Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Paula Kajala Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Asallam maalequ maaishaala 💞💞💞💋💋
Dah hii nchii inauhuru sana yani kabisa watu wazima na mvi zetu tunadngnywa kiasi hki alafu serikar ipo tu inaangalia🙄🙄🙄🙄🙄🙄cjapenda mama tuma jesho wte wawekwe ndani
Alf mabrook dada Paula ikawe ndoa ya kheri inshaa allah kher mungu akusimamie katika ndoa Yako
Ila paula anaonekana mpole sana atatulia kwa uwezo mungu
Amiiiin yaarabih 🤲
Aamin yaarabbi
Nampenda Sana pau❤️❤️❤️❤️
Jamani kapaula ketu maashallah tabaarakallah ikawe kheri
BONA TV❤❤❤❤❤
Pole kwa hilo
She's calm wallae
Allah aidumishe ndoa yenu InshaAllah ❤️🙏🙏
Sauti mamake mzazi💝
Mungu akutangulie .Mungu n mwema
Ma ash Allah bib Aisha, Allah awajalie kila la kheri,utadumu In ash Allah
Mashallah😍❤️🇰🇪
Kilala Kheri mndogowangu Allah akusimamiye kwenye ndoa yako insha Allah ❤❤❤❤❤❤❤
Hii
Ongeraaaa sanaaaa bii aishaa au Mrs ally
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala Paula Kajala Allah hjelp you Ishaalla Ishaalla Asallam maalequ maaishaala 💞💞💞💋💋
Bora ata angefunga ndoa kimya kimya maana watu wanaona Paula sijui hafai kuolewa. Mwaya Mungu atakusimamia
Hamna ndoa movie 2
Wa kwanza woyoooo
TANZANIA NCHI YA KIPUMBAVUU...Watu Awawezi Fanya Biashara Bila KIKI
Hongera👏👏👏👏👏
Congratulations
Ikawe kherii🥰
Dah hii nchii inauhuru sana yani kabisa watu wazima na mvi zetu tunadngnywa kiasi hki alafu serikar ipo tu inaangalia🙄🙄🙄🙄🙄🙄cjapenda mama tuma jesho wte wawekwe ndani
Nimecheka
Kwan wame2mia pesa Za misaada c pesa zao jaman
😂😂😂
Hongera
Masha Allah bless you and your husband mudomu
Mashallah kapendaza mno
Nakuombea mungu akusimie kwenye ndoa yako mdogo wangu
Hakuna Cha ndoa wala nini ,hapo hiyo picture ya kwenye red carpet hasemi kama ni ndoa
Kama ni Kiki mtakuwa mmeharibu sana ila kama ni ndoa kila la kheri
Yan kabisa, nawaza maandalizi yote ayo af unaambiwa et ni kiki
sio kiki ni kweli
Yaani eti hata Mume aonekane!? wakati vijibuzi tu anavaa navyo mpk sare😭🏃♀️🏃♀️😴
Kasauti ako 🥰🥰🥰🥰
Katulie
Hii move oh hii ndo Tanzania
Mungu akutangulie mdogoetu wa taifa ukadumu
Mabrouk
😂😂😂😂hakuna ndoa hapa move tu kama ndoa kweli Mungu hakusimamie
ipo ndugu yangu😍😍😍😍😍😍😍
Hakuna cha Ndoa maana uso WA MAJI ya khutba hunawiri kivake huyo yupo kawaida Tu. Ndoa NI tafauti na kitu kingine
Jameniii movie ganii iyoooo
@@kibalakishundundu2904hamna lolotreeacha makasiriko
Mlikuwa mwataka kuolewa nyie
Ndoa iyo vp ndoa ndoano jamannn
Mama Samia kwanini uruhusu ujinga kama huu tuma difenda iwachukuwe hawa watapeli la semaine prochaine
Mama Samia anashughuli nyingi za kufanya vijijini uko hamna maji aje aje a deal na upuuzi
Wewe mpuuzi umenichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣 nandika coment cna mbavu yaani asante kwa kuniizidishia maisha🤣🤣
Mmbwa ww kicheche
😂😂😂😂😂😂😂
Move
Eeeh olewa tu ramadhani inaanza🤣🤣🤣ukiisha urud
Alafu kuna mijitu inasema atadomu kwa ndoa 😢
Wote walisema wameolewa😂😂 wapo mtaani tu
Ni movie/series wajameni mama na mwana wameamua kufanyia kik inasikitisha
❤❤❤❤love🌹🌹🌹🌹🌹
♥️♥️
Afadhali ingeandikwa shuhuli zetu na paula ila hayo majina hapo hakuna kitu ni kikiii
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda upo nyonyo
@@raniafahad2918 nasubiri kukonda kwa ndoa ya paula
@@eyabdimaha3698 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@@beatricesamwel8161 naambiwa nitakonda kwa wivu wa ndoa ya mdogo wetu😁😁😁
@@eyabdimaha3698 aisee umenichekesha sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mashallah
Congratulations
Inshallah heri ndoa njema❤❤
Mimi sioni harusi naona matangazo ya nguo za kiindi
Upuuzi sana
Naakatulie jaman subra ndo ngao kubwa
Nyie 🙊 kasema atadumu aweeeeeeeeee
Unaweza ukawa mpole ma usiwe mnyenyekevu.
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ataacha umalaya kweli🤔
Ndoa ndowangeweka bango la mama na mtoto
Mume mbona haonyeshwi
Paaa wameachana anarud kwenye dini yake ila mungu amsimamie sjui jina la kiislam lipi alilopewa nampongeza sanaa kwa kuingia kwenye dini ya haki
Jina kama lako bint Aisha
Ni mpole Paula
Paula mpole yani hana mambo mengi
Hongera sana Dada paula
Hukoraaa 🤣🤣🤣🤣🤣 wabongo
Labda cjui kama ni kweli
Allah akujaalie kila jema
Nimempenda bure paula ni mpole
Kila la kheri
Huyu sio paula dangnya wengne
Sijakubali mimi
Max anawambia wamkome
MUNGU akuximamie MUNGU awape kwexho mwema.....
Bibi harusi kicheko kama mtu mzima Lol hahahaha
Hamna ndoa hapa hajapambwa kabisaa
Paulla acha uongo😂😂😂
Kwakweri
Kiki za kisenge kweli hiz we nae ukuolew
🤣🤣🙏🏼
Amna kitu hapo porojotu
wa 3
Kama ni kiki basi hii channel imejishushia hadhi yake
Umribado hajajua changamoto za ndoa bola anhesubiria mana mpaka hapo atazihesabia ndoa nyingi sana
Hlf kanaonrkaja mjamzito
Ameolewa mapema kama sisi wakongomani
Hakuna ndoa Kiki
Jamani paula bado ni mdogo kwa ndoa… she has not lived her youthful life
Ana udogo gani Paula we nae wadogo kwake wanaolewa usiku na mchana
Mbona hana pete Sasa
Alafu anaficha mikono 🙄🙄🙄🙄
Ndoa ya kiislam siy lazm kuvaa pete
Waislam hkn Pete hz Pete Ni mbwembwe tu
duuuh muda umeenda sana
Huyu Paula amekua lini mpaka kuolewa mmmmh!
😂😂😂😂SI amekua mtt wa 2000 ajakua kwel ao mnapenda awe anadang kwa ray
Mwanamke ata miaka kumi n mbili mtu mzima,so itakuaje Paula asiwe mtu mzima wakati anaenda 23
Salehe umependeza 😂😂
Uongo huu😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣😂😂🤣🌚🌚🌚
Ndoa mchezoooo
Ikawe heri paula
Hongera
BONA TV❤❤❤❤❤
Mashaallah
❤❤❤
BONA TV❤❤❤❤❤
❤❤❤
BONA TV❤❤❤❤❤
BONA TV❤❤❤❤❤
BONA TV❤❤❤❤❤
BONA TV❤❤❤❤❤