Hatua rahisi zaidi za Kutengeneza Rough Dred
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Hello sweethearts hizo ni hatua rahisi za kutengeneza rough dred kwenye nywele fupi isiyo na dawa (natural hair)
Nimetumia vitu vifuatavyo
Maji
Mafuta ya maji ya olive oil
Kitana
Taulo
Ecogel
Hopeful itawasaidia, usisahau subscribe for new videos pia bonyeza kengele pembeni ya subscribe button ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya video mpya
Unaweza pia ukanfollow instagram napost video kila jumatano na Ijumaa
Instagram @vivianatz.official
Facebook natumia vivianatz
Lets hook up on the above social media account fam....
Mmepigwa
I like the procedure and style ,since my hair is short I now have the experience on how to treat it.Thank you sis mad love
Thanks darling, all the best
Unajua sister nakupend Bure u hv a talent
Thanks dear
Asante sana nakuomba unitumie picha yahayo mafuta nione jina lake niatume sokoni
Eco gel
First video I have commented on ever..mapenzi Tele from Kenya
Aww ! thanks darling
@@Vivianatz ntaipata kwa shngap
Kwan ile blash linauzwa shngp dukan
Hi vivian nataka unielekeze hindi ta kusuka utumbo wa juzi na rasta thanks darling nakukubali
I receive your chumu. We luv u too kadada kazur. Naomba somo LA dreadlocks maana huwa nazipenda sana na cjui nianzie wap
Nice...
🙏❤️
Naitwa Veronika nashukuru kwa maelekezo yk nimekuelewa na nimejifuza tupo pamoja
Asantee dear❤
Sh ngapi ecojelly
Thank you ❤
Nmependa sana naiko simple hatr
Asantee dear
Woooooow my role modal
Thanks love
Keep it up unaweza sana
Asantee ♥️
Thanks very much dear
Nywel ndef naz unafany hv hv
Ndio dear
Nakupendaje dear nice yaani acha tu
Thanks love
Jaman umependeza Sana lakini mbona Mimi nafanya haziwi Kama hivyo nakosea wapi
Nice video! Asante sana
Nice job
Nzuri
Asantee
Nimependa ufundishaj wako my dear
Asantee dear ❤
Eco gel inauzwaje?
Nime ipenda Sana aki ila. Nitwa irine from kenya
Thanks Irin❤
actually it's anice video na you look good me too iwould like to know how to make that dready
Thanks love
Napenda sana ufundishaji wako
Nimekupenda bure da vivy unaelekeza vizur jaman😘
Asantee dear ♥️
Unatumia jery yoyote
Wow I like it
Iv eco jell ikikaukaga inakua km mba sa kwa hii style inakuaje shoo and nn kinaondoa io situation
Umesema jelly gani jina plz
Ecogel dear
Vivi nijaribu kustyle natural hair kwa eco jell kama unavyoelekeza BT nywele zilinisumbua SNA kulala sijui nilikosea WAP,bt sikuwa na shampoo may be iilikua ndo tatizo,nisaidie
Nimeipenda iyo
Nzuri sana, je ninapo oga nizioshe au haifai?
Ukiosha zinavurufika dear
Wow nice v.d
Asantee dear
Am in love with your work,,, though am new here
Moch love from🇰🇪🇰🇪
Thanks dear n you are warmly welcome to the family ❤️❤️
Jamn ukitaka za kudumu kwa namna ulivotengeneza je inawezekana?
Ndio dear inawezekana
❤❤ asante
Hayo mafuta naweza pata Kwa sh ngapi?! Eco gel sijui
Shi ngapi nikija kwako.kutengeneza
Nice dear love it
Nimeipenda Asante
Umependeza mwaya
Asantee dear
nimependa sana
waoooo nzuri sana
Asantee dear
Asante my naomba nielekeze jinsi ya kuweka rangi ya brown kwenye nywele
Njia nzuri sana.Asante
Thanks to you too
❤
Samahan kwa eco gel nyeusi ina mfuniko mweupe naomba matumiz yake maana me hainisaidii chochote
Nzur
Looking good
Thanks dear
Safiii sana Vivian
Natakiwa kuxungusha kwa dakika ngapi?
Mafuta yanaitwaje mwy
Nice but what if you have a weak hair can it work?? Help me to prevent my hair from breaking up
Haziharibiki dear
Asante Vivian je kwenye nywele ndefu zenye dawa inafaa
Hapana haifai kwa nywele zenye dawa
Nywere zeny daw hazitakiw?
Haziwezi dear
Na sisi wenye nywere ndefu je tusaidie style za kufunga
Hii nitajaribu hivi hii ecogell ni product yako au inapatikana duka lolote?
Grace Timoth duk lolote unapata
Sawa mama
Ety kam nilshawekag dawa nywele je, haitanifaa ama
Ni kwa nywele isiyo na dawa dear
Haya mafuta ya olive oil nitayapata wapi org?
Samahan ukiweka iv unaweza siku nyngnie kuzicha na nikaendlea kuzisuka kawaida
Ndio dear unaweza kuchana
nice dear nimeipenda
Nimejaribu hakuna matokeo yoyote nakosea wapi??
Naenza tumia mizizi liquid oil then nitumie eco styler
Ndio
Mbona mm Mafuta hayo uku Tunduma siyaoni
Can I use an egg to make it
Upo wapi nije kujifunza
Nicheck hapa dear +255782448181 whatsap only
Je nikaza na easey waver no sawa?
tupe bas somo kwa nywele yenye daw mm napend kama hivyo
Nashukuru vivian leo ntamtengeza wife na kuna eco jel ya brown inafaa pia
Safi saana, ndio inafaa pia
Great
Thanks dear
Welkam darlng
Unaweza ukaweka na lota body
Hapana dear
Asante sana kwa mafunzo na je ukitumia mafuta ya dread inafaa
Yanafaa dear
Thanx dr!
Ili kuondoa dawa iliyopo kweny nywele zangu niweze kufanya raph nitumie nin??
Uwe unazilowesha unakata ncha za juu zenye dawa, ukifanya hivyo kila week itabaki zisizo na dawa
gud
Nyc vdio dadaa...je naeza tumia aina nyngne ya gel kama movit au?!
Hapana dear
nice thnx mamy
Nice my boss
Asante kipenzi changu
Nice video dear
Thanks love
Sisy is afro gel okay?
Kama nywele INA dawa sasa
?
Haifanyi kazi kwenye nywele ya dawa dear, labda kubania nywele
Mamaa ume shave alafu nyweleeee ina dawa itawezekana kuweka dred
Hapana dear
Mbona hayo mafuta jamani nililazia nywele kesho yake kuvurugua nywele Kama Nina mba balaa au kuna kingine kinapakwa
Iko Poa sana 😍😍😍
kufumua dred inawezekana au kuna mafuta ya kufumulia?
Nice
Asantee dear
Unatumia camera gan kushoot video zako na app gan kuedit..?
Hapa nilitumiwa simu dear, editing Nimetumia film moral Go,
Asante
Asantee dear
Karibu dear
Namba plz
na tulioko mikoan tunaipataje hiyo gel?au ipo na mikoan pia
Tupigie simu
Redegunda Damiano
Ecogel bei gani?
Rukhaiyah Suleiman kopo dogo 12000
my hiyo naipataje
Nywele ikiwa ndefu unafanya hivyo hivyo kipenzi au
Hiyo ecogery inauzwa sh ngapi
15 kopo dogo
Mdr nmeipenda, Je mafuta ya stylin dredz yale ya Dred ayai kutengenezea rough dred ???
Yanafaa
Hayo mafuta nitapataje mwy
@@UpendoSanga000 maduka ya urembo kariakoo dear
Naomba kujua utofauti wa izo ecogel...maana naona zingne kopo jeusi na iyo kijan uliyotumia...na kunaile castor oil cjui na olive oil zinatofauti gani?
Nitafanya video kuhusu hilo dear usijali, very soon utapata majibu
Eco gell sh ngapi
Bei zinatofautiana nicheck kwa simu dear