Sijui lakini najiuliza saana kwanini mmewe alimpigia simu saana wakati anaelekea kwa new Sangoma?Nafsi huwa zinaongea yaezekana kuna namna alikuwa anaona lakini pia rafiki wa Zuu nae mhhh???its too late kulaumiana but mark my words hakuna vita inapiganwa ulimwengu wa nyama ikiwa aijaonekana ulimwengu wa roho na ndio maana mume wa Zuu alihangaika saana kumzuia asiende kwa Sangoma au alipotoka kwa Sangoma aliamua kuhama.Lakini pia we should learn to listen to our hearts Zuu ungeisikiliza ile sauti ndani yako ilo kuwa inakuzuia kuendelea na safari za waganga@Veronica@Zuuu though pole saaana kwa yaliyotokea
Watu mnamualumu Zuu,,lakin mm namlaumu mumewe,,coz huyo mwanaume asingeleta upuuzi aliokua anaufanya wala Zuu asingekengeuka kufanya yote hayo…The aim of zuu was to bring back his man yeye hakujua kama atamuua ila imetokea by bad luck maana kama angetakaa kumuaa angeshamuua kitambo
Jana nilisema kuwa maangako yakizidiii Utamuua mume wako ,pole sana ila Mungu ni Mungu wa Rehema ivoo Tumtegemee Mungu pekee maana ndyo kimbilio la kwelii , Mungu akubariki da Vero
Cyo wew tu kuna kipind niliangaika uzazi kidogo ningekuwa mchawi Mungu alivyoniumbua cku ya mwisho mganga akaniambia nipeleke kuku nimefikisha tu zikikata roho zikiwa mkononi make akanifukuza na nikajakubeba mimba bila kwenda kwa mganga. Marafik cyo watu maana kuna watu wanapenda kwa waganga jamani namshukuru Mungu kunitenganisha nao
Kuna watu hata uwaeleze nini kuhusu uganga hawakuelewi, muda huu anaisikia hii simulizi lakini huyo anapanga kwenda uchawini, UKWELI KAMA ZUU ANGESEMA ALIENDELEA KUFANIKIWA HADI MWISHO,NINGEJUA NI MWONGO WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, nashukuru Mungu katika maisha nimepitia changamoto nyingi sana lakini sijawahi kushawishika kwenda uchawini, sababu kubwa nikusoma neno la Mungu na kulielewa vizuri na kuamini hakuna mwanadamu anayeweza Yeremia 16:21**Yeremia 17:5, 7-10 (Mungu amekataza kabisa KUMBUKUMBU LA TORATI 18:11,12
Mimi sina rafiki na siwezi kuwa na rafiki tutaongea tuu na mtu yeyote ila mambo yangu nimejifunza kuyamaliza mwenyewe na sali sanaa na muomba Mungu Anilindie ndoa yangu bc
Pole sn dada zuu maan tukisema waganga sio wazur utaukumu wote wkt wapo wenye kusaidia watu kwa moyo mfano mzur rafiki pia ambayo yukonaye ss pia huwez kuhukumu marafiki wote maan kila mtu na moyo wk kikubwa yy afanye tu toba kwa mungu wk nahakika mungu atamsamehe na maisha yataendelea pia amepatafunzo kubwa kwake nasote pia shkuraan sn dada vero kutok omani nakupta kwa uzur kbs
Hakuna mganga zaid ya Yesu Yan omba hata kama sio.mkristo omba kwa Mungu anasikia waganga ni maisha ya utumwa nawashangaa wanaoomba no ya mganga hata kabla ya kusikiliza story had mwisho yn Mungu anajibu japo atachelewa lakin atajibu tu mim nimemuona cha msingi mtafute kwa bidii mtumikie yeye tu
Tangu agano la Kali (kumbukumbu ya torati) hadi agano jipya waganga na wachawi wamelaaniwa ni mawakala WA SHETANI hawatafanya lolote kumfurahisha mwanadamu. Somo limesemwa
Daaah……Kiukweli ninakila sababu yakuwashukuru wazazi wangu kwakunijenga ktk imani yakumtegemea Mwenyenzi Mungu pekee,Vero Asante kwa Funzo kubwa kuwahi kulipata kupitia mitandao na sababu ni Simulizi ya Zuu Kiukweli imenijenga sana ,Nilichoamua Mimi nikumkabidhi Mungu maisha yangu ya Ndoa sijawahi kwenda kwa mganga nasintakaa nikanyage,Yesu Wng ananitosha…..😂😂😂
Ndo huwa nawashauri Wana ndoa mume akishaanza nje kama huwezi mvumilia achana nae ukizingatia huyu mume WA Zuu alipoondoka na house girl hakumwambia Zuu waachane so alikuwa bado ana m value kama mkewe na watoto wake alitaka waishi vzr, hapakuwa na haja ya kumvuta Kwa madawa, halafu msomi kama Zuu anakuwaje na marafiki type hiyo?? Wachawi? Single uneducated wangemshauri nn kama sio kufanya naye awe kama wao!?!!!! Darasa Kwa wengine
Maskini pole sanaa..ila naisi ulimuua mwenyewe mumeo hyo nganga hakua na nia njema na yote ni hyo rafikiako....hpo ulipomuita mumeo ndo roho ulikua waitoa..nimejifunzaa
Mungu atuongoze,, tumtegemee yy pekee🙏🙏💞💞
Mganga ni Yesu jamaniiii❤
Mganga mwaminifu ni Yesu tu ..naitwa Rose Niko kimara barikiwa da Vero Mungu amekujalia kipaji Cha pekeako
Amen Barikiwa Pia
Sijui lakini najiuliza saana kwanini mmewe alimpigia simu saana wakati anaelekea kwa new Sangoma?Nafsi huwa zinaongea yaezekana kuna namna alikuwa anaona lakini pia rafiki wa Zuu nae mhhh???its too late kulaumiana but mark my words hakuna vita inapiganwa ulimwengu wa nyama ikiwa aijaonekana ulimwengu wa roho na ndio maana mume wa Zuu alihangaika saana kumzuia asiende kwa Sangoma au alipotoka kwa Sangoma aliamua kuhama.Lakini pia we should learn to listen to our hearts Zuu ungeisikiliza ile sauti ndani yako ilo kuwa inakuzuia kuendelea na safari za waganga@Veronica@Zuuu though pole saaana kwa yaliyotokea
Watu mnamualumu Zuu,,lakin mm namlaumu mumewe,,coz huyo mwanaume asingeleta upuuzi aliokua anaufanya wala Zuu asingekengeuka kufanya yote hayo…The aim of zuu was to bring back his man yeye hakujua kama atamuua ila imetokea by bad luck maana kama angetakaa kumuaa angeshamuua kitambo
Wewe unazingua. .. huyo mwanaume Hana shida . Shida ipo kwa dada wa marehemu na mkewe kuamin ushirikina
😊😊😊😊😊
Jana nilisema kuwa maangako yakizidiii Utamuua mume wako ,pole sana ila Mungu ni Mungu wa Rehema ivoo Tumtegemee Mungu pekee maana ndyo kimbilio la kwelii , Mungu akubariki da Vero
Namshukuru Mungu Kwa kunitoa huko maana ningekuja kuwa mchawi nilikuwa mtumwa jmn aiseee Ninamshukuru Mungu mno mno
Sio wewe peke yako ndungu lakini mm niliona ujinga mapema kwanza pesa zilikuwa zinanima sana nilimwacha nikaendelea na maisha yangu
😂😂😂😂
Cyo wew tu kuna kipind niliangaika uzazi kidogo ningekuwa mchawi Mungu alivyoniumbua cku ya mwisho mganga akaniambia nipeleke kuku nimefikisha tu zikikata roho zikiwa mkononi make akanifukuza na nikajakubeba mimba bila kwenda kwa mganga. Marafik cyo watu maana kuna watu wanapenda kwa waganga jamani namshukuru Mungu kunitenganisha nao
Kuna watu hata uwaeleze nini kuhusu uganga hawakuelewi, muda huu anaisikia hii simulizi lakini huyo anapanga kwenda uchawini, UKWELI KAMA ZUU ANGESEMA ALIENDELEA KUFANIKIWA HADI MWISHO,NINGEJUA NI MWONGO WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, nashukuru Mungu katika maisha nimepitia changamoto nyingi sana lakini sijawahi kushawishika kwenda uchawini, sababu kubwa nikusoma neno la Mungu na kulielewa vizuri na kuamini hakuna mwanadamu anayeweza Yeremia 16:21**Yeremia 17:5, 7-10 (Mungu amekataza kabisa KUMBUKUMBU LA TORATI 18:11,12
Aisee mtegee mee mungu tyu Aya Sasa kamkausha mme wake nimejifunza sana ee mungu naomba nikutegemee ww tu
Mungu simama na mahusiano yetu, ndoa zetu,mungu tusaidie🙏🙏
Wanandoa wengi tuna jisahau sanaa maombi ni muhimu sana kwenye mahusiano yetu ukiingia kwenye ndoa unaanza kutangaza vita ivyo wa mama tusijisahu
Ila mimi nilienda kwa familia yao lakini wapj nikiomba mungu mwanaume ndo hanitaki kabisa ameniacha na watto anakula maisha 😢😢😢 daah pole kwa zuu
Marafiki sio watu wazuri
Ogopa marafiki wanaojifanya wanaumizwa na matatizo yako pole sana zuu 😢😢😢 ungemugeukiya mungu hakika yeye ndio ufunguo wa matatizo yetu😢😢
Mimi sina rafiki na siwezi kuwa na rafiki tutaongea tuu na mtu yeyote ila mambo yangu nimejifunza kuyamaliza mwenyewe na sali sanaa na muomba Mungu Anilindie ndoa yangu bc
Simulizi imenifundisha sanaa dada vero😢 ubarikiwe sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 msiba mzito mimi sito mloga mme au mwanaume youote
Huyu rafiki sio mzuri kabisa
Pole sana zuu😢😢😢😢
Mmmmh,nimekosa maneno zuu Asante kwakutupa mapito yako maana wako wanawake wengi wanayapitia l hope watabadilika,Ubarikiwe Veronica ❤
Yn da vero umavyo. Simulia utasema ww ndo. Zuu mwenyewe adi raha
Kweli ana kipaji 😂
Sehemu ya mwisho imeniumiza kweri pore sana dada zu
Mganga wa kweliii ni mungu
Mi nahis rafiki ake ndo alitaka amuue ndio maana alimlazimisha kwenda..
Marafiki jmn 😢😢😢pengine wakati anaambiwa muite jina ndo alikua anammaliza
Pole sana dd zuu mungu akupe toba ya kweli
Nilijua tu mganga atatuliza dk za mwisho
Najikuta naumia sana dah!😢😢
Ki ukweli inauma sana na zuu hakuna hata cku moja atakua sawa Hadi anaingia kaburini nae 😢😢😢😢
Kuna mawifi, ma mkwe, marafiki halafu kuna mashangazi jamn hawa watu 😂😂😂😂😂😂 ukipata mwema shukuru Mungu kwakweli
Pole Zuu umekosa mume sababu tu ya Ushirikina ,hili ni funzo kubwa sana, poor Zuu
Mganga wa kweli ni Mungu tu
Jambo usilolijuwa ni kama usiku wa Giza😭nyie mbona mwili wangu umenisisimka Mimi🤦
Pole sn dada zuu maan tukisema waganga sio wazur utaukumu wote wkt wapo wenye kusaidia watu kwa moyo mfano mzur rafiki pia ambayo yukonaye ss pia huwez kuhukumu marafiki wote maan kila mtu na moyo wk kikubwa yy afanye tu toba kwa mungu wk nahakika mungu atamsamehe na maisha yataendelea pia amepatafunzo kubwa kwake nasote pia shkuraan sn dada vero kutok omani nakupta kwa uzur kbs
Hakuna mganga zaid ya Yesu Yan omba hata kama sio.mkristo omba kwa Mungu anasikia waganga ni maisha ya utumwa nawashangaa wanaoomba no ya mganga hata kabla ya kusikiliza story had mwisho yn Mungu anajibu japo atachelewa lakin atajibu tu mim nimemuona cha msingi mtafute kwa bidii mtumikie yeye tu
Bado mnataka number ya mganga WA zuu 😂
😂😂😂😂😂
😂
Mmmmmmh hapana nimegailbn
Daaa we jamaa hufai 😂😂😂
😄😄😄
Rafiki alikua panya anan"gata nakupuliza😢😢😢😢😢Asante da veronica tunaendelea kujifunza❤
Napenda sana simuliz zako da veronica zinafundixha sana
Aya wale wa kutaka namba Za mganga wa Zuu mko wp amtegemeaye mwanadamu amelaaniwa na moyoni mwake amemuacha Mungu tumtegemee Mungu siku zote
Tangu agano la Kali (kumbukumbu ya torati) hadi agano jipya waganga na wachawi wamelaaniwa ni mawakala WA SHETANI hawatafanya lolote kumfurahisha mwanadamu. Somo limesemwa
Kufa kwa imamu sio mwisho wa ibada
Naomba namba ya Mganga tafadhali 😀😀😀
😅😅
😅😅
M Mungu Atusimamie Katika Ndoa Zetu Jamn Mambo Ni Mazito Sanaaaa
Marafiki siyo watu wazuri kabisa
😢😢😢😢 simulizi ya zubeda umenitumia saanaa nawaza mama mkwe na wifi watakua wanamchukia kuliko maelezoo. Pole yake da zubeda
😢Nimejifunza ktk hii simulizi nqjikuta nalia jmn zuu😢😢😢
Ubarikiwe dada kwa ujumbe mzuri .na tumejifunza. Mwenye sikio na asikie.
Asante sana Vero Kwa story nzuri ya kutufunza
Nikuwa naomba za zuu
Waganga wanakula tyu pesa zako mfate yesu yy ajawai fer dawa zake🥰
Yesu au Mwenyezi Mungu?
Ki ukweli da vero anakipaji cha kuongea Toka kwa mwenyezi mungu amuongezee kheri congratulations my dada Veronica
Huyo rafiki yake hakua mtu mzuri kwakwe yawezekana alikua anamzunguka jamani
Mmi pia nilisema hvyohvyo
Hakuwa rafiki Bali mnafiki
Daaaa wanaume poleni, ata kama mwanaume anachepuka njia sahihi ni mungu, sio waganga
Lafiki anayekuplka kwa mganga muogope sana😢
Sanaaa
Yule rafiki yake ndio aliesema kwa mume wake haina ubishi na ndo alikuwa anamwambi kila hatua
Asante da velo
Duuuh waganga 🙌🙌🙌🙌
Mganga niyesutu tusimame na maombi kuwaombea waume zetu familia zetu
Nimeumizwa na kifo cha mume wake nilijua hatma yake itakuwa mbaya lkn sio ya kifo.
Daah THIS LIFE THIS LIFE POOR MEN ..Dooh ameuwawa na majini daah
Naitwa salome nipo mbezi nakupenda sana da vero
Akatubu Aokoke!!Yesu atamsaidia
Dunia hii tunajisahau na mambo mengi mwisho wa siku ni kama tunajilisha upepo!!Ee Mungu tusaidie kukujua wewe
Aiseee Mungu tusaidie
Leo nimewah😊
🎉
Me nimeumia kweli jamani 😢😢
Wanaohitaji namba ya mganga wa zuu tafadhali mnione nimepewa dhamana hiyo 😂😂
Hawa wanaume waacheni wachepuke Mungu atawaadhibu. Tusijitafutie hatia kama hizi
😅😅
Nimejifunza kitu kikubwa sana ,naitwa Veronica kimaro Niko kinondoni, nakupenda sana wajina wangu
Nawaonea huruma wale wote ambao wanapita kwenye njia hizo, amtegemeae mwanadamu amelaniwa
So sad Pole sana Zuu hakika ni kisa chenye mafundisho
Pole sana aiseee
Daah sad story 😢😢ooh
jameni jameniiii
Pole waganga sio
Kiukweli hadithi ilikuwa nzuri ila imeidha vibaya hatujaelewa kabisa ikiwezekana aitwe amalizie vizuri. nimrumia sana.
Kabisaa mi mwenyew nmeshangaa ilivoisha😮
Daaah……Kiukweli ninakila sababu yakuwashukuru wazazi wangu kwakunijenga ktk imani yakumtegemea Mwenyenzi Mungu pekee,Vero Asante kwa Funzo kubwa kuwahi kulipata kupitia mitandao na sababu ni Simulizi ya Zuu Kiukweli imenijenga sana ,Nilichoamua Mimi nikumkabidhi Mungu maisha yangu ya Ndoa sijawahi kwenda kwa mganga nasintakaa nikanyage,Yesu Wng ananitosha…..😂😂😂
Cku zote dawa za mapenzi ni mkosi
Pamoja na kulaumiwa rafiki ila wa kwanz kubeba lawama ni wifi shenzi kabisa
Nimejifunza kitu kupitia hii simulizi
Bora hata kafa aliyataka mwenyewe amemtesa sana zuu kila cku anatoka na wadada wa kaz mwanaume anayeanzisha mahusiano na wadada ni shetan hafai
Wale tuliokuwa. Tunaomba namba za mganga wa zuu mpo?
mi naomba namba ya zuu
Sijawahi kuamini waganga katika maisha yangu yoooooooote
Hata mimi
Aya mamb ya waganga hayo🙄🙄 jamani mapenzi hayafosiwi 😏
😢 Tupo wengi sana wenye mkasa jamani tunayaoitia mengi
Nimelia sana pole zuu,,,ila wifi na rafiki Mungu anawaona
Maboss kazi mnayo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uchungu usioisha pole sana zuu
Mi nilisema mapema mwisho huyo mwanaume atakufa jamani mambo ya waganga sio mazuri haijarishi mtu uliyenaye umetoka naye wapi
Mwisho wa kuwategemea waganga n mbaya
Hayo ndo mambo ya waganga hawajawahi kuwa wema kila anaye mtegemea mganga anaishia pabaya pole da zuu
😂😂Haya sasa wanaotaka namba zuu ili upate namba ya mganga.Mganga pekee ni Mungu peke yake.
Kweli kabisa
Kwakwwli waganga sio watu wazuri hata kidogo..Yaan friends wanaweza kukua kwa makusudi
Mmmh Mungu wangu wee😢😢😢😢😢
Ni fundisho kubwa kwakweli
Huyo rafiki ndo alimbeba mume wa zuu jamani naye alkuwa anamroga jaman baba wa watu Mungu umsamehe2
Mmh kama akutaki muache aende alogwe adi afe
Ndo huwa nawashauri Wana ndoa mume akishaanza nje kama huwezi mvumilia achana nae ukizingatia huyu mume WA Zuu alipoondoka na house girl hakumwambia Zuu waachane so alikuwa bado ana m value kama mkewe na watoto wake alitaka waishi vzr, hapakuwa na haja ya kumvuta Kwa madawa, halafu msomi kama Zuu anakuwaje na marafiki type hiyo?? Wachawi? Single uneducated wangemshauri nn kama sio kufanya naye awe kama wao!?!!!! Darasa Kwa wengine
Maraki sio wayu wema nyie😢mungu tutee
Ndo mana sipendi marafiki mimi
Maskini pole sanaa..ila naisi ulimuua mwenyewe mumeo hyo nganga hakua na nia njema na yote ni hyo rafikiako....hpo ulipomuita mumeo ndo roho ulikua waitoa..nimejifunzaa
Pole sana zuuuu hila hayoyote umeyataka mwenyewe
Da vero tupo pamoja
Mimi simlaumu zuu njia hiyo ndo aliyoichagua mwanamme angetulia kwenye ndoa yake yasingetokea hayo
Mmmmh sitski tena namba ya mganga Mungu anatosha
😁😁😂
😭😭😭😭😭😭😭😭
Mmmh
Aloohhhh😅😅😅😅😅
Mnaotaka no bado mnataka tena
😂😂😂😂😂😂kabisaaa naitakaaaa
Nimejifunza kitu kikubwa Sana
Hakuna mshirikina aliyefanikiwa
Mwenyez Mungu ni Kila kitu
Ila nimeumia moyoni sana