UKUU WA MUNGU ,, KWAYA YA MT.YOSEFU KANISA KUU LA MT.YOSEFU JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @RosaliaStephen-l5x
    @RosaliaStephen-l5x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice song ..barikiweni na uimbaji mzuri❤❤

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika.mungu.nimkuu.haleluyaa

  • @MagesaSospeter
    @MagesaSospeter 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo mzuri plus ujumbe uliokamilika. Hongereni watumishi Mungu azidi kuwaimarisha katika kueneza neno Lake kwa njia ya uimbaji Amina.

  • @mussaananiasmyonga727
    @mussaananiasmyonga727 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Idama hongera kwa kazi nzuri.Na wanakwaya pia hongera Sana.YAANI KIKATOLIKI KABISA YAANI.KEEP IT UP.

  • @charleskimbangile1177
    @charleskimbangile1177 2 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana. Mungu awatie nguvu muendelee kumtukuza Mungu.

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 4 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo unaburudisha roho. Umetungwa na kuimbwa kwa ustadi wa hali ya juu. Mungu awabariki sana

  • @AnnaLema-t7c
    @AnnaLema-t7c 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana mungu awatunze

  • @fabianmabano8400
    @fabianmabano8400 4 ปีที่แล้ว +3

    UKUU WA MUNGU WETU hauna kipimo wala mfano.YEYE NI MUNGU Aliyepo,Aliyekuwapo na Atakayeendelea kuwapo.Hongereni kwa ujumbe mzuri.Ongezeni kutupatia ujumbe kwa nyimbo nzuri jamani.Mbarikiwe sana.

  • @gloriarobert6582
    @gloriarobert6582 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzr sana, barikiwa waimbaji. Na awape nguvu mzidi kumtumikia kwa uimbaji 🎺🎷🎵🎼🎧🎤

  • @lilyanjackson1163
    @lilyanjackson1163 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo naupenda sanaaa

  • @BettyShanty-bh5xj
    @BettyShanty-bh5xj ปีที่แล้ว +1

    Lovely 🌹 song

  • @dianakitika
    @dianakitika 28 วันที่ผ่านมา

    Best song ever🙌❤‍🔥

  • @fabiangeorge616
    @fabiangeorge616 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakika kazi nzuri.Mungu yupo kila mahali.Hakimbiwi kweli.Asanteni asanteni sana kutukumbusha, kwani katika shida ukimwita YUPO.Na katika raha yupo.Na hakawii.

  • @mrtembakiboboy6145
    @mrtembakiboboy6145 2 ปีที่แล้ว +2

    Da,tafakar vzur ya utilitu nmefuatkia wimbo umetuliiia,naitwa Stella nawapenda woote mliohusika ktk uimbaji huu bora

  • @wyckliffenyangaresithebest
    @wyckliffenyangaresithebest 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri Sana

  • @luciasimaoantonio5531
    @luciasimaoantonio5531 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa ukumbusho. Kanisa langu. Nipo pamoja nanyi. Mungu awabariki na endeleni kuhubiri neno la mungu.

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice song congratulations, may God strengthen your faith to countiue priseing.

  • @alexanderedmound9932
    @alexanderedmound9932 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuisimamia hii kwaya ifikishe miaka isiyo na idadi
    I like My Choir
    Mungu Azidi kutulinda

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 4 ปีที่แล้ว +1

      Hongereni sana wapendwa katika bwana

  • @josephadolph605
    @josephadolph605 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana endeleeni kutuwekea nyimbo nyingi zaidi za tafakari kama hizi

  • @nuruluvingo7356
    @nuruluvingo7356 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri.. hakika kuimba ni kusali mara mbili

  • @lameckfrancis2695
    @lameckfrancis2695 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereeni sana kwa utumishi mwema

  • @braviusrweyemamu6811
    @braviusrweyemamu6811 4 ปีที่แล้ว +2

    Hamjawahi kuniangusha my beloved choir. Mnatoa vitu vikali sana with Natural voice

  • @JugoMedia
    @JugoMedia 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana kwa kazi hii nzuri na iliyotukuka ssna, mbarikiwe

  • @florencechalo
    @florencechalo 4 ปีที่แล้ว +3

    Beatus Manota Idama ! Utunzi wako utaziokoa Roho za wengi! Hongera sana Mungu azidi kukukilimia

    • @liliankwizera8546
      @liliankwizera8546 4 ปีที่แล้ว +1

      Is this Beatus Idama aliyesoma SAUT 1997-2000? Kama ni yeye mpe hongera sana! Alikuwa mpiga Kinanda mzuri sana choir ya Chuo!

    • @beatusidama6233
      @beatusidama6233 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina Chialo.
      Ninyi mmeutafsiri vema kiasi sisi wana wa Mungu tunabarikiwa. Kupitia uimbaji wenu, Mwenyezi Mungu atukuzwe nasi viumbe wake tuupate wokovu.
      Tumwimbie Bwana katika roho na kweli.

    • @beatusidama6233
      @beatusidama6233 4 ปีที่แล้ว +2

      @@liliankwizera8546 thanks for talking good of me. All in all I am but a messenger of God through church music ministry.
      Glory be to our good Lord God.

    • @cyrusnduati4595
      @cyrusnduati4595 4 ปีที่แล้ว +1

      @@beatusidama6233 Habari mwalimu

    • @beatusidama6233
      @beatusidama6233 4 ปีที่แล้ว +1

      @@cyrusnduati4595 Salama Cyrus

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina wapendwa,asanteni kwa ujumbe mzuri na uimbaji mzuri.Am Catholic and proud

  • @ethanboniphace6591
    @ethanboniphace6591 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii tafakari inapenya ndani kabisa ya Moyo wangu, siwezi acha ama kuchoka kusikiliza utunzi huu adhimu..Mungu awabariki sana awaongoze daima na awape kwa kadiri ya maombi na haja za mioyo yenu MSICHOKE KATIKA KUMTUMIKIA YEYE KWA UIMBAJI....

  • @francismhagama9165
    @francismhagama9165 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana kwa utume wa uimbaji na kwa kazi nzuri sana, yenye sauti za asili. Mtunzi, mwalimu, hongera sana kwa tafakari njema..Loh! Naona muunguniko wa marehemu Joseph Makoye na Babu John Mgandu. Keep it up

  • @scholaemanuel7677
    @scholaemanuel7677 ปีที่แล้ว

    Nawapenda Sana na huu wimbo huwa unanitafakarisha sana

  • @pondapapa8371
    @pondapapa8371 3 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful

  • @barnabasmabano489
    @barnabasmabano489 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana kazi nzuri Mungu azidi kuwatia nguvu ,Amen

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeshajifunza kituuu....NINYI NI WALIMU WA KANISA KATOLIKI.....SAFI SANA

  • @geraldjoseph7767
    @geraldjoseph7767 4 ปีที่แล้ว +3

    Saaaafiiiii

  • @thomaslusibula3664
    @thomaslusibula3664 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe

  • @tanuidominickibitok3320
    @tanuidominickibitok3320 4 ปีที่แล้ว +2

    mziki huu wainua moyo wangu. Asifiwe Mungu

  • @marianasasmos1722
    @marianasasmos1722 4 ปีที่แล้ว +2

    Waoooo! Tafakari tamu sana hii. Napenda sana kuimba, na sijutii kuwa mkatoliki

  • @phillipmbuligwe7946
    @phillipmbuligwe7946 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mnazitumia vyema talanta mliyopewa na Muumba wetu. Mungu andeleee kuwabariki. Wimbo unasisimua mwili mzima!

    • @thobymsule6045
      @thobymsule6045 3 ปีที่แล้ว

      Asanteni sana kuturejeshea melody yetu ya kikatoliki

  • @emambawi4186
    @emambawi4186 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri unanigusa mno katika maisha yangu

  • @aidankalinga1598
    @aidankalinga1598 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana

  • @tempochoir
    @tempochoir 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa ujumbe mzuri sana

  • @elizabethmzimya8305
    @elizabethmzimya8305 3 ปีที่แล้ว +1

    Sauti zinavutia ,kwa kweli sifa zangu ziwafikie

  • @inyasimrimi85
    @inyasimrimi85 2 ปีที่แล้ว +1

    utulivu wenu unanibariki

  • @pondapapa8371
    @pondapapa8371 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni ndugu...

  • @samuelmwangi8188
    @samuelmwangi8188 4 ปีที่แล้ว +1

    Sweet Bass

  • @samuelmwangi8188
    @samuelmwangi8188 4 ปีที่แล้ว

    Excellent singing.

  • @aminielelisha9685
    @aminielelisha9685 2 ปีที่แล้ว +1

    00

  • @peterqorrocscqorro9341
    @peterqorrocscqorro9341 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni kwa mziki mtakatifu, niende wapi niukimbie USO wako

  • @saintjosephcathedralchoird3769
    @saintjosephcathedralchoird3769  4 ปีที่แล้ว +3

    NACHUKUA NAFAHI HII WOTE MNAFUATILIA NA KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU,
    SASA KUNA KITU KINGINE KIPO NJIANI, JIONI YA LEO HAITAPITA BURE, # NALITUKUZA JINA.......
    #Kuimba Ni Ibada#

    • @pascalmussa8338
      @pascalmussa8338 4 ปีที่แล้ว

      Hongereni kwa kazi nzuri, naomba nota tafadhali...My number +254 70 15 69 773

  • @lucasmahela1040
    @lucasmahela1040 3 ปีที่แล้ว

    Bwana awape stahili ya utume wenu, mbarikiwe

  • @bathlomeoflorian6908
    @bathlomeoflorian6908 4 ปีที่แล้ว +2

    Atukuzwe Mungu milele... nimebarikiwa sana na wimbo huu.. naomba kutumiwa kwenye hii no 0686374755.. Tumsifu Yesu Kristo

    • @saintjosephcathedralchoird3769
      @saintjosephcathedralchoird3769  4 ปีที่แล้ว

      Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya kubarikiwa kwako
      Albamu hii ina nyimbo 10 na amini ukizisikiliza /kutazama utabarikiwa zaidi,
      Gharama Ni Tsh.5,000 tuu
      Contact
      0621 884 078
      0687 751 047

  • @fabianmabano8400
    @fabianmabano8400 4 ปีที่แล้ว

    Nani kama Mungu?Hakuna.Hivyo kilicho kikuu zaidi ya Ukuu wa Mungu ambaye yupo mahali pote.Kwani mkono wake utakuongoza kote unapomwomba akusaidie kufika.Ukijaribu kukimbia huwezi kwani kila mahali yupo.

  • @josephmbise6301
    @josephmbise6301 4 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiiii