea ccm
Mbona hata sio nyomi kihivyo?wanamsanifu tuuu.
BINAFS NAMPENDA LISSU ILA CHADEMA SIIPENDI NA SIONI MTU WAKUMKABIDHI BOT.
Kwan wasomi waisha.Raisi wakati anamteua Kabudi kuwa waziri before alikwa mwalimu chuo kikuu,wenye taaluma zao wapo wengi sana usiogope.Hata hao makatibu wakuu baadhi yao sio wana siasa
Ccm magu
Hawez akapita huyo chiz
Chizi kamaza kako.
Kura yako moja haitupunguzii. Kafie mbele
We ndo chizi
Nilimsikia Musiba anabwabwaja anasema Lissu hana watu hawa wakuedit
Watu wanateseka jaman 🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️🚴🏼♀️✌🏾