Ooh pole sana kwa kuchelewa kuona txt. Kanisa lipo Dodoma karibu na milembe Hospital. Ukifika mirembe unanyoosha Iringa road mita chache kabla ya round about ya Iringa, utaona sheli ya total mkono wa kushoto, ukiangalia kulia hapo ndipo kanisa lipo

Bwana akubariki sana mtumishi kwa mafundisho mazuli
😭😭😭naomba niombee Sana pastor huu ujumbe niwangu hapa nalia tu ninavyousikiliza
Neema ya Mungu ikupe kuona uponyaji !
Bora upigwe na Mungu kuliko kubembelezwa na shetani,Aaaa hii nimeipenda.
I pray that the Lord bless you and much for your have been a blessing in my life 🙌
Amina ubarikiwe San
Nipo morogoro chuoni Mzumbe
ubarikiwe sana
Shadrick Justine from Zambia 🇿🇲
Amen, pastor Ubarikiwe na Mungu.
😭😭😭napona Leo pastor uwiii Asante Yesu
Nakufuatilia Sana mtumishi barikiwaa
Mungu akubariki sana
Mungu akubariki sana
Amen 🙏
Nakutizama kutokea Zambia
Asante sana Pastor Fred❤❤
Natazama kutokea Chidachi
Ameeeeeeeen
Samahan mchugaji nakusikiliza sana kupitia youtube ila nataman niwe nakuja kanisan kwako...Sasa mpka Sasa sijajua ni wap hapa dodoma?!
@kenaninasola2646 Ubarikiwe ❣️🙏

067 366 7788
067 366 7788