Rais Uhuru azindua karakana ya meli katika kambi ya kijeshi ya Mtongwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2021
  • Rais Uhuru azindua karakana ya meli katika kambi ya kijeshi ya Mtongwe
    Karakana hiyo inatarajiwa kubuni nafasi za ajira zaidi ya 4,000
    Karakana hiyo inatazamiwa kupiga jeki uchumi wa baharini

ความคิดเห็น • 20

  • @sammycharomwalili6728
    @sammycharomwalili6728 2 ปีที่แล้ว +4

    Napenda rais wangu na nikirudi kenya nataka nionane naye kwa kazi yake big up rais wangu

  • @yusufjoseph6094
    @yusufjoseph6094 2 ปีที่แล้ว +6

    Ruto deserves to be the next opposition ili serikali ifanye kazi

  • @onyxanan1381
    @onyxanan1381 2 ปีที่แล้ว +4

    wakiwa na kinara wa ODM..Waziri Mkuu.Mhesh Raila Amollo Odinga...things..good things are happening.wheelbarow peleka welding

  • @patmak94
    @patmak94 2 ปีที่แล้ว +9

    uda is another single party dictatorial regime taking kenya back to arap moi 1990s single party dictatorship; mtafinywa tena kama 1990s na hawa makaleo looters

    • @kingkevin442
      @kingkevin442 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @phoenixhub4454
    @phoenixhub4454 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hii ndio maendeleo sio ile mtu anaku promise ww mtu binafsi ati atakupa pesa uanze mradi trust me ata shilingi hutapata this project atakama hutapata kazi atlst wengine watapata ajira hapa

  • @els.m.7317
    @els.m.7317 2 ปีที่แล้ว

    What a guy!!
    Looks on his face just ooze either whiskey,J/ds,or Jw!!

  • @GATECKENYA
    @GATECKENYA 2 ปีที่แล้ว

    I LOVE IT WHEN I GET A NOTIFICATION THAT "YOU HAVE A NEW SUBCRIBER" INANIFANYANGA NAKUWA NA BIDII SANA

  • @jcobnyamweya8464
    @jcobnyamweya8464 2 ปีที่แล้ว +1

    I like it

  • @belindakayanja7230
    @belindakayanja7230 2 ปีที่แล้ว

    Raila tibim

  • @israelmassaw4707
    @israelmassaw4707 2 ปีที่แล้ว

    Gwajima askofu

  • @petermbugua6492
    @petermbugua6492 2 ปีที่แล้ว +4

    Ruto ni mtu mhimu sana! Anafanya waamke in terms of industrialization. Ili Ruto asichaguliwe ni lazima Waite bidii. We citizens are win win. Even if Ruto become opposition next government they Will bow for mwananchi expectations. Ruto keep on. Whether opposition or prezo to be. We salute you Dr.

    • @pinchesmbuche4354
      @pinchesmbuche4354 2 ปีที่แล้ว +5

      Yeye amechangia nini Kenya .Ruto joined politics in 1989 what has he done.

    • @mwantimazdombo6049
      @mwantimazdombo6049 2 ปีที่แล้ว

      Yes lakini kazi bure sababu ruto tishamchagua kitambo io siku tu ifike

    • @kenyamoja755
      @kenyamoja755 2 ปีที่แล้ว +6

      Ruto anabidii akiwa inje, alikua ndani ni nini ilitendeka??? Kuiba kuiba kuiba.

    • @onyxanan1381
      @onyxanan1381 2 ปีที่แล้ว +2

      unpatriotic dissing Alliance of.corrupt,misleading clueless distracting and destructive anti dynasty antisematic.unfortunate lot of reverse psychoed ill advised Ruto camp.

    • @kenyamoja755
      @kenyamoja755 2 ปีที่แล้ว +3

      Huyo ajifanya kwamba anajali lakini ndie mbwa mwitu, angalia wafuasi wake wote , corrupt, akiwa ndani hakuna kitakua, mwenyewe ni Sugoi man, vitu kama hivi angefikiria vipi na hatembei inchi zengine, akitembea ni kwa museveni aoshe pesa na kuleta Kenya na magunia.