- 139
- 462 967
KUZA KIPAJI CHAKO TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 9 พ.ค. 2020
Mungu ni Mwema
Tunazidi kusapot Wasanii wenye Sanaa mbalimbali ikiwemo Uimbaji,Vichekesho,Mafunzo ya Ujasiriamali na Kadha wa Kadha. Karibuni sana kwenye Channel yetu Pendwa wewe kama ndo unaanza kuingia humu hakikisha una Subscribe and Comment bila kusahau kubofya Alama ya Kengere ili uwe wa kwanza kupata habari zetu pindi tunaporusha Vitu vipya!

Mabata Ibhogo...Elizabeth Willium...Bhutojaa 0769690308
Asili yetu ni Burudani kwetu Daima
มุมมอง: 152
วีดีโอ
MABATA IBHOGO NI BALAA....COMING SOON(BHANAFUNZII) 2024
มุมมอง 2072 หลายเดือนก่อน
Tumerejea tena ndani ya Kuza kipaji chako Tv. Usikubali kupitwa na Kazi Mpyaa baada ya kukaa Kimya kitambo.
Mabata Ibhogo_Siita_Official Music Video 2024_Youtube Online
มุมมอง 825 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
Selee Tz Africa_04 July Midundo Beat_My Hobby_Youtube Online 2024
มุมมอง 1165 หลายเดือนก่อน
Pata Midundo ya Miziki za Kiafrica popote Ulipo t.me/ BF1h1avhObgwYTlk *My telegram Group Pro...Link* chat.whatsapp.com/E0jCfekJ7aVG3DV5rCPmv4 *Whatsapp Group Pro.....Link*
LUKALA SONDA_NINA OSHANGATA_OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 3.9K5 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
Magambo Machimu_Ukimwi_Official Music Video Live.
มุมมอง 2936 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
SELEE TZ AFRICA_HANDLE INSTRUMENTAL_KADENSOO_MY FAN_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 1116 หลายเดือนก่อน
ASILI YETU NI BURUDANI KWETU DAIMA t.me/ BF1h1avhObgwYTlk *My telegram Group Pro...Link* chat.whatsapp.com/E0jCfekJ7aVG3DV5rCPmv4 *Whatsapp Group Pro.....Link* Nifollow Kujifunza zaidi.
MGONGA NG'WANA GENGE_BARIADI_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024_YOUTUBE ONLINE
มุมมอง 9K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
SAIDA KAROLI_DOMBOLO_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024_YOUTUBE ONLINE
มุมมอง 3.6K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
LUKALA SONDA_BAZAMINI_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024_YOUTUBE ONLINE
มุมมอง 5K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
LUKALA SONDA_GILIGITA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024_YOUTUBE ONLINE
มุมมอง 5K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
SAIDA KAROLI_TINKITINA_OFFICIAL MUSIC VIDEO _YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 1.5K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
SAIDA KAROLI_NIGYAKIANJA NKABA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
SAIDA KAROLI FT MAUA_CHEKENTULE AKATAMBALAKE_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
มุมมอง 1.1K6 หลายเดือนก่อน
th-cam.com/play/PLBhnYPvw2KbpMsVFwpQiyYXvwE7ay0rv2.html&si=bJOc4nu-bkT_RBl8 KUZA KIPAJI CHAKO TV inakudondoshea Kisima cha Burudani za Asili kila kukicha. Ili usipitwe na kazi zetu nakukumbusha tu kufanya kama ifuatavyo,- LIKE_SHARE_COMMENTS_SUBSCRIBES NA BOFYA ALAMA YA KENGERE. Hizi hatua zinatusaidia kuwasiliana mimi na wewe popote ulipo na kufahamiana zaidi ili tuendelee kuhudumiana. Karibun...
Bhudeba Kadetee_Ichola _Official Music Video 2024
มุมมอง 6796 หลายเดือนก่อน
Bhudeba Kadetee_Ichola _Official Music Video 2024
MABATA IBHOGO_BHUDAHYA WA MBINA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
มุมมอง 2266 หลายเดือนก่อน
MABATA IBHOGO_BHUDAHYA WA MBINA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
MABATA IBHOGO _KAENI MKAO WA KUPOKEA KAZI ZAKE MPYA 2024
มุมมอง 2676 หลายเดือนก่อน
MABATA IBHOGO _KAENI MKAO WA KUPOKEA KAZI ZAKE MPYA 2024
MABATA IBHOGO_MBULA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
มุมมอง 896 หลายเดือนก่อน
MABATA IBHOGO_MBULA_OFFICIAL MUSIC VIDEO 2024
NG'WANA KANUNDO_SHILAKAA_OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 1.6K7 หลายเดือนก่อน
NG'WANA KANUNDO_SHILAKAA_OFFICIAL MUSIC VIDEO_TH-cam ONLINE 2024
BHUSALAMA_JOJOO_OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 7577 หลายเดือนก่อน
BHUSALAMA_JOJOO_OFFICIAL MUSIC VIDEO_TH-cam ONLINE 2024
MWINAMILA_JANI TAUSI OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 1377 หลายเดือนก่อน
MWINAMILA_JANI TAUSI OFFICIAL MUSIC VIDEO_TH-cam ONLINE 2024
SAIDA KAROLI_OLINJOKA OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 37K7 หลายเดือนก่อน
SAIDA KAROLI_OLINJOKA OFFICIAL MUSIC VIDEO_TH-cam ONLINE 2024
MARCO SHILINDE_MORINGE SOKOINE OFFICIAL MUSIC VIDEO _YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 5997 หลายเดือนก่อน
MARCO SHILINDE_MORINGE SOKOINE OFFICIAL MUSIC VIDEO _TH-cam ONLINE 2024
MWINAMILA _MZUSHI NA MUONGO OFFICIAL MUSIC VIDEO_YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 1.3K7 หลายเดือนก่อน
MWINAMILA _MZUSHI NA MUONGO OFFICIAL MUSIC VIDEO_TH-cam ONLINE 2024
BAHATI BUGALAMA_ MBUZI WA MASIKINI HAZAI_OFFICIAL MUSIC VIDEO_ YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 4577 หลายเดือนก่อน
BAHATI BUGALAMA_ MBUZI WA MASIKINI HAZAI_OFFICIAL MUSIC VIDEO_ TH-cam ONLINE 2024
LUKALA SONDA _ NG'WANA SONGA RELI OFFICIAL MUSIC VIDEO _YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 6K7 หลายเดือนก่อน
LUKALA SONDA _ NG'WANA SONGA RELI OFFICIAL MUSIC VIDEO _TH-cam ONLINE 2024
NIINDWAA_NALISENEMA OFFICIAL MUSIC VIDEO_ YOUTUBE ONLINE 2024
มุมมอง 3.9K7 หลายเดือนก่อน
NIINDWAA_NALISENEMA OFFICIAL MUSIC VIDEO_ TH-cam ONLINE 2024
Ng'wamvuli go pang'wa nyaga.
Niko morogoro ila nikisikiaga hizi nyimbo nawaza kurudi simiyu nikapambane huko huko aiseeh ili siku ya mbina naje nane bambehi
2024 nipo hapa mnyamwezi mwenyewe kabisaaaa😂
Maana ya wimbo huu ANASEMA alipanda wenye roho mbaya wakan'goa
Hongera babaaa
Napenda Sana sauti yako japo sielei
Watching this 2024
Sikonge kwetu
Ukisikia mziki unaongea ndohivi sasa kipindi kile nipo nguliguli kwetu maswa zamani nilikuwa maswa shinyanga ilakwa Sasa ni maswa simiyu kata ya nguliguli kwetu kitogoji malugala kwa sasa nipo dar Salam
nakumbuka bugalama alikuaga anakuja hyu jamaa sjui saiv yko wap
Ashakufa
@@benjaminnestory6600 alikufa lini
@callenmataba2191 miaka mingi sana zaidi ya kumi
@callenmataba2191 Sikumbuki mwaka...lakini fuatilia Ngelela ndo karithi kwa Shilunguja baada ya kufariki!
Fantastic music
Mm ni ngika lakini kwa shilunguja nilikuwa nakubali
Nyimbo za lukala sonda na akina mgonga za zamani
My song oyaaa oyaaa
Ata za kamongo ziko wapi?
Zimo humo check playlist
November 2024 tujuane
Mbona kamongo sion nyimbo hata moja
Mungu akubalia sana
Mungu akubarik sana unae ziposti hizi nyimbo za mababu zetu
Nawapenda jaman wazee wa zaman mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
Tuleatee shitobelo, lutandagula, lubinza , samike
Seen
Jaman jaman dah yan nimekumbuka mbali sana dah ♥♥♥

Hadi raha
Umeludi tumekusubili sana tuma za miaka 2000
Hatar
❤ Great singer
Oya huyo Mzee nafatilia sana nyibo zake
Kazi nzuri 👍👍
Huyu jamaaa anafaa sana
Tuma za mgonga za miaka Elfi 2000
Bado kuna changamoto kwenye channel yetu...tutakapokaa hewani tutawajuza shabiki zetu. Kumradhi !
Nimekuwa wa kwanza
🎉🎉
Asante sana ndugu kwa kutukumbuka
Nyumbani Raha
Mfalme wa simiyu nyumbani ❤
Kazi nzuri 👍👍❤
Umelala kimya sana
So nice voice dat can remove snake out of it's hole
Post nimbo zingine za huyu jamaa. Hasa za 97
Ogoyodolemba geregheta abimwee!! Enhaga dogunhe ng'ondi lulu.😂 Mi naitafutaga album ya mwaka 1996 party two. Mmeshashindwaga kabisa kuipata wazee?
Unanikumbusha mbali xana aise
Kwetu ntuzu
Zinabamba sana twaomba ziongezeke kwa hyu jamaa sasa.ziko mbili tu ongezea bro
Bado kuna changamoto ya kiufundi kwenye Channel yetu ndugu.
Masubwe
Nyimbo naipenda hii
Hajawai kuvunjiwa record mpaka leo
Tafadhali weka hizi nyimbo za kutosha za huyu bwana mkubwa. Sisi wenye kabila letu tunakumbuka mbali saaaaana.
Kampuni imeshayumba tunahitaj Sapot yenu ili huduma ziendelee.
Lukara sonda
Kwel