Bethel Gospel Singers Wahurumieni Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @mariamathuman4067
    @mariamathuman4067 10 หลายเดือนก่อน +4

    2023 Desember 12 nipo nabarikiwa hapaa❤❤❤❤

  • @jacksonsilvery5963
    @jacksonsilvery5963 2 ปีที่แล้ว +11

    Ilikuwa mwaka 2003 kufika dar ,nikienda kuripot Pugu boys kidato cha tano.Nikafikia kiwalani kwa dadangu.Nikiwa home nasikia hizi nyimbo zikiimbwa kutoka ktk kanisa la bethel kiwalani..Mungu aibariki kazi yenu.Nawasikia tena leo nikiwa mtu mzima na familia yangu.Namwomba Mungu niwakumbuke wasiokuwa na uwezo as mimi uwezo wa kula ninao.Asante Yesu kwa neema hii ya wokovu.

    • @NoahLugano-ij8co
      @NoahLugano-ij8co ปีที่แล้ว

      Acha tu ,yaani hii kwaya ilikuwa kiboko,lakin kwa ss weshasambaratika ,Hali ya Maisha imefanya mambo yabadirike,wengine wamehama,wako sehemu nyingne wanatafuta maisha

    • @remmyalfred6736
      @remmyalfred6736 7 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana Mungu akatoa kibali cha kurekodi ili nyimbo ziendelee kuponya watu. Kusambaratika hutokea hasa mbeba maono akiondoka. Tushukukuru walivyorekodi.​@@NoahLugano-ij8co

  • @mathiasgau9493
    @mathiasgau9493 2 ปีที่แล้ว +4

    Any one who listen this song 2022 like me!

  • @hansmwasakyeni3038
    @hansmwasakyeni3038 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuja kwako sina nguo lakini ulinivisha! What a strong message! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nitikemwanyanje5187
    @nitikemwanyanje5187 3 ปีที่แล้ว +5

    Inanikumbusha mbali Sana nikiwa binti mdogo, nilikuwa naimba Sana hii nyimbo, mpaka naolewa sikuwahi kuikinai, hata Sasa naendelea kuiimba mpaka wanangu wananiiga. Hakika bethel mlijua kuimbaaaa.

  • @rechokusilimka5739
    @rechokusilimka5739 4 ปีที่แล้ว +5

    2020 viewers tujuane

  • @lusekeloswedy5134
    @lusekeloswedy5134 2 วันที่ผ่านมา

    My best choir in the world BGS

  • @simontesmer6
    @simontesmer6 ปีที่แล้ว +3

    Very prophetic song for my year 2023

  • @BrunoNzasule
    @BrunoNzasule หลายเดือนก่อน

    Asante saana waimbaji nyimbo nzur kitambo saaana

  • @alfredysanga8873
    @alfredysanga8873 2 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli album yote ilikuwa na nyimbo nzuli sana kiukweli nakumbuka mbali sana kiukweli niomben na mm niludi kwa bwana😢

  • @DennisFelixTz
    @DennisFelixTz 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada anyeimba kafanana na anni anie

  • @frankonicholaus619
    @frankonicholaus619 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo nimeutafuta kwamiaka kumi tangu nilipouskia nikiwa mdogo god bless you

  • @AvillaManupa
    @AvillaManupa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki mpaka Leo na barikiwa 2024

  • @roserichard5327
    @roserichard5327 4 ปีที่แล้ว +5

    Izi ndo nyimbo za kutukuza sio za sasa za kutafuta pesa😂😂😂😂

    • @NoahLugano-ij8co
      @NoahLugano-ij8co ปีที่แล้ว

      Kabisaa Dunia Ina waya waya ,yaani Mungu atujalie mwisho mwema

  • @meshackkwigize9848
    @meshackkwigize9848 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri za utukufu,sio hizi za wololo wololooo

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 3 ปีที่แล้ว +2

    Inanikumbusha enzi za udogo wangu
    #tusichoke kutenda mema😊😊

  • @abasimwamelo6679
    @abasimwamelo6679 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekumbuka mbali Sana nikiwa kwa mjomba iringa wabalikiwe sans

  • @justermgaya5860
    @justermgaya5860 5 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo naupenda sana una maneno mazuri sana! Barikiweni

    • @NoahLugano-ij8co
      @NoahLugano-ij8co ปีที่แล้ว

      Hii kwya ilikuwa kiboko,yaani natamani siku zirudi nyuma ,Bethel Hawa kiwalani

  • @isaacmutungakatua7329
    @isaacmutungakatua7329 2 ปีที่แล้ว +1

    Annah annie still uko Kwa hii choir God continue blessing u good soloist

  • @ItonkgeMbahi
    @ItonkgeMbahi ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mwenye huruma, wimbo huu naupenda sana,

  • @collyalinani2407
    @collyalinani2407 5 ปีที่แล้ว +3

    Kipindi kile TV hata hamna. Kijijini mwenye TV mmoja tu twaenda wote kwa huyo. Mubarikiwe nyote

    • @mamamchngai
      @mamamchngai 2 ปีที่แล้ว

      Vipi siku hizi?

    • @reginmaiko3688
      @reginmaiko3688 2 ปีที่แล้ว

      Kweri kabisa kipindiicho kilikuakigumu sanna

  • @tusajigwemwangonda8756
    @tusajigwemwangonda8756 2 ปีที่แล้ว

    Jamani huu wimbo unanikumbusha nikiwa Kigogo 2000 wapendwa Mungu awabariki kazi yenu ni njema

  • @emmanuelalfredmsongole7812
    @emmanuelalfredmsongole7812 ปีที่แล้ว

    Jamaa walikuwa wanaimba viziri Sana hasa upande wa vyombo walikuwa wanajitahidi Sana Hivi wako wapi siku hizi na kiongozi wao Ruben

  • @AfricanBan2
    @AfricanBan2 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen it’s been a while since I heard this choir

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 10 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana sana mwaka 2006 nikiwa Bomalang'ombe huko Kilolo

  • @atuganilemsyani2652
    @atuganilemsyani2652 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo Unaturejesha kwenye upendo wa Kwanza wa agape nimebarikiwa sana

  • @feithchisaga955
    @feithchisaga955 ปีที่แล้ว

    Kingdevd wako vizur

  • @kihangasper
    @kihangasper ปีที่แล้ว

    Hakika old is gold

  • @AnaaRombat
    @AnaaRombat 2 หลายเดือนก่อน

    Mko wapi wapendwa

  • @AnaaRombat
    @AnaaRombat 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani rudini kundin nyie kondoo wa bwana

  • @abelonchiri738
    @abelonchiri738 ปีที่แล้ว

    Nyimbo safi sana. Mungu hawapaliki amen

  • @kingmwaxoh6420
    @kingmwaxoh6420 3 ปีที่แล้ว +1

    The days when real gospel thronged in our country

  • @joshuamwambene6041
    @joshuamwambene6041 2 ปีที่แล้ว

    He safi sana.Nilikiwa Bomalang'ombe Kilolo

  • @georgekimboka9821
    @georgekimboka9821 8 หลายเดือนก่อน

    Wapo Redio 2003

  • @rikasoterikasote2933
    @rikasoterikasote2933 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wimbo huu Hamtakufa Bali mtaishi asema Bwana wa Majeshi

  • @meshack3266
    @meshack3266 2 ปีที่แล้ว

    2022waulumieni wenye matatizo

  • @vincentoruko
    @vincentoruko 5 หลายเดือนก่อน

    Amen❤🎉

  • @joycesilvano5764
    @joycesilvano5764 4 ปีที่แล้ว +2

    Yupo Mungu

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Alafu Iyi Wimbo ya Upendo Ina ni pâtia MOYO Hallelujah Hosanna Amen Amen Amen Mu barikiwe DAIMA

  • @mamamchngai
    @mamamchngai 2 ปีที่แล้ว

    Wasaidieni wasio na mavazi wavikeni wote.

  • @gracemwanjabala8073
    @gracemwanjabala8073 5 ปีที่แล้ว +1

    nabarikiwaaa saaaanaa nyimbo inanikumbushaa mbariii saanaaa mungu awabarikiiii

  • @priscakenedy5336
    @priscakenedy5336 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ahidimtafya4593
    @ahidimtafya4593 4 ปีที่แล้ว +1

    Best song ever, hongera Sanaa mubarikiwe

  • @beatricemwasunda5027
    @beatricemwasunda5027 ปีที่แล้ว

    Very powerful message n musical instruments ziko vizuri saaana

  • @cosmasmpwage3155
    @cosmasmpwage3155 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo nakumbuka miaka zaidi ya kumi nyuma 😩😩😩

    • @richardnaphtari
      @richardnaphtari 5 ปีที่แล้ว +1

      Cosmas Mpwage mim miaka 15 iliyopita. Nilikua iringa choka atari. Ama kweli mungu anatenda

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 4 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka sana miaka ya 2000,nikiwa ninaishi Kiloleni nyumbani kwa Mbise,Tabora

  • @AnethMnyambwa-q5q
    @AnethMnyambwa-q5q 10 หลายเดือนก่อน

    Naikubali sana hii nyimbo

  • @CywellMbeye-uw1jn
    @CywellMbeye-uw1jn ปีที่แล้ว

    Mko poa Sana Wana waMungu

  • @samgchannel4547
    @samgchannel4547 5 หลายเดือนก่อน

    2024 Bado nasikiliza

    • @AnaaRombat
      @AnaaRombat 2 หลายเดือนก่อน

      Wako wapi jaman haw wapendwa

  • @monicamwampamba310
    @monicamwampamba310 2 ปีที่แล้ว

    Amina nabarikiwa sana

  • @nemaalmarri4521
    @nemaalmarri4521 6 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏🙏💚

  • @VumiliaLwoga-je1tp
    @VumiliaLwoga-je1tp ปีที่แล้ว

    Very powerful song

  • @davidmutai4916
    @davidmutai4916 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana sana

  • @MistaToo
    @MistaToo 2 ปีที่แล้ว

    I love this song

  • @wissmantengio4699
    @wissmantengio4699 4 ปีที่แล้ว

    Amina! Wanadamu tupunguze ubinafsi tusaidiane!

  • @telesiabahati7438
    @telesiabahati7438 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @estermboke8051
    @estermboke8051 ปีที่แล้ว

    Great song .... blessed all of you.

  • @enockambakisye4914
    @enockambakisye4914 3 ปีที่แล้ว

    Haleluya mungu ni mwema

  • @emmanuelmalanga9275
    @emmanuelmalanga9275 3 ปีที่แล้ว

    Hakika MUNGU yupo.

  • @zakayoedwardmusa722
    @zakayoedwardmusa722 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nimyimboni nzuri

  • @kelvinthomas4047
    @kelvinthomas4047 ปีที่แล้ว

    😭😭🙏

  • @brownbethuely4934
    @brownbethuely4934 3 ปีที่แล้ว

    Aimeen!

  • @winfridaadam2813
    @winfridaadam2813 5 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️❤️🙌too long

  • @princemlawatz2328
    @princemlawatz2328 4 ปีที่แล้ว

    Wahulumieni

  • @fadhiligeofrey9734
    @fadhiligeofrey9734 2 ปีที่แล้ว

    Very Impressed by this song👍

  • @JoshuaJacob-fe6cd
    @JoshuaJacob-fe6cd ปีที่แล้ว

    Amen