KUNYOOSHA NYWELE BILA UMEME♡/ IKA MALLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @khadijajuma7352
    @khadijajuma7352 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow!! Ika malle i like alafu nashukuru mungu kwamba unazidi kunipa ujuzi nisio ujua penda sana wew mungu akupe umri mrefu😍😍

  • @BernadetteJoseph-zj4rh
    @BernadetteJoseph-zj4rh 6 หลายเดือนก่อน

    Tumeona dd yaani tutajaribu pia na sisi

  • @rosekhamis3511
    @rosekhamis3511 5 ปีที่แล้ว

    Inachukua mda gani kuzfumua hayo mabutu mamy?

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088 5 ปีที่แล้ว +3

    Nywele zako Nzuri mama❤️❤️💕

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Asante Bariki 😍

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 ปีที่แล้ว +2

    Hivi twetment vitunguu lazima uchemshe ?

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Hiyo sijawai jaribu bado! Lakini kuna wengine wanachemsha na wengine wanaviblend!

  • @TinnahMoshi
    @TinnahMoshi 3 หลายเดือนก่อน

    Umependeza jamn na nywer yako

  • @sarahwilson586
    @sarahwilson586 5 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful

  • @marycosmas4043
    @marycosmas4043 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeyapenda hayo manywere nimarefu had rahaa

  • @Itsangylifestyle
    @Itsangylifestyle 5 ปีที่แล้ว +1

    Una nywele nzuri❤

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Asante dear 😊

  • @princesstess8968
    @princesstess8968 5 ปีที่แล้ว

    Huo wimbo unaitwa aje!?na ni nani ameuimba?

  • @pamelaodinga2373
    @pamelaodinga2373 5 ปีที่แล้ว +2

    Mamy hv kuosha nywele zikiwa zimesukwa ni vby?mana wengine tuna pilipl OG zinajifunga

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Hautaisha vizuri kama umesuka minyoosho na itazidi kushika, mimi ninaziTwist alafu ndo ninaziosha ama zigawe katika mafungu 4 then uwe unaosha fungu mojamoja....Mimi pia nina kipilipili😊

    • @swaumuabedi1820
      @swaumuabedi1820 4 ปีที่แล้ว

      Sio vibaya ila vitunguu vidogo dogo au twist ila pia ukimaliza kausha lakini usitoe unyevu wote pka mafuta fumua usuke upya

  • @LifestylewithLyne
    @LifestylewithLyne 5 ปีที่แล้ว +1

    Heri leo umetusalimia "hey guys" ......Nywele zako zimejaa hadi rahaaa

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 wee lyne ww, am coming 4 u😊

  • @RAUNATION
    @RAUNATION 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi mama

  • @TinnahMoshi
    @TinnahMoshi 3 หลายเดือนก่อน

    Unanywer nzuri 😅

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 ปีที่แล้ว +1

    Na Kama nimewai weka dawa naweza Fanya ivyo Kama siitaji kuweka dawa tena

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 5 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful wangu 👌👌👌👌👌

  • @happykisanga4144
    @happykisanga4144 5 ปีที่แล้ว

    Ika izo nywele wakati unataka kutwisti ulipulizia kitu kama maji je mini?

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว +1

      Ni maji

  • @pamelaodinga2373
    @pamelaodinga2373 5 ปีที่แล้ว +1

    Na vp hayo mabutu ukiwa nayo kila siku ni lazim kupaka mafuta au maji

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว +1

    Samahani dear naomba kukuuliza kitu km hutojali

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Uliza

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว

      Unaedit vip vid zako za youtube nimezipenda

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Mimi pia bado najitahidi kujifunza...lakini hapa youtube kuna video nyingi zinazoelezea namna yakuedit (hata mimi ndio ninapojifunzia)

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 ปีที่แล้ว

      Mm pia nimejitahidi sana kuangalia ila app ipi ww unatumia zaidi au nitumie link hiyo ulojifunza tafadhal

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 ปีที่แล้ว

      Natumia PowerDirector....(Kine Master)....zote zinapatikana kwenye Android

  • @zawadisebastian
    @zawadisebastian ปีที่แล้ว

    Dada unakaz Baad ya wik ngap ndy uoshe ten

  • @hamisakisanzo5233
    @hamisakisanzo5233 4 ปีที่แล้ว

    Nywele zako umetumia nn kurefusha

  • @allenkiduka4066
    @allenkiduka4066 4 ปีที่แล้ว

    dada nimependa. kipindi. Chako ukopande zipi

  • @jamalnaseeb123
    @jamalnaseeb123 5 ปีที่แล้ว

    naomba namba yako

  • @anitamichelle8598
    @anitamichelle8598 5 ปีที่แล้ว

    Hi dada mimi nakupendasana unachokifanya razima nikione ku you tube hira nakaa Kampala naomba namba yako ya watsap

  • @pendogeorge2710
    @pendogeorge2710 5 ปีที่แล้ว

    Ngoj nijarib je km ulipak dw inafaa

  • @catherinemayan1216
    @catherinemayan1216 5 ปีที่แล้ว

    Ika umepulizia nini mdada