Yani nyie nawapenda sanaaaaaaaa sanaaaaa Ila kukaaa hapo kuanza ku discuss Tanzania maisha yetu yalivyo cheap na everything making fun of us na wakati kesho most of you mnakaa kwenye nyumba za mabati it's bad I love you guys lakini hizo pigo zaki waki atu mind Wa Kenya 🇰🇪 it's time na nyie mu appreciate Tanzania it's beautiful no matter whaaaaa
Nimewai kuishi Arusha, wenyeji ni wamasai kwa asilimia 80 na Wameru asilimia 15, ila wamasai wamegawanyika hapo Arusha CBD Kuna sub tribe waarusha ndio wengi, nikama Kenya Samburu wanasema wao sio wamasai ila kiukweli ni same community, shida wamasai wameuza ardhi kiholela sana hapo MJINI ila kwa ujumla Arusha ni sehemu poa sana, Hali ya hewa ni sawa na Nairobi
Nyie mnaona kununua land Tanzania na kujenga Tanzania ni easy kwa sababu ya curency ya Tanzania iko low but try it ...kununua vifaa vya ujenzi sio cheap kama mnavyofikiri pamoja na Tax zake ...mtaona kenya ni afadhali
Kumbe pia mimi nikikuja Tanzania 🇹🇿 minisonko aiiiiii n vile uku 500k sio kitu yakujigamba nayo waa simumenifungua macho i have to visit Tanzania with my savings acha by Dec nitakua nishafikisha 1M😂 nikuje nitawale Tz vile inafaa
19:37 Let me correct something those lands in tanzania your not given a title deed the government owns all the land there so when you buy land there the govt can come for it anytime....though ukiinvest bora pesa yako irudi kwa mfuko iykyk
It's true but if the government take the your land for any development purposes eg. Road expansion there's compensation given to the land owners and they pay good don't scare people.
At least today we learned a class in investment say congratulations to you hubby i like the way you explore and share openly I think we should invest there tz also Felicity feel thanked
That's a lie, we really don't think Kenyans have lots of money, we just have currency difference which is obvious,Tanzanians visiting Kenya that means they are rich coz we spend alot than you'll.So stay humble bwana. Anyways karibuni Tanzania. A peaceful GODLY Country!
Fel I love your personality,you humble keep going gal love team fel🎉🎉👍✌️🤗you going far...
Yes, Fel is so humble and calm❤❤❤
It's about time I get to be entertained by my country men Tanzania is beautiful karibuni Fel & Thee pluto
Fel to tell u the truth the mindset of Pluto is like the whole government of Kenya ,,,I really love that guy bcz he really tells how I should leave 😢
God bless me...One day I must meet this beautiful and humble lady
Mkikuyu ni mkikuyu tu..... Pluto ashaa hamia tz kwa akili...ashaa nunua shamba na akajenga kwa akili..kudos to us Kikuyu ❤❤❤🎉🎉
Hapati shamba Tz labda aoe a shamba iwe kwa jina l mke msidhani 🇹🇿 ni rahisi hivyo tu
@@matildamati9222Baelezee 👌
Si mwambie akuje kisumu bana,anaendaje TZ na hajafika hizi area za lake city, man kuja huku kwanza bana
I love how Pluto behaves ,this man is Soo good,you can see so much of his character online....
Mimi ni Gen Z wa Tz i like what i see 🇹🇿
Karibu kenya,kuja nao but mwambie aku sanitize kwanza
Who asked you
Generesheni zaa
Welcome again in Tanzania 🇹🇿 wish to see u guys I’m in Dodoma 🥰🌷❤️💫🔥🇹🇿
First one today kwa mama zozo,,,cheers
Yani nyie nawapenda sanaaaaaaaa sanaaaaa Ila kukaaa hapo kuanza ku discuss Tanzania maisha yetu yalivyo cheap na everything making fun of us na wakati kesho most of you mnakaa kwenye nyumba za mabati it's bad
I love you guys lakini hizo pigo zaki waki atu mind
Wa Kenya 🇰🇪 it's time na nyie mu appreciate Tanzania it's beautiful no matter whaaaaa
😂😂😂aki hii gari ya Pluto imeona mengi kunishinda😂😂😂.enjoy to the fullest
I just love you felicity ❤❤❤❤
Ata unaeza pata hio compound mzima mnaishi inauzwa punch😂😂😂
10 loves for 10k subs💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕, Thanks guys. Lets continue, nipitie nikupitie
Arusha mjini kuna pisi Kali Sana. Na hatujui wakenya kama ni richer than Tanzanian. Pesa ndio tunajua iko juu
Today is my birthday with 0 likes 0 subscribers😓😓
Happy birthday ❤❤❤ nipitie pia
Nimewai kuishi Arusha, wenyeji ni wamasai kwa asilimia 80 na Wameru asilimia 15, ila wamasai wamegawanyika hapo Arusha CBD Kuna sub tribe waarusha ndio wengi, nikama Kenya Samburu wanasema wao sio wamasai ila kiukweli ni same community, shida wamasai wameuza ardhi kiholela sana hapo MJINI ila kwa ujumla Arusha ni sehemu poa sana, Hali ya hewa ni sawa na Nairobi
Not all Tanzanians think kenyans are richer
Nyie mnaona kununua land Tanzania na kujenga Tanzania ni easy kwa sababu ya curency ya Tanzania iko low but try it ...kununua vifaa vya ujenzi sio cheap kama mnavyofikiri pamoja na Tax zake ...mtaona kenya ni afadhali
Usijidanganye... Hakuna tofauti kubwa na Kenya. Kenyans don't know how currency exchange work
Karibuni sana Arusha....❤ Yani nikwamba nimechelewa kujuwa mpo moshono ningekuwa niwape hi.... Team felicity here much love beib❤
Wow so amaizing to here that you are in tz tena Arusha place Niko welcome to tz.
Fel is very calm❤
Next time nenda pale Jevanjee Garden saa mbili asbh Kuna shuttle nyingi za kuja Arusha. Ni very comfortable na unafika saa saba.
Do you need passport,or is there documents apart fare
U need passport na yellow fever at th border@@VictoriaBlessings-gw3sd
😂@@VictoriaBlessings-gw3sd
Karibuni sana tena sana 👏🏻👏🏻Nchi ya Amani 🌷🇹🇿🇹🇿🔥🔥❤️💫
Nitafutie bf WA hapo
😂😂@@MaryKerubo-g3t
@@MaryKerubo-g3t usijal wapo wengi ila fanya uje Tanzania 🇹🇿 first 🌷🔥
Hamieni Tz Ndio mtaelewa Kama life in Tz is cheap or expensive
Kumbe pia mimi nikikuja Tanzania 🇹🇿 minisonko aiiiiii n vile uku 500k sio kitu yakujigamba nayo waa simumenifungua macho i have to visit Tanzania with my savings acha by Dec nitakua nishafikisha 1M😂 nikuje nitawale Tz vile inafaa
Amen
Kabisa😊
@@dolvinenyachae9066 natafuta mtu twende naye budget on me
Karibu kwetu
@@jacklinejimmy8244 shukran ila naomba nipe number watsup nikiwa tayari unipokee nataka wakunielekeza nikishafika nakuja Zanzibar
Kuna madem wakikuyu husema kikuyu men are not romantic thie mukamie ngui ici
😂😂
Tamere ringi😅😅😅😅😅
Lakini sio wote tunajua mna hela but hela za Kenya ina dhamani kubwa au ni kubwa kuliko yetu Ndizi maana
Karibuni sana Tanzania Felie😍
Best Video. Tz & Kenya ni ndugu. Let’s spread Love!
Nliona ig ukisema unaapload ujui vile nmengoja😂😂
Fel una vidharau vya ajabu, Arusha has very nice Places and Air BnBs but the question is can you afford? Acha dharau wewe
Uzuri tuko wote tz😂😂😂 watching you from gulf
Karibu sana Arusha, Haina kwere mamilo ,Arusha tuko gudaguda haikatai haikatoxic
Ulikuwa umetuweka sana bana but glad you are back..
Guys nipitieni aky nitawapitia nyinyi nyote please please please please
Done, nipitia please
Karibu kwetu fel tunawapenda
mkitaka kuish tz kwanza hakikishen ile jkia ipo mikonon mwa wakenya
Sasa Mtaka tuongee Kama nyinyi na hicho kiswahili chenu kibongo,mambo mengine hayana hata maana
Viwanja ni very expensive huyo alinunua long time viwanja pia vina depend na mji
Adi milioni 80 nikiwanja
Kabsa icho kiwanja cha iyo 4mil huwez pata town labda interior kijijin ambako hamna ata maji
Fel umenibamba ulipomuuliza aah ushauliza bei ya simiti .ghai
wooow my favorite couple Team work team kupitiana Nipitienii please lers grow together
Done, nipitia please
I'm a Kenyan living in Tz, mje mtutembelee huku Dar pia😅
Pluto, exchange rate hujui au hesabu ulifeli darasani??? Ksh500,000 is Tsh10,0000,000 only and not Tsh20,000,000. Relax kijana 😂
Nawaona Gnzs karibuni chuga much love chief sanitizer
Tupitiane guys we grow together❤
Niulizueni ni how much plz Nione kama nitafika bei
Yes its cheap to buy land in TZ but are the returns worth it vs in Kenya?
Fel umefanya nimeona Tz hata kama ni video 😂❤
This couple are so calm hawana kelele mingi😊
Pesa haitaki kelele
Pluto unakula mb zangu sn kwenye loyalty test 😂😂 video 3 hadi nne😅😅❤❤
Njoeni dar jamani 😂
Nai to Arusha ikienda Sana 5 hrs Feli😂😂
This is beautiful…❤️❤️ welcome to TZ….🇹🇿❤️❤️ love from TZ…🥳 kindly nipitieni guyz…❤️❤️
Done, nipitia please
am a big fan of you both fel and pluto....welcome to Arusha... i saw plutos car and just wanter to call him loud😁
Felicity naomba tukutane hapo kwa morombo tusalimiane😍
Hubby? Haiya?! Its been long since i watched you. Congratulations on your marriage.
In future enda geevanjee gardens in town asubuhi panda shuttle at 8am nd by 2pm latest you are in arusha
Tatizo wakenya kizungu mnakisoma Kiswahili
Pipo
..its pipul
Modo
Its model
19:37 Let me correct something those lands in tanzania your not given a title deed the government owns all the land there so when you buy land there the govt can come for it anytime....though ukiinvest bora pesa yako irudi kwa mfuko iykyk
It's true but if the government take the your land for any development purposes eg. Road expansion there's compensation given to the land owners and they pay good don't scare people.
@@dianapazi4303 l was just giving my opinion
Aiiiiiiii Kenyans 😂😂😂😂😂 surely ni ujinga tu mnajazana
I hope it makes you guys happy kushusha Tanzania chini
Pambaneni na mabati
A government can't take your land without compasations. It will give another land and money to build another house.
Kenyans punguzeni ujuaji
Piga hesabu vizuri 1 kwa 20
Wellcome to tanzania 🇹🇿 ❤❤
Much love mama Zoey 💖💖💖
Am from Arusha moshono ... see how beautiful it is ...
Fel karibu Tz tunakupenda❤❤❤❤❤
Tanzania iko na vibe cool sana
I love this family ❤🎉
Your welcome my favorate couple, kalibu BK
At least today we learned a class in investment say congratulations to you hubby i like the way you explore and share openly I think we should invest there tz also Felicity feel thanked
Mnashangaa ela yetu ya tz
Je mkienda ya ela yenu burundi😂😂😂😂
Kwa nini nafikiria mko kisii 😂😂😂😂 hio background.
Hahaaa I know right
Ndizi nazo😂😂
That's a lie, we really don't think Kenyans have lots of money, we just have currency difference which is obvious,Tanzanians visiting Kenya that means they are rich coz we spend alot than you'll.So stay humble bwana. Anyways karibuni Tanzania. A peaceful GODLY Country!
Hiyo hela labda unajenga kama unataka tuu mtu aingie siyo kama hiyo uo ni uongo bwana 😂
Hi girl I love you so much... Love your content.
Una throw shades then unamaliza na but it's nice😅😅😅
Welcome home 🏡 my lovely couple ❤❤❤
Wacha kutuweka hivo hapa you tube tumekumiss
Safe journeys.
Welcome to my beautiful country,tell pluto tabata is a very beautiful place to sanitize
You is gossip them then they be translated to😂😂😂😂😂 nimesema nini... endeleeni tu 😂😂😂 nawapenda lakini
1.5M ni uongo bwana 😂msione huku ni cheap kiasi hicho
Aki chapachapa maneno fasta😂😂😂
Much love fel❤❤❤
Wow,?! At least unatuonyesha places ata bila kutembea
❤watanzania mpitie na kwangu ku subscribe🎉❤
Nipitie nikupitie pia
Fel haraka kidogo jameni BANDO😢
❤️❤️❤️❤️❤️love you my model Felicity
Kudos to my country money,,,,,wheee 😮
Kwani CX 5 ilienda wapi.. for a while sijaiona in your videos..
Waliuzaa
@@MaryWesonga but hawakusema online?
Wabongo tupo hapa karibun
Welcome to Tanzania❤
Is pluto proceeding to other places for loyalty test apart from arusha??
Subscribe guys ❤
Arusha Dodoma is 7 to 8 hours
True love 😊
Arusha unaishi kivingine sio kama Dar ,,Dar ndio kibongo.Arusha lazima uvute bangi
😂daah😅
What??
Fel kwa Tahmeed bus❤
No one thinks Kenyans have money. Acheni kujidanganya. Mlikuwa mnapangwa kuwa scammed 😂
Team felicity nipitieni niwapitie