“Mpaka sasa tupo nyuma goli 2-0 dhidi ya mashabiki wa Al Ahli Tripoli.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024
  • #CAFCC: “Tunakwenda kufanya ubaya ubwela” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumzia mechi yao ya Septemba 22 ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli kutoka Libya.
    Mechi itapigwa saa 10:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa na itakuwa LIVE #AzamSports2HD
    Ahmed amezungumza mapema leo baada ya kutua jijini Dar es Salaam wakitokea Libya.
    (Imeandikwa na @allymufti_tz)
    #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika“Mpaka sasa tupo nyuma goli 2-0 dhidi ya mashabiki wa Al Ahli Tripoli. Goli la kwanza kuujaza uwanja wao wote kwa mashabiki 50,065. Hili kwetu ni deni na sisi kuujaza. Sina hofu na hilo kujaza uwanja wa Mkapa. Wao walijaa na sisi tunapaswa kujaa. Goli la pili mashabiki wote kuvaa jezi za timu yao, na hilo tuna wajibu wa kwenda kusawazisha. Kila Mwanasimba atakayekuja uwanjani anatakiwa kuvaa jezi mpya ya msimu hii.”
    “Kwa kutambua kwamba tunapaswa kuvaa jezi za aina moja, mdhamini wetu wa jezi amepunguza bei kwa punguzo maalumu. Jezi zitauzwa Tsh. 30,000 na zinapatikana kwenye maduka ya Sandaland The Only One lakini pia kwa atakayekuja uwanjani na kununua jezi yake ya Tsh. 30,000 atampa zawadi ya tiketi ya mchezo bure.”
    “Tunapohimiza watu wavae jezi, tunahimiza watu wavae jezi orijino. Tuseme wazi kwamba tayari tuna taarifa ya mzigo wa jezi feki kuingia nchini. Mdhibiti wa kwanza wa jezi feki ni wewe Mwanasimba, usikubali kununua jezi ya aina hiyo.”
    “Ili kupendezesha uwanja. Wanaume wote siku ya Jumapili tutavaa jezi nyekundu, wanawake wote watavaa jezi nyeupe na watoto wote wa Simba watavaa blue. Kama huna jezi nyekundu na wewe ni mwanaume kanunue jezi mpya na kama wewe ni mwanamke huna jezi nyeupe kanunue jezi mpya kwa bei ya punguzo.”- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja“Mgeni rasmi wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ni Yusuph Kagoma.”- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMojakuujaza uwanja wao wote kwa mashabiki 50,065. Hili kwetu ni deni na sisi kuujaza. Sina hofu na hilo kujaza uwanja wa Mkapa. Wao walijaa na sisi tunapaswa kujaa. Goli la pili mashabiki wote kuvaa jezi za timu yao, na hilo tuna wajibu wa kwenda kusawazisha. Kila Mwanasimba atakayekuja uwanjani anatakiwa kuvaa jezi mpya ya msimu hii.”“Kwa kutambua kwamba tunapaswa kuvaa jezi za aina moja, mdhamini wetu wa jezi amepunguza bei kwa punguzo maalumu. Jezi zitauzwa Tsh. 30,000 na zinapatikana kwenye maduka ya Sandaland The Only One lakini pia kwa atakayekuja uwanjani na kununua jezi yake ya Tsh. 30,000 atampa zawadi ya tiketi ya mchezo bure.”“Tunapohimiza watu wavae jezi, tunahimiza watu wavae jezi orijino. Tuseme wazi kwamba tayari tuna taarifa ya mzigo wa jezi feki kuingia nchini. Mdhibiti wa kwanza wa jezi feki ni wewe Mwanasimba, usikubali kununua jezi ya aina hiyo.”“Ili kupendezesha uwanja. Wanaume wote siku ya Jumapili tutavaa jezi nyekundu, wanawake wote watavaa jezi nyeupe na watoto wote wa Simba watavaa blue. Kama huna jezi nyekundu na wewe ni mwanaume kanunue jezi mpya na kama wewe ni mwanamke huna jezi nyeupe kanunue jezi mpya kwa bei ya punguzo.”- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMo
    #HABARI Jeshi la Polisi nchini limesema zipuuzwe taarifa za uongo zinazosambazwa mitandaoni kwamba Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ametekwa, bali Jeshi hilo linamshikilia kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
    Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime
    #EastAfricaTVMATOKEO | #LaLigaEASports
    FT: Real Betis 2-1 Getafe
    Ilikuwa LIVE #AzamSports4HD
    #LigiKuuHispania #LaLiga #LaLigaEASports #RealBetis #GetafeCF #RealBetisGetafeMAPUMZIKO | #CarabaoCup
    HT: Coventry 0-0 Tottenham
    HT: Brighton 2-1 Wolves
    LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD
    #EFL #KombeLaCarabao #CoventryCity #TottenhamHotspur #Wolves #BrightonHovesja

ความคิดเห็น •