VITUKO VIMEZIDI Ally kamwe, Ahmed Aly & Hashim Ibwe WAVUNJA MBAVU😂/JAMBO LA STARS wanatishiana DABI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mashaallah mpira si uadui apo waongezeka na wasemaji wengine walig kuu ,wakina masanz,isa mbuz nawengine

  • @wadsworthdevice
    @wadsworthdevice วันที่ผ่านมา +1

    Ila hawa watu hawa watengenezewe masanamu yao tu maana wana tufanya wapenda mpira tu enjoy tu apo kama co wao😂😂❤

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n วันที่ผ่านมา +5

    Ila jmn me shabik wa Simba kindaki ndaki lkn naenjoy sana nikiwaona wasemaji wetu yaan ni aman tu tofauti na nyuma ndo enzi za yule cheupe yaan kwake huwa ni vitavita mda wote lkn hawa watu naenjoy sana kuwafatilia😂😂😂😂😂

    • @JoelTeti-q3w
      @JoelTeti-q3w วันที่ผ่านมา

      Mpira ni vita halafu pia manara ni manara tuu, watu hawafanani.

    • @marystambuli8045
      @marystambuli8045 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Nawapenda mnavyopendana na kuonyesha utani usio na maudhi

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hashi. Anatafunaje huyi😂😂

  • @ZawadielNyau
    @ZawadielNyau 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa majamaa ni marafiki sana😂😂😂

  • @PetterSaidi
    @PetterSaidi วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana ally

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alikamwe big

  • @davidelijahlaiser4064
    @davidelijahlaiser4064 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ushauri Mkubwa
    uhamasishaji wa timu yetu ya taifa kuwe na wasemaji wote wa timu zote za ligi kuu.
    Ushauri mdogo kwa Ibwe
    Asitafunefune akiwa mbele ya media akihojiwa.Ndimbo,Ahmed na Ali wangemwambia kabla.

  • @MzamiruRamadhani-g7p
    @MzamiruRamadhani-g7p 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukitakakugombana na wakristo wesema yesu sio mungu

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 วันที่ผ่านมา

    Unabebwa na mke wa mwenzio 😂😂😂😂😂

  • @Kevoombwambo
    @Kevoombwambo วันที่ผ่านมา +1

    Hawa jamaa ni hatari Sana wanakuw Tanzania iwe juu kwa wasemaj

  • @Jannatxlunner
    @Jannatxlunner วันที่ผ่านมา

    Ali Kamwe anaongea sana akati hamna anaejua kesho

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamasa sawa. Lakini je timu yetu ina ubora kiwango hicho?

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa jamaa wamekuja kumpoteza " KALIKONJI"🤣🤣

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Congo itawafunga hata kwenu hapo mkijikaza mtagawa lakini nguvu za kushinda congo hakuna bali mnanguzu za kuongeya za kupamba team yenu ya taifa stars

  • @moubrown65
    @moubrown65 วันที่ผ่านมา +1

    ALLY KAMWE kwel amekuua sahvi

  • @mkereketwa_wa_harmonize_tz1348
    @mkereketwa_wa_harmonize_tz1348 วันที่ผ่านมา

    Wakwanza nipeni like zangu😅😅😅🎉🎉❤❤

  • @MussaKaminyoge
    @MussaKaminyoge วันที่ผ่านมา

    Hashim imbwe kama soyeye

  • @elizabethmwamakula4784
    @elizabethmwamakula4784 วันที่ผ่านมา

    Anaongeaga kama analiaa

  • @ziadamauwa4196
    @ziadamauwa4196 วันที่ผ่านมา +2

    Mukifuga Congo najiuwa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️

    • @luciamanota2728
      @luciamanota2728 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na utakufa kwl

    • @AllyMohammed-o2b
      @AllyMohammed-o2b 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huna akil ww

    • @Machozihussen-er8cp
      @Machozihussen-er8cp 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanafungika tu,kusema hivyo ni kuukosea heshima mpira wa miguu nanukuu Jose mourinho alishawahi kusema football ina matokeo ya kikatili sana

  • @kalimakalima2136
    @kalimakalima2136 วันที่ผ่านมา

    Tanzania1-0DRC fist time and second time 50min 1-1 and 75min 1-2. At the end Tanzania 1-Drc2.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @Baira240
    @Baira240 วันที่ผ่านมา

    Alafu yule bro ni shabik dam dam wa team ya taifa kwaiyo kwenye place ni bodyguard wa hao wasemaji😂😂😂mbona yy hasemi kitu

  • @FrankGozbert-h2y
    @FrankGozbert-h2y วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢😢

  • @selemanikipembac5686
    @selemanikipembac5686 วันที่ผ่านมา

    Ally

  • @FOOTBALLTIME9080
    @FOOTBALLTIME9080 วันที่ผ่านมา

    nenda mskitini