Habib Swaleh----- Mazowea Yana Taabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 57

  • @swalehdiesel8340
    @swalehdiesel8340 ปีที่แล้ว +2

    Mombasa ilipo kuwa Mombasa....mombasa ya wakati wa mababa zetu❤❤❤❤

  • @abdirajabu7852
    @abdirajabu7852 3 ปีที่แล้ว +4

    Fully handas..bakar Abeid rip ndio mwenye huu wikbo

  • @fadhymtanga
    @fadhymtanga 4 ปีที่แล้ว +17

    Who is still watching this with me in 2020?

  • @hajiashhur4406
    @hajiashhur4406 5 ปีที่แล้ว +11

    hizi ndio nyimbo za kumuimbia na kumuongoa mpenzi, sio zile za matusi

  • @muhidintahir3194
    @muhidintahir3194 3 ปีที่แล้ว +3

    Mombasa night life taarab with the late Zein al abidin. Really miss Mombasa

  • @adulrashidmaftah2908
    @adulrashidmaftah2908 5 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe ni chako kivuli mwenyewe sinae tena 2019🎼🎵🎶

  • @davido8089
    @davido8089 6 ปีที่แล้ว +4

    aiseee nimekumbuka mbali sana...choz limenitoka kwa hisia

  • @salwahalisi29
    @salwahalisi29 6 ปีที่แล้ว +7

    I love nyama zetu za ulimi ambazo tukipeana wallah wanifurahisha

    • @cyborguru
      @cyborguru 5 ปีที่แล้ว +1

      The best line in the song

    • @MultiJd4
      @MultiJd4 4 ปีที่แล้ว +2

      Lol unajua kilichokusudiwa lakini? mtunzi mwenyewe Marhemu Bakari Abeid ameweka wazi, kupewa nyama nyama ya ulimi ni kuambizana maneno mazuri.

    • @ahmedtimamiy3266
      @ahmedtimamiy3266 3 ปีที่แล้ว +2

      NYAMA ZETU ZA ULIMI ,MAANA MANENO MAZURI WAKIPEANA, HIZO NDIO TAARAB SIO ZA SASA MATUSI MATUPU.

  • @chuu143
    @chuu143 10 ปีที่แล้ว +6

    Awesome!!! Great voice !

  • @panaemilili3809
    @panaemilili3809 7 ปีที่แล้ว +3

    This is what I refer as heaven👍🏾👍🏾
    The biggest gift from God.
    Taarab music addict

  • @chrismakisaka
    @chrismakisaka 8 ปีที่แล้ว +6

    Nimageni yangu mimi, sijapata kuyaona. ♡

    • @jumamohamed4527
      @jumamohamed4527 8 ปีที่แล้ว

      Chrisma Kisaka

    • @cyborguru
      @cyborguru 5 ปีที่แล้ว +1

      Nimageni kwangu mimi, sijapata kuyaona

  • @khaleedabdallah4678
    @khaleedabdallah4678 4 ปีที่แล้ว +1

    Mazoea yana tabu 😔

  • @zuhuramabrouk5184
    @zuhuramabrouk5184 8 ปีที่แล้ว +4

    replay button plz ....raha hadi basi

  • @feripurwanto2115
    @feripurwanto2115 4 ปีที่แล้ว

    Aywaa masallah...

  • @mejamchenje9785
    @mejamchenje9785 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali bhana sinaneno meja napenda Sana

  • @hayaahayaty9430
    @hayaahayaty9430 2 ปีที่แล้ว

    Pwitolo tunayo hatuna

  • @Dabits15
    @Dabits15 7 ปีที่แล้ว +3

    still watching this 2017

  • @nasseraisha6002
    @nasseraisha6002 6 ปีที่แล้ว +2

    Naona watu wanakula mirung kama mboga apo

  • @swalehabdulrazak1305
    @swalehabdulrazak1305 6 ปีที่แล้ว +5

    2018???

  • @aaliyahru9893
    @aaliyahru9893 ปีที่แล้ว +1

    2024 watching

  • @ibrahimaboker9086
    @ibrahimaboker9086 3 ปีที่แล้ว

    Kaka wacha kuimba nyimbo za watu, tunga nyimbo zako mwenyewe. Wimbo huu ni wa Marehemu Mzee Bakari Abeid wa Unguja, aliimba 1964.

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 8 ปีที่แล้ว +5

    imenikosha roho na mrungi pemben

  • @qjehaan2084
    @qjehaan2084 9 ปีที่แล้ว

    Maashallah!

  • @gurdyalsingh6320
    @gurdyalsingh6320 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice 👍 ji

  • @medi222alrajhi9
    @medi222alrajhi9 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli

  • @diti4899
    @diti4899 8 ปีที่แล้ว +1

    nice song.
    huu mziki ulishushwa toka mbinguni

  • @abdulrahmanwaziri268
    @abdulrahmanwaziri268 5 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @munashally3318
    @munashally3318 5 ปีที่แล้ว

    Raha ya kula mirungi kwa vikoi

  • @musaabdallah1646
    @musaabdallah1646 2 ปีที่แล้ว

    Who is still watching this me 2022

    • @menyemusic
      @menyemusic ปีที่แล้ว

      me 2023 March. in memory of my beloved wife. we loved this song

  • @moradchebout4632
    @moradchebout4632 3 ปีที่แล้ว +1

    très bien

  • @ladderssnakes1755
    @ladderssnakes1755 4 ปีที่แล้ว

    nakhwa full

  • @hakanyusuf3258
    @hakanyusuf3258 8 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @qjehaan2084
    @qjehaan2084 9 ปีที่แล้ว +3

    Bw. Habib. Hao kaka zangu hapo basi hata *kuitikia ...?*
    Wanketi tuu kaa wako Cinema!?!

    • @yassinjuma4054
      @yassinjuma4054 8 ปีที่แล้ว

      hehehe...Gomba limeshika hawako hapo......

  • @jumamasesa3655
    @jumamasesa3655 9 ปีที่แล้ว

    vijimambo tanzania

  • @hakanyusuf3258
    @hakanyusuf3258 8 ปีที่แล้ว +1

    Moshi raha tanzania yote rahat

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 5 ปีที่แล้ว

    2019

  • @gabrielmsafiri2000
    @gabrielmsafiri2000 7 ปีที่แล้ว

    Muziki mtamu kweli. lakini je?, aina hii ya taarabu huitwaje wenzangu?

    • @abou2607
      @abou2607 7 ปีที่แล้ว +1

      Hii sio aina. . Hii ndio taarab. ... hizo nyngine zaitwa modern taarab ....

    • @mahadiasaid9473
      @mahadiasaid9473 6 ปีที่แล้ว

      gabriel ingubu zilipendwa

    • @mwalauzimchonga4383
      @mwalauzimchonga4383 6 ปีที่แล้ว

      gabriel ingubu kijanvi

    • @aliissa6632
      @aliissa6632 5 ปีที่แล้ว

      Tarabu asilia ndio hiyo

    • @muslihelbarca6435
      @muslihelbarca6435 4 ปีที่แล้ว

      TAARABU ASILIA

  • @samfaiz9372
    @samfaiz9372 3 ปีที่แล้ว

    Coke publicity