Niliwambia wale wote waliomdhihaki Magufuri watadharilika hadi kufikia mwaka 2025 wataumbuka vibaya na wengine watakufa kihoro na wengine watakufa kimwili na wengine watafarakana katika vyama vyao nikawambia mimi natoka ukoo wa "Bahikumbugha bhano bhaghambirii aghana eghatoka" *ukoo wa watu neno lao halianguki bure" ogopa kudhihaki damu ya mtu isiyo na hatia.hata katika CCM wangapi walishangilia kifo cha Magufuri leo wako nje ya systeam wa mwisho atatoka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025 hata iwe imebaki siku moja hatashuhudia uchaguzi.wako wapi wa Upinzani chadema inajifia kifo cha mende niliwambia Mbowe na Tundu Lisu hawataonja uongozi wa nchi hii.ACT nawaheshimu hawakuwa wapayukaji sana kuhusu msiba wa Magufuri.Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa mwanza na mumiliki wa Sahara media mzee Dialo kumtukana marehemu Magufuri eti nikichaa ndie nilianza naye kumtabiria mabaya haikupita muda katemwa na CCM yake. Nape.Januari.Membe.Ogopa sana damu isiyo na hatia bado anguko moja la kutisha mwaka 2025 mimi siyo Nabii wala Mtume mimi ni Mwana Mambo na mwota ndoto kama "Yusufu"
wenje kwaza ninani atakama ni mwenyekiti wa shadema lakini nichawa wa Samia uyo Yani nimpumbavu sana huyo wenje hafai niumbwa tu atoke anazungumza nini huyo tumesha msoma atoke ni Kuma huyo
Amepanic sana mimi miongoni mwa ninaemkubali Wenje lkn kwa hili nina wasi wasi sana na tuhuma zinazomkabili Wenje japo sina uhakika lkn kwanini amtaje Wenje?
Mhh nilikuwa namuelewa sana Wenje ila kwa hili hapana huyu muongo wazi wazi aisee yaan malipo yake yapo wazi wazi iweje muangaike adi kwake kwajili ya malipo?Account yake inajulikana angeingiziwa tu hayo mengine umetunga wewe😂😂
😂😂😂😂huyo ndio lissu.....sheria kichwani ...anajuwa kuitengeneza kesi..ukweli anaugeuza kuwa uwongo...ili watu wamuonee huruma.... Sasa bado tunaendelea kudikia mengi...kumbe hata pesa alikuwa anakopa kopa tu ....Wenje mwambie akulipe pesa zako....asilete ujinga kusema uwongo kwa watu ili tumuonee hurumaa😂😂😂
Kamati ya Maadili inapelekewa ajenda na Kamati Kuu. Sasa anawezaje kuanzisha mchakato bila maelekezo ya Mamlaka husika!? Huyu Wenje amesoma mpaka darasa la ngapi!?
WHO IS ABDUL? NDANI YA CHADEMA? ULIMJUAJE? UKITUHUMIWA LAZIMA UJIBU? AU UITE PRESS COMFERENCE UKATAYE! ACHA KIINGEREZA HUKIJUI ONGEA KISWAHILI! MBONA HUKUKANA?
LISSU ANAJUA KULIKO WEWE NA HATA KAMA UNASEMA KWA NINI KAMA NILIKUWA NA MAKANDO, KWA NINI HAKUCHUKUA HATUA ALIKUACHA TU AKIDHANI UNAWEZA KUWA MTU KUMBE BADO SANA
Nawambia Chadema huyoo mtu ni COVID-19 kiongozi gani ambaye hanaga siriii Cuf wamesha sambalatika, Nccr hawapo tena, Tlp sijui ilipo, chauma wanakula ubwabwa chama pekee ambacho kina exit ni nyie Chadema sasa ingizeni hicho kirusi Lissu walah mtakuja kujuta mpango wa Msigwa dhidi ya Mbowe mnauona
KIGOMA HAWANA MVUTO WATOKE MBELE ZA WATU WATAJE HATA MAWAKALA WALIO KUWA NAO KWENYE KUSIMAMIA CHAGUZINZA SERIKALI HATA ASILIMIA 0.8 HAWAKUWEPO TANZANIA NZIMA
Wenj maneno matupu, unazidi kujiroga tu. Tunaojua kusoma body language tunaelewa kuwa unadanganya. Yaani mtunga sheria mzima unaenda kutafuta connection ya mtoto wa rais ili usaidiwe kwenye issue sensitive kama ile? You can't be serious
Lissu ni mwanasheria na wakili wenje apinge Lissu atampiga kama kenge, huo ni ukweli Wenje ananjaa lazima angetafuta hela huyo ni very useless, he is hungry for Money, UKIMPA MTU KAMA WENJE CHAMA KAMA CHADEMA, anafika bei! AMPINGE LISSU WAZI WAZI KUWA HAKUMPELEKA KWA LISSU
NYANDA WEWE NI VERY INTELLIGENT! HAKIKA KWA MASWALI UNAFAA! WEWE NI MWANDISHI WA HABARI! VERY SMART JOURNALIST!
Lissu for Change🔥🔥🔥
Niliwambia wale wote waliomdhihaki Magufuri watadharilika hadi kufikia mwaka 2025 wataumbuka vibaya na wengine watakufa kihoro na wengine watakufa kimwili na wengine watafarakana katika vyama vyao nikawambia mimi natoka ukoo wa "Bahikumbugha bhano bhaghambirii aghana eghatoka" *ukoo wa watu neno lao halianguki bure" ogopa kudhihaki damu ya mtu isiyo na hatia.hata katika CCM wangapi walishangilia kifo cha Magufuri leo wako nje ya systeam wa mwisho atatoka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025 hata iwe imebaki siku moja hatashuhudia uchaguzi.wako wapi wa Upinzani chadema inajifia kifo cha mende niliwambia Mbowe na Tundu Lisu hawataonja uongozi wa nchi hii.ACT nawaheshimu hawakuwa wapayukaji sana kuhusu msiba wa Magufuri.Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa mwanza na mumiliki wa Sahara media mzee Dialo kumtukana marehemu Magufuri eti nikichaa ndie nilianza naye kumtabiria mabaya haikupita muda katemwa na CCM yake. Nape.Januari.Membe.Ogopa sana damu isiyo na hatia bado anguko moja la kutisha mwaka 2025 mimi siyo Nabii wala Mtume mimi ni Mwana Mambo na mwota ndoto kama "Yusufu"
Ninapata wazo na Akili inaniuliza huyu Abdul alikua anashughulikia Malipo ya Lissu kama nani kwenye Serikali?
km mtt wa mama wa rais
Wenje ni mkenya tunamvumilia sana
Wenje ww nimnafiki muongo niwazi tu kile kinachosemwa juu yako kinaonesha ww nimnafiki mkubwa😊😅
Chadema tunamsimamo wetu.🎉
Lisu mungu Akupe Marshall Malefu
Mtashinda umwenyekiti pamoja nambowe kwakuwa mnama chawa mlisha wanunua.hamna nguvu tena.lisu alishawapiga pabaya.mnamnyongea sana
wenje kwaza ninani atakama ni mwenyekiti wa shadema lakini nichawa wa Samia uyo Yani nimpumbavu sana huyo wenje hafai niumbwa tu atoke anazungumza nini huyo tumesha msoma atoke ni Kuma huyo
UNAONA WENJE ANAVYO PANIC? ANGALIA BODY LANGUAGE YA WENJE! INA MAANA LISSU NI KICHAA?
Lissu 4 change
Fisadi wew😂😂
HIYO NI RUSHWA! MNAZUNGUKA SERIKALI KUPITIA MTOTO WA RAISI MUNGU WANGU!
Lisu yuko sawa
Kumbe ni kweli sasa unachengachenga nini???
Sasa abdul nani kwenye inchi mpaka umpeleke akamlipe pesa ya lisu ya serikali,hii story mmmh😅😅😅
Lissu ni a very open leader! Lissu ni kiongozi ambaye hana mfano! Hana doa lolote! Namjua ana mambo mengi atayaweka wazi mtakimbia
Tindu lisu anajua kucheza na vichwa maji na anavyocheza picha hiyo atawachota wehu wengi 😂😂😂
Fisadii hii
Good question nyanda
Ohoooo pimeni hiyo wamesha lamba asali
Hiyo ni rushwa! Kumbe mnazunguka hela zacwanainchi walipa kodi? Mungu wangu!
Hicho kicheko cha Wenje tu no doubt Lissu yupo sahihi
Kumbe ni kweli nyinyi mnahongwa,inawezekana Lisu hakuumwa bali alishutukia mchezo mchafu akawakwepa kiahina.Tuwe makini!
Mtoto wa Rais anahusika nini na utendaji wa serikali????
Yaani sisi watanzania tuna roho mbaya sana,yaani hadi leo Lissu hajalipwa hela yake.
Madai ya Lissu yanalipwa hotel wakati ni issue ya kiserikali? Mtoto wa Rais ni nani kwenye serikali ili afanye mpango Lissu alipwe pesa zake?
Mbona sasa mnaharibu CHAMA CHETU!
Wenye mtani wangu,hivi hujui kama hunaga mvuto.hacha ujinga kajenge vyama.
Swali la Msingi tu Kwa huyo wenje je ni Kweli kwamba ulienda Kwa Lissu na mtu anaitwa Abdul? Sawa kama ndio mlienda nae mlienda kufanya Nini?
Abduli ni nani kwenye serikali?😆😆😆
Wenje Chadema imekuami Leo unadanganya uma wa Tanzania hanahata miezi katika uongozi acha hizo 😂
Wenje hufai kabisa
Abdul anapewaje pesa ya selikali ili amlipe Lisu??
Unamdaije Abdul pesa ya Lisu!??? Stahiki za Lisu ni juu ya serikali sio wajibu kwa Abdul
Yani huyo jamaa ni wazi ni Kweli kashadalalia chama...Sasa huyo anaweza kuwa Makamu mwenyekiti? Labda wa kitongoji
Wenje amepaniki ni wazi kuwa kuna ujinga unaendelea
Amepanic sana mimi miongoni mwa ninaemkubali Wenje lkn kwa hili nina wasi wasi sana na tuhuma zinazomkabili Wenje japo sina uhakika lkn kwanini amtaje Wenje?
Hajapanic lisu anakwepa kulipa hela ya wenje analeta utapeli
Akwepe wapi
Mhh nilikuwa namuelewa sana Wenje ila kwa hili hapana huyu muongo wazi wazi aisee yaan malipo yake yapo wazi wazi iweje muangaike adi kwake kwajili ya malipo?Account yake inajulikana angeingiziwa tu hayo mengine umetunga wewe😂😂
Swali konki sanaaa
Haya basi tuambie ilikuwa unahusiano gani na Abdul usitukoroge Chadema
Wapi full interview
Shida ni njaa inawasumbua. Huwez kuwa mwanasiasa kama huna pesa ndo maana wanawehuka tu hamna LA maana, hasa hii sura hapa ya rushwa tupuu
Ulimpeleka Abdul Kwa Lissu hukumpeleka?
Swali zuri sana lkn anajing'ata ng'ata tu
Sawa sawa mtangaz aji swali zuri sana
JE? ULIMPELEKA ABDUL KWA LISSU? PLEASE JIBU HILO?
Wewe na mbowe myondoke chadema unataka kukihujumu CHAMA pumbavu
/mmh unaongea uongo, hata sauti yako inatetemeka, swali abduli na malipo ya lisu vinaingiliana nini? Kwani abduli ni nani kwenye hii selikalii
Hayo yalikuwa mazi ngira ya lushwa
MUULIZE HUYO MJSLUO MWENZAKO SWALI? JE ULIENDA KWA LISSU UKIWA NA ABDUL?
Wenje acha Luongo Chadema tuna akili
Wachaga na pesa?😂😂😂
Wenje bado uwongozi
Ulimuuliza Abdul kwani yupo serekalini ????
Mhhhh tumepigwaaa wenjeee sema ukwel
Unarudia tena serekali kwani Abdul yupo anafanya kazi wapi ?????
Lisu hawezi kuchafuliwa nimsema ukweli nimtu wa haki wanaomsema wanapoteza mda
Wenje utetezi wako haueleweki, hivyo nakosa hoja za kukuamini.
😂😂😂😂huyo ndio lissu.....sheria kichwani ...anajuwa kuitengeneza kesi..ukweli anaugeuza kuwa uwongo...ili watu wamuonee huruma....
Sasa bado tunaendelea kudikia mengi...kumbe hata pesa alikuwa anakopa kopa tu ....Wenje mwambie akulipe pesa zako....asilete ujinga kusema uwongo kwa watu ili tumuonee hurumaa😂😂😂
Abduli hana profile yoyote kwenye hii nchi kama nihivyo basi mama ake anatumia vibaya Madaraka
Kwa kauli hii sasa hamna upinzani chama ni cha abduli
Kwamaongezi uyu ni tapeli
Lazima mkatwe kwa upuuzi wenu huo
Hili li wenje ni li ccm li tupu
Maokoto fc
Where is john Heche ?
Wenje tafakari kwanza jinsi ya kuishi Tanzania
Wenje jina la kina Khaligraph
Wenje acha siasa utaamriwa kuondoka kaa kwa Amani
Sioamombe lissu tu2 ni wanachama wa Chadema wote
Nahatuku lasimishi uombe msamha mh lissu pamoja na Chadema kwaujumla utaogea mwenywe
Heche yuko wapi
Kamati ya Maadili inapelekewa ajenda na Kamati Kuu. Sasa anawezaje kuanzisha mchakato bila maelekezo ya Mamlaka husika!? Huyu Wenje amesoma mpaka darasa la ngapi!?
Gud
Wenje unajipendekeza kwa Abdulu na kama umechukua pesa rudisha mapema aibu
Abdul nini Chadema
Abdul ni nani kwenye hiii nchi hata kuku hawamjui anawezaje kushiriki kazi za kiselikari
KWANINI ABDUL APEWE FILE ZA LISSU? ABDUL LEO NI HIGH PROFILE CITIZEN KISHA NI MTOTO WA RAIS! DUH! WENJE NI NG'OMBE! LISSU NI SMART!
Wenje ungekosa uongozi chadema kesho ungehama ccm!
Kweli sasa tukae chonjo mungu ametuonyesha mapema
Mungu mkubwa sana Kila kitu Kwa chadema kinakua wazi sijui itakuwaje Sasa maana ubaya mwisho ni aibu tupu
Wenje una urafiki gani na abdul? mtoto wa mwenyekiti ccm? Wenje we mnafiki na mla rushwa!
Huo utaratibu WA kudai madai ya Lissu Kwa kupitia NI sawa??
Abdul NI Nani kimamlaka hadi umuhusishe kwenye madai ya Lissu??
Wewe jamaa NI muongo.
Lissu huwaga habahatishi
WHO IS ABDUL? NDANI YA CHADEMA? ULIMJUAJE? UKITUHUMIWA LAZIMA UJIBU? AU UITE PRESS COMFERENCE UKATAYE! ACHA KIINGEREZA HUKIJUI ONGEA KISWAHILI! MBONA HUKUKANA?
LISSU ANAJUA KULIKO WEWE NA HATA KAMA UNASEMA KWA NINI KAMA NILIKUWA NA MAKANDO, KWA NINI HAKUCHUKUA HATUA ALIKUACHA TU AKIDHANI UNAWEZA KUWA MTU KUMBE BADO SANA
Tundu Lissu siyo binadam! Paul Makonda amemjibu Tundu Lissu... Wenje umemjibu Tu ndu Lissu yaonaekana Lissu sio binadam...
Sasa me nikulize Abdu ni nani bungeni hadi yeye ndiye asimamie malipo ya libsu wakati lisu analipwa kwa mujibu ya katiba yetu?
Nawambia Chadema huyoo mtu ni COVID-19 kiongozi gani ambaye hanaga siriii Cuf wamesha sambalatika, Nccr hawapo tena, Tlp sijui ilipo, chauma wanakula ubwabwa chama pekee ambacho kina exit ni nyie Chadema sasa ingizeni hicho kirusi Lissu walah mtakuja kujuta mpango wa Msigwa dhidi ya Mbowe mnauona
Wenye Akili zetu,tumeshaujua ukweli,ukichanganya maji na mafuta! Yatatengana tu.
KIGOMA HAWANA MVUTO WATOKE MBELE ZA WATU WATAJE HATA MAWAKALA WALIO KUWA NAO KWENYE KUSIMAMIA CHAGUZINZA SERIKALI HATA ASILIMIA 0.8 HAWAKUWEPO TANZANIA NZIMA
Wewe ndiyo umenunuliwa Abdul kwann ulimpeleka kwa lisu Kama hujapewa hela wewe tunàjua nimfuasi wa mbowe nandiyo mnao hongwa ukweli utajulikana tu
😂😂😂🤷♀️
Wenje.umejimaliza.abduli.sio.kiongnzi.pole.wenje.lisu.ni.msomi.humuwezi.omba.msamaa
Wenj maneno matupu, unazidi kujiroga tu. Tunaojua kusoma body language tunaelewa kuwa unadanganya. Yaani mtunga sheria mzima unaenda kutafuta connection ya mtoto wa rais ili usaidiwe kwenye issue sensitive kama ile? You can't be serious
NAOMBO UKIRI AU UKATAE KUWA HUKUMPELEKA ABDUL KWAKE? JIBU HILO!
Lissu ni mwanasheria na wakili wenje apinge Lissu atampiga kama kenge, huo ni ukweli Wenje ananjaa lazima angetafuta hela huyo ni very useless, he is hungry for Money, UKIMPA MTU KAMA WENJE CHAMA KAMA CHADEMA, anafika bei! AMPINGE LISSU WAZI WAZI KUWA HAKUMPELEKA KWA LISSU
Huyu LISSU tu hasimjibu hata.
Lisu hamna kitu ame kuja furuga chama
Huenda wenje hakujua dhamira ya abdul
Kamahujui kuongea pwenti nyamza
Unatetea uofu wez nini
Lissu niswa na vichwa arobai aweza anasubutu
Wanashindwa kujua lisu hana siri kwanini umpeleke? Ulitaka apewe rushwa umtangaze?
Wenje hebu usibebebe ufala, ulimpeleka abdul kwa lissu ama hukumpeleka? Jibu
Kiuhalisia nyinyi kama upinzani mtoto wa Raisi haiwezekani mfatanishwe mkiwa ivo km sio for interesting sio rahisi
Lissu alishalielezea Hilo Na Yuko clear Na Yule c Ni mzee Wa kunyoosha ruler.
Naomb niulize kwan huyo anaetwajwa anahusikaje na kulipa deni la mbunge yy kama nani mbona hapo ipo wazi alienda kutoa .....au mnasaje