SHILUNGUJA NG'WANA LUSI_SONG_NGOSHI WANE 2023_OFFICIAL MUSIC VIDEO (Online Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @NkwabiTungu-j9v
    @NkwabiTungu-j9v 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ni ngika lakini kwa shilunguja nilikuwa nakubali

  • @MarcoPaschal-f1w
    @MarcoPaschal-f1w ปีที่แล้ว +2

    Gude 2023

  • @nassibu-hy5ny
    @nassibu-hy5ny 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nmekumbuka mbali sana kpindi nkiw khan mdogo kabisa nalipa kuni mlangon Ili kumuona mwamba hyu saiv nmekua mtu mzima na familia yngu

  • @StevenMathayo-t5p
    @StevenMathayo-t5p 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila ukweli huyu jamaaaa namkubali, kuptia nyimbo zake

  • @emmanuelShilole-un5fg
    @emmanuelShilole-un5fg ปีที่แล้ว

    Ng'wana rusi

  • @callenmataba2191
    @callenmataba2191 2 หลายเดือนก่อน

    nakumbuka bugalama alikuaga anakuja hyu jamaa sjui saiv yko wap

    • @benjaminnestory6600
      @benjaminnestory6600 หลายเดือนก่อน

      Ashakufa

    • @callenmataba2191
      @callenmataba2191 หลายเดือนก่อน +1

      @@benjaminnestory6600 alikufa lini

    • @benjaminnestory6600
      @benjaminnestory6600 หลายเดือนก่อน

      @callenmataba2191 miaka mingi sana zaidi ya kumi

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  หลายเดือนก่อน

      @callenmataba2191
      Sikumbuki mwaka...lakini fuatilia Ngelela ndo karithi kwa Shilunguja baada ya kufariki!

  • @MichaelPius-j9k
    @MichaelPius-j9k 9 หลายเดือนก่อน

    Uko vrr

  • @gonjielikana2241
    @gonjielikana2241 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nakumbuka mbali sana

  • @JumaMasongi
    @JumaMasongi 8 หลายเดือนก่อน

    Juma masongi salawa

  • @kashinjelusana6052
    @kashinjelusana6052 ปีที่แล้ว

    Kwake ngoma sengelema

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  ปีที่แล้ว

      Ok pamoja bwana Lusana
      Usisahau kuSubscribe channel yetu ili tufike mbali

  • @AthumanJuma-iw8fh
    @AthumanJuma-iw8fh ปีที่แล้ว

    Nyibo kar sana

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  ปีที่แล้ว

      Tuko Pamoja bwana ATHUMAN
      Karibu sana kwenye Uwanja wetu
      KUZA KIPAJI CHAKO TV

  • @zakayodenis7118
    @zakayodenis7118 10 หลายเดือนก่อน +4

    Ukitaka kujua nchi hii Tz inaendelea rudisha nyuma mawazo yako kipindi huyu Jamaa anavuma, Maisha ya Nyumbani kwenu yalikuwaje na wewe ulikuwa unavaa vipi, ulikuwa unalala vipi marafiki zako mlikuwa mnapiga story zipi,Madem wako walikuwa wanavaa nguo gani, namafuta walikuwa wanapaka aina gani?😂😂😂😂

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  10 หลายเดือนก่อน

      😀😁😄

    • @mussamatondo-w3h
      @mussamatondo-w3h 18 วันที่ผ่านมา

      Bado nachunga ndama cjui ata demu​@@maduhumanyangu1544

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 ปีที่แล้ว +1

    Hivi shilunguja kwake wapi

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  ปีที่แล้ว

      Shilunguja aliishi Ngoma-Ng'wamboku-Sengerema
      Ngelela katokana na Shilunguja mambo ya mbina

    • @nassibu-hy5ny
      @nassibu-hy5ny ปีที่แล้ว +2

      Shirunguja kwake ilikua wilayan sengerema vijijin Kijiji Cha Ngoma saiv ni marehemu alifarik Kwa maradhi ya kawaida tu kama binadam na alizikwa ktamadun

    • @daudhenry6212
      @daudhenry6212 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana kwa taarifa Ngoma napajua nimesoma Sengerema

    • @bunzaliyunge8390
      @bunzaliyunge8390 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@nassibu-hy5nysiuseme tu ukimwi ulimuua

    • @maduhumanyangu1544
      @maduhumanyangu1544  7 หลายเดือนก่อน

      😃Alikufa kiume!

  • @ElizabethPius-ii1ln
    @ElizabethPius-ii1ln ปีที่แล้ว +1

    2024