Hakika tutakusapoti Na utafika tuu kamanda muokoz wetu ila omb mungu Na jitahidi kwnye ibada utafika sehmem ambayo umeikusudia katka maisha ttakusapot milele
Hakika ww ndio mfalme wa mziki wa chimbuko LA wazanzibar wote tulioko hakika ww ttakupa bendera ya nchi yetu mungu akulinde Na akubariki ( Amen) neddy king
Hii ndo aina ya mziki ambayo unaweza kusikiliza mbele ya wazaz na watoto wako na wote mkaburudika bila kuoneana haya. BIG UP SN NEDY MUSIC FROM KIGAMBONI💪💪💪
Jamaa anabadilika sana kila anapotoa kazi inamdhihirisha Nedy wa Kesho Kaza Man Bado tunauhitaji wa Stars Bongo sio kila siku akina flani tuu hata sisi tunachoka
Bonge la nyimbo big up mzee hzo ndo nyimbo mamae sio unatuimbia usenge ule nyimbo kam a hzi ukisklza unalia kumtima safi sanaa😊😊😊vp una buku apo😎😎jelo je?
my bruh Nedy this one is so amazing Allah will make a good way for all of us 🙏🏻Ameeen🙏🏻 sina nongwa sina choyo kitambi cha maskini kibiongo Ameeeen 🙏🏻riziki mafungu 7 na langu tafikishiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
This is such a beautiful song. Thanks for being an inspiration to many. Much love to you. Keep doing what you are doing. God got your back. Much love❤️❤️❤️
Nyimbo Kali Kama hizi hazipewi promo dadek! Bongo Bahati mbaya
Wimbo huuu ni mzurii sanaa jmn nakupendaa hauniishiii akiliii❤❤
Hii ndo nyimbo ya nedy nnayoipenda kuliko zote ❤️❤️❤️❤️
Hakika tutakusapoti Na utafika tuu kamanda muokoz wetu ila omb mungu Na jitahidi kwnye ibada utafika sehmem ambayo umeikusudia katka maisha ttakusapot milele
KAZ NZUR SANAA KAMA UMEIPENDA NAWEEE GONGA LIKE TUJUANE
It nc music
Daaah hii ngoma imenigusa sañ
Hih ngoma ina insipre sanaa embu gonga like kama na ww umeikubali🙏🏽
Naikubali na kuoelewa
Abdul Karim utunzi umetulia una mpa asilimia ngap
Kama umerudia nyimbo mara nyingi kama mm comment apa and like
Mm apa nyimbo kar sana
Hakika ww ndio mfalme wa mziki wa chimbuko LA wazanzibar wote tulioko hakika ww ttakupa bendera ya nchi yetu mungu akulinde Na akubariki ( Amen) neddy king
nairudia mara ya 20 sasaa yani umetishaaa umetishaa umetishaaaa umetishaaaa umetishaaa
BIG UP SANAAAAAA KAKA
kiongoziii heshima kwako umetisha kinoumaaaa
Hii ndo aina ya mziki ambayo unaweza kusikiliza mbele ya wazaz na watoto wako na wote mkaburudika bila kuoneana haya. BIG UP SN NEDY MUSIC FROM KIGAMBONI💪💪💪
Aya basi team #NedyMusic lete like twende sawa 👌👍👌👍
dah inatachi kinoma amen
Hii nyimbo every day wacha t niendelee kuiskiliza kwakwelii
Yaan hii nyimbo Hadi Bado liishe ndio nipumuzika kuisikiliza
Nedy umejua kunikosha moyo,
Kitambi cha masikini Ni kibiogo💪💪🔥🔥🔥
Wapembaaaa tujuwane
Mafans wanedy mko wap Enjoy good music🌹❤
munira upo
Kazi mzuri Wallah somo hili kwa wanamuxiki wote
mmmm sounds good
I dnt know swahili but this song is relevant to popular lives in africa and the chemistry of video is explainable by action
Like 10 kwa my broo mpemba moja 🔥 🇰🇪 🇹🇿
Jamaaa kaimba ila ndo tatizo hakuna sapoti ila nibonge la fundi kama upo pamoja n.a. mm gonga like
Ngoma Kaaaali Saaaaana Dah! 😔 Inavyoanza Imenisisimua Saaanaa Mpka Machozi Yananitoka!
Ungekua wcb daah ungekuwaa mbal xanaa tatizo connection naelewaa nakukubal nedy
Nedy umechange sna bro kwenye hii ngoma #GOD BLESS YOU
Jamaaa upo vzr umejitaidi kubadilish idea ya nyimbo 👏👏👏saaaafi San @nendy music
MPEMBA MMOJA TU!!!Keep it up God bless you lots of love from 🇰🇪❤🇹🇿
Motoooo fire
Kama unampenda Nedy gonga like .
Ngom kal ndg
Nedy katuliaaah sanaaah
I just love ... Nyimbo nzuri.
Nacheka aliyenyolewa daaaah😂😂😂😂
@@Idri7 🤣🤣🤣🤣
Kaliii Sana mpembaa
Kama unamkubali nedy kama mm gonga like #amen
Kama unaamini mungu muweza wayote chapa like apa🙏🙏🙏
What a song 😟 this one touched my heart😩 nani mwengine ameguswa? Love u Nendy❤️
me too girl
Me too 🙏🏽
Aime Lynn 🔥🔥
Me
Kitambi cha maskini kibiongo🏃🏃
uwezo bro
70th Cool song nimeikubali nipo #Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 #Burundi
Hujawahi kukosea bro keep it up
Mpemba katisha sanaaaaaaaaaaaaa alafu kma real kwakeee gonga like siyo kichoyo ata tano tu kwa mpmb
Jamaa anabadilika sana kila anapotoa kazi inamdhihirisha Nedy wa Kesho
Kaza Man Bado tunauhitaji wa Stars Bongo sio kila siku akina flani tuu hata sisi tunachoka
Kuanzia Leo shabiki Mimi shabiki mpya wa nedy. Big up bro✊
Daah ngoma ipo gud asee imentouch atar
Wanatamani wanipige hata zongo kitambi cha masikini kibiongo #Amen
This music make me unstress sometime
Neddy he deserves to be a part of the Good Artist of the all time
Naipenda hii nyimbo Kali Sana ndo mana kila Mara naingalia mpemba 1
You’ve been through so much, but look what you’ve accomplished✊🏽❤️so proud to know you🙏🏽🇹🇿🇺🇸
Bonge la nyimbo big up mzee hzo ndo nyimbo mamae sio unatuimbia usenge ule nyimbo kam a hzi ukisklza unalia kumtima safi sanaa😊😊😊vp una buku apo😎😎jelo je?
Ongeza nia utafika tu100%%...I like it brother 💪💪
Brother hiii nyimbo uligusa uhalisia Daaaaaaaaaaaaaah big up
True definition of an artist Nedy music
Nedy I love it wen you do slow vibes ni inspiring sana very deep manze respect from Kenya #mpembaMmoja
Kali saaaaaana nedy
this dude is underrated. looking foward to more of your music.good music
Asante sana mama salamu ndo natuma nakupenda sama mama😪😪😪😰😰😰 duuuuuuuu asante sana uko sawa sana cha msingi kaza buti na usilsahau ibada
Gold boy brought me here, what a lovely and a blessing song
Kali
respect one love tunaamini ktk ukweli
Kazi Kali Sana kaka
pro tip: you can watch movies at kaldroStream. Been using them for watching a lot of movies these days.
@Raiden Heath Definitely, I have been using kaldrostream for since december myself :D
Mimi team WCB Ila uyu ,namkubali Sana tena sana
love u forever nedy and am so proud of u
Piaa munisupport
😭Allah bless you 😭umekumbusha mingi brother kwenye maisha yangu yalionitoka mm kwenye maisha never give up
That's MPEMBA MMOJA TU #amen
Duuuh!!!... Kiukweli siku moja itajipa dogo... Gonga like ya Nedy??
Nedymusic kaja kivingine kabisa kama na ww umeliona hilo gonga like
Baada ya kuchaguliwa kwenye category 3 imebid nije kwanz kuichek💥💥💥💥
Kama umemuona mpemba mmoja kaja na staili tofauti gonga like
fan wako kutoka Congo Kinshasa ,ongera sana pambana kazana na amini kazi yako
Nedy hii kitu FIRE ....for the second time mekuelewa tena
Nakuelewa sana nedy kaz nzur ujawah kukosea
Nend msic hii songs iko fit inaweza Sana na inatesa🇰🇪💯
GOOD SONG MIMI NIMKENYA BUT NIMEIPENDA SONG
🤩💘💝💖💗💓💞💕💟❣💔❤🔥💯
This is too emotional aisee
Big up San ndugu umetisha ila dah had APA kuna dislike ama kwl duwa muhimu na tuitkie aaammiyn
Wap Tz we need mor viewers in gud songs lyk these,,, support👊
Hongera sana Nedy music kwa nyimbo nzur sana tena sana zaid Ya sana I like it
It's me Adnan bin Faraday
my bruh Nedy this one is so amazing Allah will make a good way for all of us 🙏🏻Ameeen🙏🏻
sina nongwa sina choyo
kitambi cha maskini kibiongo
Ameeeen 🙏🏻riziki mafungu 7 na langu tafikishiwa 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kaka ipo swa by KA TELEPHONE
Pemba classic music PCM nimexhindwa kujizuia nimesikiliza zaidi ya mara 100 kila ck inakuwa mpya kwenye kichwa changu
Nyimb nzur naombeni like jmn
Bonge la wimbo
Mpemba🔥🔥Worldwide🌍
In love with this💞💞💞 Big up bro @NedyMusic...always your number one fan. Lots of love from Kenya😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Nyimbo ni nzuri ina ujumbe mzuri ubarikiwe nedy music kipaji 💥💥💥💥💥
Kitambi Cha maskini kibiongo. Gonga like tusonge
Babu me Leo nimekupa heshima yako kweri we mkali ...#AMEN
There is a something I've learn on this song 🙏
Niwe muwazi,nyimbo hii ni kubwa sana.Imenigusa na kuirudia mara nyingi sana,hongera sana Neddy.Umetutendea haki mashabiki zako
This is such a beautiful song. Thanks for being an inspiration to many. Much love to you. Keep doing what you are doing. God got your back. Much love❤️❤️❤️
Kama umeikubali hiii ngoma gonga like twende sawa
Hataree very emotional song you’re talented mpemba mwenzangu
Nimeitafuta hii ngoma wiki nzima nilisikia wimbo ukiwa mwisho ata alieimba simjui.........KAZ NZURI MPEMBA#1
I have been waiting
Mpemba utafika malengo tu..😎😎😎😎showlove
My favorite ❤️🥰🙏🏽keep believing in you and never give up❤️❤️❤️🇹🇿🇺🇸
i agree girl
✌🏽
Beautiful song
Tuache utan brow umeimbaaa saaana hum umeandika saaaana hum hongera saana
Nedy me nakubal xana mpemba ila ongeza speed ucdelay kutushushia vigongo me natka bongo akitok mondy uje wew nakbal miak yoteee
Toka nianze kukusikiaaa hi ndo nyimbo yako niliyoisikiza mara nyingi n kuisechiii utube kila sku n kwanzia leo m shabiki yako gooo nedy kazii nzuri🙏
Kali... San🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo hi imenigusa Sana.
Naona imefika wakati mwafaka kabisa kwangu 💝💝💖
I can’t get enough 🔥🔥
Hanscanner kaweza kweli .
Great song, keep it up bro, cheering for you from another side of the world.
Dah nyimbo kali sana unaweza jifungia quaranteen na ukasahau kama kuna corona
Kama unamkubali mpemba gonga like
mung akujalie bro kaz nzuri na bado tunakupenda wadog zako wa zanzibar👌👌👌 {KING FINE}