LISSU ATAKA UKOMO WA MADARAKA CHADEMA, AHUSISHA NA WABUNGE WA ‘COVID 19’

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @Simions-q2i
    @Simions-q2i 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu lisu akihamia CCM atapata heshima sana maana anateseka sana Chadema
    Na chadema hawapendi chadema alipoleta point ya kumsifia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM baba wa Taifa julius Kambarage Nyerere

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kua na ukomo ni safi lakini kuwe na watu sahihi sio kila mtu anafaa kua kiongozi mkuu

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo lako unapo mgusa mpedwa wetu jpm hapo ndo unanifanya nikuchukie sana

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtu na nusu , mbowe unateseka ukiwa wp? Kwanini uteseke muache Lisu apite bila kupingwa