MOVIE REVIEW | JAMAA ANAMSUBIRI VALENTINE WAKE AMBAE HAWAJAWAHI KABISA KUKUTANA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2024
- Movie Name : ANONYMOUS VALENTINE
Year : 2024
Genre : Drama,Comedy
NB: CREDITS
●WATCH FULL MOVIE ON : UCHENNA MBUNABO TV
⚠️DISCLAIMER
Copyright Disclaimer: - Under section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for FAIR USE for purpose such a as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a use permitted by copyright statues that might otherwise be infringing. Non- Profit, educational or personal use tips the balance in favor of FAIR USE.
IF YOU FEEL YOUR RIGHTS ARE VIOLATED EMAIL ME AT "lifelakitaa@gmail.com " AND I WILL KINDLY TAKE DOWN THE VIDEO.
#zeelakutune #zeelatown #e7bits - บันเทิง
Waa mwisho naomben like 😂😂
🙏🙌
Hi
Hizi movie za Nigeria, zinakuwa bomba kuliko za kizungu, hongera kaka uko vzr sana 👍👍
Asante sana🙏
Wa kwanza kulike gonga like kama unamkubali @izkonkaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤gonga like twende woteeee pamojaa❤🎉😂
🏁🏁🏁
Mbona move nzur nimeipenda sana na ndo kwanza nimeiona da tamuno mzur na rina mzur
Tamuno Iko poa sana mwaaaaaa penda wew❤❤❤
Nakukubali sanah kwenye move za clinton joshua
Polee mzee tumekusubir sana
Asante sana Abdul
Umetisha sana mzazi muuni nimezama kwenye story 🙏 daaah unyama
Uwiiii Napenda Movi za uyu kaka jamani CLINTON❤️❤️❤️❤️🥳💓
Mmoja wa ku like comment yang ili nikumbuke kurud baadae, Ila tanesco wapew maua yao 🥲💔
😂🙌🙌🙌
Jamn hizi story nzuri
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤❤
Pamoja sana
unajua sana bro pia uyo jamaa anaitwa nani nazikubali movie zake unazo ziricapo
Clinton Joshua
Asante sana kwa movie ❤
🙏🙏🙏
Please naomba like zena hapa😍😍😍😍
Sema mwanangu unajua sana
Unakaa sana bila kutupa vitu❤❤
Leo nimeamua niwatch kwa kiswahili before nimtembekee Uchenna tv 😂😂😂😂nikisosa kuwatch during val😅
wa kwanza nipeni likes 😢❤
Chukua😂🙌
Mm naomba niunganishe na huyu tamuno nampenda san ❤❤❤❤❤❤
Nimegundua bro.. Unapendaga Sana Muvi za Huyo jamaa ...na haikika mov zake ni kali
Clinton Joshua n 😊 mkali sanaa
Huyo mkaka tamuno napenda sana movie zake naziomba zilizo tafsiriwa kiswahili kila siku
Kuumwa ni ibada pole Na hongera kwa kumaliza ibada salama,,, kazi nzuri 👏👏
Asante sana🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥💯
🙏🙏🙏
Kitambaa alinunua na kukata mwenyewe! Alikesha nalo😭 Hapo bado hajajua nani kaunguza shati.
❤❤❤❤huyo mkaka ni handsome jmn
Sana Banaaa duuh ❤❤
Wow❤uko vzr napenda sauti yako dj❤❤🎉🎉🎉
Pole na kuugua Zee la kutune
kwani huyu kijana anaitwa nan jaman❤❤
Clinton joshua
Tupo pamoja kakaa
Sanaaaa
😂😂😂😂fb kun matapel wa kila namn
Huyu kijana anajua sana napenda movie zake
ZINACHELEWA SANA JAMAN FANYAKAMA KITAMBO KILASKU
MIMI HAPA MTU WA KWANZA NAOMBENI LIKE ZENI HAPA❤❤❤❤❤
🙌🙌🙌
Ume niwai😂😂leo
@@us.eystar aaaaaaaahhh🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅hihu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤❤❤😂😂❤❤😂😂
😊
Bro nifanyie move ya beekeeper ya Jason statum @@e7bits_tz
hii imeend kak dk nyingi imetulia, inaeleweka mkn xn zee la town hunby
Pole sana kaka tunashukuru Mungu umepona umerudi mzigoni Tena.mwenyezi Mungu akujaalie afya njema
Unyama sana
Mwamba unajua sanaaa
Shukrani sana
Uyu kak jamn nampendaj
Mamtu mazima ovyo et naomba like zenu n Dj apewe nn mfyuuu
Nimepend sanaaaa
nimeipenda hiy ❤❤❤❤
E/7beats nakubali sn🇹🇿
First
🙏🙏🙏
Mwamba unajua kaka aah unanifrahisha sana bro kazi nzuuri nakupa maua yako🌹🌹🌹
poleeee san
Nakuona mkuu, nilismamia haswa kwenye hili swala la kampen ya Subscribe 50,000. Na taali ishafika❤❤❤
Twende 100,000 sasa🙏🙏
Nic movie 🎉🎉
🙏🙏
Big up bro
🙏🙏🙏
Nimewahi leo 53 ata mwamba tunainjoi tuuu unajua sana kutufurahisha mwamba 🎉❤❤❤❤
Kaz nzr saan broo
Nmewahii kdg 😂🎉
😂🙌🙌
Pole man kwa kuumwa, upo good sasa au sio kiwashe.
Ila watu wa fesibuku 😂😂😂😂
Asantee kwa ushauri yako
Uyu jamaa anajua sana TAMUNO
Mi napendaga sauti ya huyu mchambuaji 🤦🤭🤣❤️🙏
Hongera kabisa
Wakwanza tena nipewe like zang 🎉
🙌🙌🙌
konkaa kila siku hata recap mbili mbili ..kazi nzuri sana
Ntajitahidi
Nice one Keep it up brother 💯
Huna bay Kaka e7bits
Pole kwa kuumwa brother
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
🙏🙏🙏
Nimeipenda jamn❤❤
safi sana nimependa
Kounkaaa, ze la kutune zee la town💥
Pole sana ndg yangu ulitaka kumsindikiza lowasa nini😂😂 yote Kwa yote Pole ndg zid kukaza nakukubali kinyama unatisha kama njaa ya kiangazi mb zangu huishia kwenye page Yako dah hatare
7bits salute kwa kazi nzuri
Tisha sana bro wewe ni 🔥💯
🙏🙏🙏
Akuna zaid yako bro, unaua sana🙋♂️🖖
Wa kwanza
🙏🙏🙏
Pole sana broo
Mm awanpat awo matapel nakupenda ✌️❤
Kweli kaka fecbku zipo nyigi😊
Pole kwa kuugua broo
Pole sana
Hongera dj❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Polee familiaaaa
Tunaomba movie za kizungu pia
Pole kaka
Kaka unakaa kimya sana tunamis vitu kama hivi me ni mtu ninae kukubali sana yan ikipita hata siku moja sijaona new video kweny account yako naumwa ww n mkali wa hiz kazi
Nilikuwa naumwa juju😭
Mwamba anajua sana aloo ana itwa clincton joshua
Umeua hiii kaka❤❤❤
Poa boss like siunataka
❤❤❤❤ok
Daah nimecheka ulivyounganisha tangazo 😂😂😂
Hii nayo kali sana.
🙏🙏🙏
Pole kaka kwa kuumwa
Napenda hii sauti
OKy.kazi nzuli sana ii
balaaaaa kwakweli
What’s popping IZKONKA 🤜🏼🤛🏼
❤ big up nkubal
Waooooo
Pole baby e7bits❤
Waoooo very nice ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dahh ulikua unaumwa kumbe pole san kaka
Boraaaumesemaaa maaaana khaaa ngojq nikakinukishe
Pole sana kwa kuumwa
Good Sana mwamba
kunkaaaa😊❤ unajuaaaa