Juzi nimeingia chumba cha maiti mloganzila ili kuutambua mwili wa ndugu yangu kiukweli ni tuwashukuru hawa wahudumu wanafanya kaz ngumu ya kuwaweka sawa ndugu zetu😢ndugu yangu alivurugika kichwa ila yeye alimshona shona mpaka akapata muonekano kidogo😢😢😢
hiyo kazi angekuwa anaifanya nnchi za ulaya ungekuwa tajiri fasta cha Ajabu kwa bongo mtu anayefanya kazi ya mochwari mshahara mdogo kuliko Dr wa kawaida mlitakiwa mpewe mshahara mkubwa
Naheshimu kazi yangu ndo inayo niweka mjini 😊👌
Hongera classmant wangu mungu akubariki sana
Kumbe ni clasiment wako
Huwezi kupatwa na shida sababu kwanza umeipenda kazi yako kutoka moyoni so huwezi kuona vibya hongera sana
Ann Mwangangi wa Tz, kudos brother
Daah astaghafirulah sabufa tena ee Mungu Nisamehe kwa kucheka
Hiyo kazi watu wa Gaza wanafanya kila iitwayo leo
Huyu ni mwanagu sana anaitwa Malya tulipiga kasana kazi hizi kipindi cha Covidi, amepelekwa Muriet baada ya kufanya kazi hii vzr pale Mount Meru
Mimi pia hiyo kazi naitamani sana. Mungu akubariki kaka kwa kuwastiri wapendwa wetu kabla hawajapelekwa kwenye nyumba zao za milele.
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂jmn
Kutamani na kuweza ni vitu viwili tofauti
unaweza kuitamani ukashindwa kufanya hiyo kazi
Kasome tuu, haina ushindani wa ajira kama ualimu, polisi au kazi zingine za ofisini.
Hope wanawalipa hawa jamaa mshahara mzuri sana 🙋🏾🙏🏾. Hii kazi ni ngumu
Juzi nimeingia chumba cha maiti mloganzila ili kuutambua mwili wa ndugu yangu kiukweli ni tuwashukuru hawa wahudumu wanafanya kaz ngumu ya kuwaweka sawa ndugu zetu😢ndugu yangu alivurugika kichwa ila yeye alimshona shona mpaka akapata muonekano kidogo😢😢😢
Ndugu yako alipatwa Na ajari au
Duuh 😢😢 poleni dear
@monicacyprian9137 Asante sana
@@hemedisalim5522 ndiyo alipata ajari mbaya sana kichwa chote kimeisha kimebaki kidevu tu😭
Hicho ni kipaji mungu amekupa
Chochote unachokiona ww kigumu kufanya,,jua kuna wenzio wanakifanya,,tena kwa uyakinifu mkubwa..(chochote)
Nimecheka sana eti nawawashia sabufa dah kweli hii kazi inawatoa watu mshipa wa noma
Hyu sii mkristo so angekuwa musialm asingewasha cz haram wao sii nyimbo kwao wanaona fresh tu
Ona hata macho yake yaan yalivyoo yaan hata Nuru hayana kushinda na maiti sio kazi ndogo
hawa huna watu wanamaliza nawapewa pesa na wanawamalizia wanajua mengi na wanaona mengi
munamoyo weee
hiyo kazi angekuwa anaifanya nnchi za ulaya ungekuwa tajiri fasta cha Ajabu kwa bongo mtu anayefanya kazi ya mochwari mshahara mdogo kuliko Dr wa kawaida mlitakiwa mpewe mshahara mkubwa
Tangu lini kazi ngumu ikawa na pesa bro ? Unataka kusema muosha maiti wa Ulaya ana pesa kuliko Mhasibu wa Ulaya?
Tuliza akili bro Dunia aiko ivo
Shikamo bro😂😂😂😂😂😂 eti unapiga nao story
Aisee, apo kwenye kuwaekea bongo flevaaa 😂
Kufa hakiogopesh kinacho ogopesha ni kutangulia
😂😂😂😂 dah na sabofa juu
Huyu mwamba kavurugwa muachen
Hahaha mjomba ni kama dish. ... hahaha ila wano s mengi sana Hawa wazee
Malia na bado mjasiria mali apo jiran
Mmeona poda na make up
Hiii kali kama pilipili
Cjawah kukutana na muosha maiti mnene cjui kwann?
😂😂😂😂😂huachi
Muhimbili yupo