SHEKH TWAHA BANE NA BAADHI YA MAHUJAJI KTK DUKA KUBWA NA BORA LA VITABU AZIZIYA JIJIN MAKKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 6 หลายเดือนก่อน

    SHEIKH TWAHA BANE ALLAH AKULIPE KWA KUWAFAHAMISHA WAISLAM UTUKUFU NA UBORA WA MAKKAH NA MADINA KUNA WENGI WANAUCHUKIA MJI ALIOZALIWA MTUME KWA SABABU ZA KIMADHEHEBU NA KUYADHARAU MATUKUFU YALIYOMO WAMECHUPA MIPAKA NA KUSEMA AFADHALI YA JAMAIKA NA NCHI ZA MAGHARIBI NI BORA KULIKO MAKKA ❤

  • @altafyusuf7638
    @altafyusuf7638 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba location tafadhali ?

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 5 หลายเดือนก่อน

    Sio Twaha mnalazimisha kubadilisha Herufi... Ni Ta'ha.. Hio W mmeitoa wapi

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 4 หลายเดือนก่อน

      العبرة في الأشياء بحقائقها لا بأسمائها.
      طه أو تاه.
      W wameitoa katika kiswahili.
      Alafu video yote hiyo hujastafidi hata kitu kimoja wewe umeona jina tu.
      لا حول ولا قوة إلا بالله.
      Wewe ita Utakavyo Na wao waache waite walivyoita.

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 6 หลายเดือนก่อน

    Nitapataje kitabu?

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni makkah ama madina

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 4 หลายเดือนก่อน

      Iskilize tena hiyo clip utapata jibu la swali lako.

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna maulid barzanjy hapo?

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 6 หลายเดือนก่อน

      Madina hupati kitabu hicho, kwa sababu maulid ni bidaa, hapo kuna vitabu vya ahlu sunnah waljamaa

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 6 หลายเดือนก่อน

      Lakini maulidi yanasomwa Madinah illa vitabu va maulidi ndio hakuna

    • @nassor6333
      @nassor6333 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@hythamhashiem4458 wanasomea vyumbani kwao ukikutwa ovyoovyo kama huku bongo ni mikwaju tu.

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani imaamul barzanji sio mtu wa sunnah? Baadhi ya watu mkiskia maulid tu bas mshapofuka macho ​@@zulekhaa6817

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 4 หลายเดือนก่อน

      Mambo yanataka بحث kabla ya kuongea. ​@@hythamhashiem4458