DOGO JAY....nimekubari mziki wenu upo juu sana kaka sema nn mbona chaukucha wawasikiki kama nyinyi by DON KICULLUMANT hapa big up sana wana wote wana wote wamananyamala kisiwani
Huu ndio mziki wetu sasa watu Daslam henzi hizo, Huwezi kuuta kwengine. Enzi hizo Dar inaishia kimara ukienda mbezi porini, upande wa kusini mwisho mtoni mtongani na tandika ukienda mbagala porini na yombo kote porini, upande wa kaskazini mwisho mbezi beach ukienda tegeta porini, upande wa magharibi mwisho vingunguti ukienda ukonga huko ni porini tu.
Fala ww mbagala ilikuwa pori mwaka gani kuna mtu kashihudia mbagala ikiwa pori na BADO yupo hai juma mpogo na Jack simela hata kama wangekuww hai mpaka leo wangekuwa BADO vijana tu
Whoa! Nice stuff! The music get the people forget their problems, just for now at least! kusema ukweli hawa ni real artist, May be you guys don't see what I see. Hawa artists wanahitaji promotion!
Naipenda jagwa kuazia mwaka1996 na stoicha love you miuzk wa asili ya Tanzania 🇹🇿
Dah Kila Niingiapo TH-cam Sichoki Kuisikiliza Na Kuingalia Hii Nyimbo😭Pumzika Kwa Amani Jack Simela
Mw/Mungu Akujaalie Kaul Thaabit🙏🙏
Saaana 😢😢😢
Rip Jack Ximela ulijua kutusahaulisha shida kwa muziki wako
10 years later, I’m still jamming this gem!
DOGO JAY....nimekubari mziki wenu upo juu sana kaka sema nn mbona chaukucha wawasikiki kama nyinyi by DON KICULLUMANT hapa big up sana wana wote wana wote wamananyamala kisiwani
I went to them concert saturday 10/11/2012 in Verona...respect!!! Moreover I falled in love with the singer :P
Tp, mazinge, dogo jack, diblo, kashinde. Nduza... Na kundi zima la Jagwa muziki
I just find out simela is transferred to the next life, God have mercy on his soul
Kama dawa jagwaaa inatisha heshima ndio kila ki2
one of my favourite newspapers brought me here. and right they were, love it!
I saw them in Oslo today. They were great!
Ĺ
Ni Nooooma Jagwa Music, Dogo Jack Simela EHHHHHHHH Nakubali Sana, Kwanza Ulaya Itabaki Kuwa Ulaya Na Tanzania Itabaki Kuwa Tanzania
You are always great
R.I.P Jack Simela nilikuwa nakukubali sana mwamba wangu,,,umemuacha mwanao Dulla Makabila
Tatizo Makabila,haja- link kabisa na huu mziki mzuri.Ajiongezee
Dullah hana jambo yule hivi vilikuwa vichwa dogo jack plus juma mpogo 🔥🔥🔥🔥
Ni shida Jagwa music.Ndege la jeshiiii.
Huu ndio mziki wetu sasa watu Daslam henzi hizo, Huwezi kuuta kwengine. Enzi hizo Dar inaishia kimara ukienda mbezi porini, upande wa kusini mwisho mtoni mtongani na tandika ukienda mbagala porini na yombo kote porini, upande wa kaskazini mwisho mbezi beach ukienda tegeta porini, upande wa magharibi mwisho vingunguti ukienda ukonga huko ni porini tu.
Fala ww mbagala ilikuwa pori mwaka gani kuna mtu kashihudia mbagala ikiwa pori na BADO yupo hai juma mpogo na Jack simela hata kama wangekuww hai mpaka leo wangekuwa BADO vijana tu
2020 nice r.i.p wote waliotangulia
TANZANIA ITABAKI KUWA TNZANIA 🙋🏻♂️
Daah..huu mzk mpk leo nausikilz..sisi watt manzese ndio ulikuwa mzk wetu pendwa huu
Hao watotot wa Mwananyamala ni sheeeda
By KANDORO boy mzee WA mazense kwa sasa ni nipo fonga
Jack simela 😢 rip 🙏🏽 brother
Nawapenda sana
nackia rahaa mpaka baciiii
Whoa! Nice stuff! The music get the people forget their problems, just for now at least! kusema ukweli hawa ni real artist, May be you guys don't see what I see. Hawa artists wanahitaji promotion!
Sure
Jagwa
Najiulizaga kwanni Jack simila Kawai kufa
Roho inaumaa dogo Jack simela
R.i.p❤
Long live my brother simela
R I P jack
ulaya itaba kuwa ulaya natanzdnia itabaki kuwa afrika sio tanzania itacki kuwa tanzania. tanzania sio bara. hapa dogo jaki unipe ufafanuzi.
Tunga ya kwako alafu ndio useme ulaya na afrika. Watoto wa mashada tunajua tanzania itabaki kuwa tanzania
Ametutoka dunia jamani dogo jack
Daaaa ebwanaeee so sad huyu mwamba katangulia kumbe 😢 😢 😢
King 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
🔥🔥🔥🔥
Kudadek mtu yupo live no filter no nn lakin sauti rula duh hakika mwenyezi MUNGU ni mkubwa alitunyang'anya hii zawad mapema
2021
Wenyewe hao
Dah kama utani vile mchizi katutoka r i p jack simela
Kwan alikuw ansumwa
Moro gangster🇹🇿🇹🇿🇹🇿
mng ibalik jagw music
Jmn
mambo
2020
haha chezea jangwa weye lov xn
¿que idioma es? juro escuchar frases en español
Es idioma Swahili de Tanzania paleseo Espanol my Brother
crazy cazio!
ninomaaaaa
🎲🎲🎲🎲🎲🎲
Jack rip😣
rip jack simela
jaguar music band very pop in dsm but it nothing stage
From Tanzania 🇹🇿 est Africa to Mart Vancouver Canada 🇨🇦 listen this song I mis home
thumb organ rules!! no1!
Heshima ni kitu cha bure
Ukijipendekeza hapo wauni lazima wakwarue zote.
umeonaeee
Tuna kariri tu ukiona mpk waun wakiwa kwenye stareh wanakukwarua umeleta maringo
mambo