WAFANYABIASHARA wa SUKARI WATAKA KULA NDUKI BAADA ya KUMUONA RC - ''USIOGOPE - SIJAJA NA POLISI''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • WAFANYABIASHARA wa SUKARI WATAKA KULA NDUKI BAADA ya KUMUONA RC - ''USIOGOPE - SIJAJA NA POLISI''
    Kutokana na kupanda kwa bei ya sukari na kufikia mpaka kiasi cha shilingi elfu saba kwenye baadhi ya maeneo ya mkoa wa Njombe licha ya kuwepo kwa bei elekezi,mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amelazimika kufika kwa baadhi ya wafanyabiashara wa jumla mjini Njombe ili kujua sababu ya bei ya sukari kuendelea kuwa juu ikiwa tayari serikali imetoa bei elekezi kutokana na shehena ya sukari kuingizwa nchini.
    Aidha mfanyabiashara aliyefikiwa na RC Mtaka amesema kwa mara ya mwisho ameweza kununua mfuko wa sukari kwa shilingi elfu stini na nne kutoka kiwandani huku pia akichelewa kuipata kutokana na uhaba uliokuwepo huku kwa njia simu mbele ya RC Mtaka akimuomba mkurugenzi wa bodi ya sukari nchini Keneth Bengesi kuwasaidia kupata mzigo mapema baada ya kulipia fedha yao.
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 8

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 7 หลายเดือนก่อน

    Danganya toto iyo punguzeni Kodi ilo ndio tatizo sugu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 7 หลายเดือนก่อน

    MANENO NI MAZURI ILA MIMI NIMEACHA NA KUUZA SUKARI MAANA NIMEITAFUTA HATA HAIPATIKANI. ILA NILISIKIA SUKARI KAMA HAWAKUFAHAMU HAWAKUUZII NIKAKOSA NGUVU HATA KUITAFUTA.

  • @zabroniibrahim
    @zabroniibrahim 7 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni soko la sukari liwe soko huria tuuu

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa serikali simuuze wenyewe sukar?mnatuchosha tu aisee Kwan mngejenga KilA mkoa kiwanda Cha sukar hii shda tungeipata

    • @Elfordobokegillo-ne4jo
      @Elfordobokegillo-ne4jo 7 หลายเดือนก่อน

      Hata Malawi wanakolima sana miwa hakuna kiwanda kila mkoa

    • @Elfordobokegillo-ne4jo
      @Elfordobokegillo-ne4jo 7 หลายเดือนก่อน

      Hata Malawi wanakolima sana miwa hakuna kiwanda kila mkoa

    • @kalebphilip3426
      @kalebphilip3426 7 หลายเดือนก่อน

      @@Elfordobokegillo-ne4jo sawa hakuna kiwanda lakin miwa iko kwa wing Sana ndo maana hakuna shda ya sukar,viwanda vko lakin Mali ghafi hakuna

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op 7 หลายเดือนก่อน

    Mkuu huyu uwa namuelewaga sana anapenda utawala bola siyo manguvu