TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE | DSM - TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • TUNAUZA NG'OMBE WA MAZIWA | WE ARE SELLING DAIRY CATTLE | DSM - TANZANIA
    Huyu ng'ombe anatoa lita 16 kwa siku yupo Kigamboni, bei ni 1,600,000Tsh, sema ni kipofu.
    NB: Hatuuzi ndama, wala ng'ombe asiye na mimba.
    Call/Text/WhatsApp; +255 655 05 73 23
    @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
    Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
    Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
    Aina (breed/kabila) za ng'ombe tunao wauza ni Friesian, Aryshire, Jersey, Holstein, Fleckvien cows, nk
    Ng'ombe tunaowauza wana uwezo tofauti tofauti wa kutoa maziwa, Uwezo wao wa kutoa maziwa ni lita 14, 16, 18, 20, 25, 30, 35, 40, 45 au zaidi kwa siku.
    Bei ya ng'ombe inategemea uwezo wa ng'ombe kutoa maziwa na kabila.
    Friesian ni moja ya kabila la ng'ombe linalotoa maziwa mengi, ukilinganisha na kabila nyingine za ng'ombe.
    Ukinunua ng'ombe kwetu, utafundishwa bure, namna bora ya kutunza ng'ombe wa maziwa.
    Kwa wateja wa mikoani na Zanzibar mtasafirishiwa ng'ombe kwa gharama nafuu.
    #ngombewamaziwa #Friesian #freshiani #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #jersey #ngombewakisasa #wauzajiwangombe #arshire #wauzajiwamifugo #shambalangombe
    Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa
    Simu:
    +255 655 05 73 23 (WhatsApp)
    +255 692 43 02 63
    Email:
    joackbagamoyo@gmail.com
    TH-cam: • Tunauza Vifaranga wa b...
    Website link: joackcompany.b...
    Google location: maps.app.goo.g...
    #joackcompany #Kilimo #mifugo #ufugaji #tanzania #mbeya #tanga #daressalaam #morogoro #ufugaji #kilimoufugaji #mwanza #arusha #iringa #dodoma #tanzania🇹🇿
    JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO

ความคิดเห็น •