DIAMOND Alivyomuomba ZUCHU MSAMAHA kwa UCHUNGU Akiri KUMSALITI na wanake wengine
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
- Haya ni maneno ya @diamondplatnumz akikiri kumuumiza mara kwa mara mpenzi wake @officialzuchu . Diamond ameomba radhi mbele za watu huku akimuahidi Zuchu kutomuuza tena
.
Diamond Platnumz anasema kuwa mahusiano yake ya nyuma yamemfanya asijitoe sana kwa Zuchu kwani ameumizwa sana na ilifika muda akawa anaogopa kuzama 100% kwenye mahusiano
.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Zuchu #Diamond