#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • #tundulissu
    Copyright Disclaimer under section 107 of the Copyright Act 1976 This content may include copyrighted material, the use of which has not always been specifically authorized by the copyright owner. We believe this constitutes a "fair use" of any such copyrighted material as provided for in section 107 of the U.S. Copyright Law. Fair use is a use permitted by a copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational, or personal use tips the balance in favor of fair use. This Video is for purposes such as criticism,comment,news reporting, teaching, scholarship, and research. All rights and credit go directly to their rightful owners. No copyright infringement intended. If you are the owner of any content used in this video and have concerns, please contact us through fenyawao@gmail.com and we will work with you to resolve any issues promptly.

ความคิดเห็น • 151

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 5 วันที่ผ่านมา +17

    Asante kwa ujumbe wa kutufungua akili,na fahamu, zetu

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 4 วันที่ผ่านมา +9

    Asante mh lissu mungu akulinde damu ya yesu ikuzunguke

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 4 วันที่ผ่านมา +20

    Wanao mpinga lisu wote wakapimwe akiri

    • @natupe123
      @natupe123 4 วันที่ผ่านมา +1

      Exactly

    • @muharamijuma1569
      @muharamijuma1569 4 วันที่ผ่านมา

      @@SephaniaMsigwa Hata wana o mkubali uraia wao unatia Mashaka Maa ma hana SERA zaidi YA UBÀGUZI NA POʻROJO ZA KISIIASA

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 4 วันที่ผ่านมา +11

    Asantesana mutetezi wawatanzania

  • @khamisshabani691
    @khamisshabani691 5 วันที่ผ่านมา +21

    wambie ukweli wamezoea tumewachoka maccm

  • @WitoKevela-ex2bp
    @WitoKevela-ex2bp ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Strong together ndugu zangu Watz,tumwombee sana nabii huyu

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 4 วันที่ผ่านมา +13

    Kwa taarifa tu tuliambiwa Bandari ikimilikishwa magari yatapungua bei ila Kwa sasa gari iliyokuwa ikiuzwa m8 sasa hivi ni M19.
    Kazi ya mabadiliko ni ya watu wote sio ya lisu tu

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 4 วันที่ผ่านมา +6

    Hogela lisu mpinzanikiogozi waukweli mungu akulinde

  • @joanitamedard5105
    @joanitamedard5105 3 วันที่ผ่านมา +3

    Itakuwa Lisu hajui ila ni kwamba anaye ongea si yeye ila ni Mungu ndani yake. Hata yeye hajui ila naomba ajue ❤❤❤ Lisuuuuuuuu

  • @natupe123
    @natupe123 4 วันที่ผ่านมา +8

    Lissu de best chairman

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 4 วันที่ผ่านมา

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾🖐🏿🙏🏾🖐🏿

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 4 วันที่ผ่านมา +6

    Hongera mh Lissu Mungu akulinde na mabaya yote

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 4 วันที่ผ่านมา +4

    Lisu ni adui wa rushwa,, MUNGU akupe nguvu na afya njema

  • @UshindiNathanael
    @UshindiNathanael 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Una akili sana Lissu MUNGU akulinde lkn usije ukageka badaye

  • @heryrazaro-tk7zz
    @heryrazaro-tk7zz 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mweshimiwa Lisu kwakutufungua akili Mungu akulinde na maadui.

  • @KaimuUlongo-p6c
    @KaimuUlongo-p6c 4 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe ndio msemaji wetu kwakweli😂😂

  • @MichaelAlbertin-b1k
    @MichaelAlbertin-b1k 5 วันที่ผ่านมา +11

    Hao viongozi wa dini wate wanaopokea rushwa ni mashetani.

  • @EdoJoseph-u8c
    @EdoJoseph-u8c 37 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona Maaskofu Katoliki wananyooshewa sana vidole kwa mambo machafu

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 5 วันที่ผ่านมา +11

    Ukweli utashinda tu maana ukweli ni wa Mungu HAKI itasimama na Amani ya uongo itakufa maana ni ya shetani LISSU siku zote ujawai kuleta rongo rongo kila mtu anajua

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 3 วันที่ผ่านมา +1

    😢 tatizo njaa

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 5 วันที่ผ่านมา +4

    Mnaombeza Lissu, Wana AKILI za mabox tupu. Mmepigika halafu mnakumbatia MAFISIEM!

  • @Shebbymatelephone1
    @Shebbymatelephone1 4 วันที่ผ่านมา +6

    UNA MALIZA DEGREE UNAAJIRIWA ALFU UNALIPWA MSHAHARA MDOGO KULIKO BOOM ULILO KUWA UNAPOKEA CHUO 😂😂

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 5 วันที่ผ่านมา +11

    Mbona kama UKWELI mnaukanyagia chini nilini mtajua haki zenu???Watanzania bana

  • @RizikKilonji
    @RizikKilonji 5 วันที่ผ่านมา +3

    Watanzania akir hamna lisu anaipambania nch nyny mnakoment ujinga pumbavu zenu kachatn na wake zenu pumbavu zenu

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 4 วันที่ผ่านมา +1

    Namkumbuka Trump

  • @WitoKevela-ex2bp
    @WitoKevela-ex2bp ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaleta wazungu kuwekeza migodini ila wakitaka watulipe kimataifa ccm hawataki na huku wametuwekea PAYE wanachekesha hawa

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 5 วันที่ผ่านมา +3

    Shetani tena,😂😂😂😂

  • @EliudiKwiyukwa
    @EliudiKwiyukwa 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ndo mtanzania sasa.he took bullets for democracy.

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 4 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉

  • @nassibulimira8921
    @nassibulimira8921 5 วันที่ผ่านมา +7

    Nyinyi mkipokea hamsemi Pesa za Chafu ila wenzenu wakipewa ni Chafu 😂😂😂

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 4 วันที่ผ่านมา

      We ni mjinga kabisa kwahio unajifanya huoni kinachofanywa na fisiem

    • @JosephMugala-yv5sb
      @JosephMugala-yv5sb 4 วันที่ผ่านมา

      @@nassibulimira8921 naww twambie Alizo chukua

  • @Lemar355
    @Lemar355 19 นาทีที่ผ่านมา

    Niwakumbushe2 magufuli alikaataaaga hii isue ya bandar kwa sababu hata TRA hawaruhusiwi kusogeza pua pale which means wao ndio first and last operator

  • @enockalphonce6793
    @enockalphonce6793 วันที่ผ่านมา

    Nafikiri huyu mtu sio yeye, ila ni mpango wa Mungu ndani yake,, yaani kama uko na akili timamu na utambuzi kichwan mwako,, He's 100% wa TZ tufike mahali tumuelewe,, Mungu atupe wepesi.. Live long TAL ..

  • @EliudiKwiyukwa
    @EliudiKwiyukwa 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kimenuka sasa,ccm michupi inapwaya kwa dhulma.

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 5 วันที่ผ่านมา +2

    hahaha😂 kumekucha😅

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania wengi hawajii kinachoendelea

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona hii ya muda mrefu 😮😮

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 3 วันที่ผ่านมา

    Nashindwa kukoment mana wezi wengi wanakoment kutetea wizi sababu nao ni wahusika

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ulipompinga magu ndipo nilikukataa

  • @johnb.j.m206
    @johnb.j.m206 2 วันที่ผ่านมา

    KATORIKI ndiyo nini mwandishi?

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 4 วันที่ผ่านมา

    Tabia za viongozi wa dini kuomba,kupokea fedha za wanasiasa zipigwe vita.fedha za umma hazitoshi kutuhudumia.

  • @moddy8744
    @moddy8744 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wacha ujinga ongea mambo ya maana weye huna isipokua bandari na mama Abduli

    • @JosephMugala-yv5sb
      @JosephMugala-yv5sb 4 วันที่ผ่านมา

      @@moddy8744 ww unajua nijambo dogo Kwasababu macho Yako yamefikia hapo na uelewa wako umekomea hapo.

    • @EdoJoseph-u8c
      @EdoJoseph-u8c 31 นาทีที่ผ่านมา

      Mama ako asidhani atafanya jambo watu watamuangalia labda ww na wenzako ndo mtashangilia

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 3 วันที่ผ่านมา

    Wenye akili wote tupo upande wako ila wavivu wa kufanya kazi wanapenda uchawa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 5 วันที่ผ่านมา +2

    MCHUNGA KUNYWA MAZIWA YA N'GOMBE WAKE ZAMBI, ILA WEWE KUPOKEA PESA KUTOKA KWA MABEBERU KWA LENGO LA USALITI WA TAIFA LAKO NI SAWA?.. PUMBAFUUU

  • @ChristopherNalimi-s3e
    @ChristopherNalimi-s3e 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wemuache iyo wasila kaludi Tena mtoto wako cv atafungia mandazi ushahidi anazo mfukoni apo mzima uyo

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 3 วันที่ผ่านมา

    Sikumbuki mara ya mwisho nimeingia kanisani lini

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 5 วันที่ผ่านมา

    Hata zile za ruzuku wakati wa uchaguzi au sio zote ni za wananchi bhana

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe mwenyewe mama amekulipa pesa zote ulizokuwa unadai hata wewe unahusika umeumwa serikali ilikuhudumia kila kitu leo unadanganya watu sio vizuri ach uongo kama ni za mashetani mbona ulipokea we bwana acha kelele tumechoka

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 วันที่ผ่านมา

      Toa picha ya msalaba alafu weka mboga ndio uongee

    • @SamweliChacha-l4y
      @SamweliChacha-l4y 4 วันที่ผ่านมา

      Na maskofu wanadai

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 4 วันที่ผ่านมา

      Wewe Isabella acha uchizi ,kumbuka lisu aliuguzwa na wasamalia wema baada ya jalibio la magufuli kutaka kumuua ,kumbuka nagufuli Allitumia bunge na ndugai ilikuzuia haki zote za Lisu ,sasa wewe Isabela unaanza kutoa ushuzi wa uchawa kwa janamke

  • @philmonsanka3903
    @philmonsanka3903 4 วันที่ผ่านมา

    Hii hotuba nikama cyo ya hivi karibun

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud 5 วันที่ผ่านมา +3

    Comment nyingi zinaonyesha jinsi waTz wengi bado kabisa wanaridhika na mienendo mibaya inayoendelea, wanabeza Elimu inayotolewa na wanasiasa wa ipinzani. ccm wanafurahia kuongoza wananchi wa aina hii( mbumbu)

    • @ZiggysebahZiggysebah
      @ZiggysebahZiggysebah 5 วันที่ผ่านมา +1

      Shida uzuzu na kutoelewa mambo.kupitia habari nak

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 5 วันที่ผ่านมา

      Hakuna elim hapo ni uroho wa Madaraka anachotaka IKULU sio nyie wanyonge akiingia tu nyie mtabaki kulalamika Kama Kenya kwa Matumaini walikuwaa nayo kwa Ruto Leo story kibao wanamkumbuka Kenyatta njaa shida kibao utawala hapewi Mtu kwa Maneno ya kuropoka Uraisi sio jimbo Wala uwenyekiti wa chama

    • @rahmajaffar794
      @rahmajaffar794 5 วันที่ผ่านมา

      Hapana inaonEsha jinsi watanzania wanavofahamu pumba na yenyewe mpaka sasa hivi lissu KAZI yake kusengenya watu, kugombanisha watu, kuwagawa watanzania hivi vitu havitoweza kutupeleka mbele nini atafanya hatujaelewa. Pili kiongozi mwenyewe anaonekana ni mgomvi mzoefu the way anavyoexpress point zake .Mimi si mpenzi wa siasa lakini ikwa hizi ndio campeni zake AA watakaomchagua ni wale Kila wanalooambiwa wanaamini na wanaitikia sawa

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@rahmajaffar794sms ndefu pumba tupu

    • @EdoJoseph-u8c
      @EdoJoseph-u8c 30 นาทีที่ผ่านมา

      Ni kweli

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 วันที่ผ่านมา

    Sawa mkuu swali vipi wewe uliyeuza familiya yako mke na watoto wako kwa wazungu vipi hapo eti huwo ni uzalendo gani kwa kuwauza watoto na mke kwa wazungu eti ututawale sisi vipi apo ?

  • @CosmasKulwa-l6z
    @CosmasKulwa-l6z 5 วันที่ผ่านมา

    WW LISSU NI MARAIKA UMEMDHALILISHA SANA MBOWE SS UMEGEUKIA MAASKOFU UNALETA SIASA CHONGANISHI TOA BORIT KWENYE JICHO LAKO NDIO UTOE BORIT KWENYE JICHO LA MWENZAKO

    • @T444zhairfood
      @T444zhairfood 5 วันที่ผ่านมา

      Ukweli ni mchungu mno. Buckle up kaka it’s about to get real hot.

  • @dottomagembe1780
    @dottomagembe1780 5 วันที่ผ่านมา

    Umeeanza fujo tueleze vizuri

    • @Tumosafarini
      @Tumosafarini 5 วันที่ผ่านมา

      Hii ina miezi kadha nyuma.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 วันที่ผ่านมา

    acha mdomo mchafu muwongo namba moja!!

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 5 วันที่ผ่านมา

    Hela za ushoga nzurieeh

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 4 วันที่ผ่านมา +1

      Acha ujinga wewe ushoga wa wapi

  • @AthumanKitowe
    @AthumanKitowe 5 วันที่ผ่านมา

    Ww uripewa Hela zakutengenezea gari mbona uripokea ziritokea wapi

    • @gangan4618
      @gangan4618 5 วันที่ผ่านมา +1

      Zilitokea kwetu WANACHAMA na wananchi tunaemwelewa Mh. Lissu kama mkombozi wa TANGANYIKA YETU.

  • @ValenceRogath
    @ValenceRogath 3 วันที่ผ่านมา

    Tafuta sera useme Chama mkipewa dhamana mutawafanyia nin watanzania na sio kukaa kwenye majukwaa na kukebehi kukisema Chama tawala

    • @joanitamedard5105
      @joanitamedard5105 3 วันที่ผ่านมา

      Baba Yako na mama Yako waliuza nguruwe na mbuzi kusomesha wewe mbuzi na nguruwe. ❤❤ Lisuuuuuuuu rais 2025

    • @ValenceRogath
      @ValenceRogath 3 วันที่ผ่านมา

      @joanitamedard5105 kama kura Yako moja ndo itaamua lisu awe rais ni vizur🧐🧐 but wew jua tu kwamba utake usitake mama mitano tena🙏

  • @moseskusamba431
    @moseskusamba431 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ndiyo dela zako?

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 วันที่ผ่านมา

      Unataka dela manzese yapo

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 4 วันที่ผ่านมา

    Aanza kazi kivipi.? Hii Clp niyakabla ya Uenyekiti .

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kitu nimechukia kuwadhalilisha maskofu poleni viongozi wa dini mashee mjiandae anakuja na huko jipangeni haya bwanaa

    • @FaustaPaskal
      @FaustaPaskal 4 วันที่ผ่านมา

      Huna akili wew

  • @lgf7297
    @lgf7297 4 วันที่ผ่านมา

    Is he normsl?

  • @TeddyJames-l3o
    @TeddyJames-l3o 5 วันที่ผ่านมา

    Watoto wako si wako Ubelgiji, au unatukebehi! Chadema tujenge hoja vijembe na kushambuliana hatuta shinda hata uchaguzi mkuu

  • @MshauriKigwinya
    @MshauriKigwinya 5 วันที่ผ่านมา

    Hawa wanaokomenti ni washenga wa ccm

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 วันที่ผ่านมา +2

    Umaskini wako wa akili hauwezi kujenga nchi .kiboko yako ni mama,Samia unaropoka yupo kimya .Bandari sasa inakusanya pesa haijawahi tokea .wewe ndiye mhuni.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 5 วันที่ผ่านมา

      Fanya bidii, hujasikika.

    • @taylorkasitu3819
      @taylorkasitu3819 5 วันที่ผ่านมา +2

      Alafu hayo makusanyo mengi yanakwenda wapi, kama siyo dubai, na kuhonga viongozi wa dini na wakata viuno wa wa bingo flever

    • @JosephMugala-yv5sb
      @JosephMugala-yv5sb 5 วันที่ผ่านมา +1

      @@clemencemkondya8561 Anakusanya nyingi zikowapi
      we munyiha 🤣🤣

    • @chantalnizigama5012
      @chantalnizigama5012 4 วันที่ผ่านมา

      🫵🏿??????

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 5 วันที่ผ่านมา

    Watotoga gani watoto wako Tundu Lisu wapo Marekani wacha kuleta ujinga wewe

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 4 วันที่ผ่านมา

      Waislamu hakika ni misukule ,ivi kweli ninyi wakumchukia Lisu na kuwapenda majambazi CCM na Samia hakika waislamu ni machizi inabidi mwende uarabuni kula tende na harua

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 5 วันที่ผ่านมา +3

    WEW HUNA SERA YOYOTE UNAONGEA UJINGA HUNA MIPANGO YA KUONGOZA NCHI UCHOCHEZI NA CHUKI YA UDINI ONGEA MAMBO YA MSINGI SIO KUSAKAMA MTU

    • @ThekingBuddar
      @ThekingBuddar 5 วันที่ผ่านมา +1

      KWELI KABISA TUNDU LISSU NIKO NA WEWE KWA HILI

    • @ThekingBuddar
      @ThekingBuddar 5 วันที่ผ่านมา +1

      WANAONGA HILI WAENDEREE KUKANDAMIZA WATU

    • @ThekingBuddar
      @ThekingBuddar 5 วันที่ผ่านมา +1

      WANAONGA HILI WAENDEREE KUKAA MADARAKANI NA HAWA VIONGOZI WA DINI WANAPEWA MABILIONI ALAM PESSA ZA KUIJUMU NCHI

    • @ThekingBuddar
      @ThekingBuddar 5 วันที่ผ่านมา

      MAASKOFU WANAPEWA PESSA HALAMU ZA ASILIMALI ZA WANYONGE

    • @ThekingBuddar
      @ThekingBuddar 5 วันที่ผ่านมา +1

      KIPINDI CHA MTIKISIKO WABANDARI MAASKOFU WALIKUWA WANAUMOJA LAKINI SASA WAMEPEWA ONGO WAKO KIMYA

  • @BorySaronge
    @BorySaronge 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ukisikia siasa za mfilisi ni hizi siasa ambazo hazina sera na kilichobaki ni siasa za uchochezi na uzandiki

    • @merumount5988
      @merumount5988 5 วันที่ผ่านมา

      Unazijua sera wewe..? kafie mbali hujui kitu!

  • @HASSANMKUYASALUM-wu4ey
    @HASSANMKUYASALUM-wu4ey 5 วันที่ผ่านมา

    LISSU TUNDU HUNA SERA MUONGO NA KIONGOZI KUWA MUONGO NI AIBU KWA CHAMA KIKUBWA CHA SIASA KAMA CHADEMA KUWA MWENYEKITI CHIRIKU WEWE MWENYEWE COMEDIAN HUWEZI KUONGOZA HUNA SERA ZA MASHIKO HUFAI BABY GIRL WA MIREMBE

  • @clamvevo64721
    @clamvevo64721 3 วันที่ผ่านมา

    Mukimshiriki sana huyu babu mutajikuta munachukiana wenyew kwa wenyewe kwasababu ya siasa

  • @aureliajoseph8518
    @aureliajoseph8518 4 วันที่ผ่านมา

    Tundu rudi Marekani kakutane na Trump.... SI UMEZOEA KWENDA KUZUNGUKA HUKO KUDHALILISHA VIONGOZI WA TANZANIA.. Kwenda kuleeeeee

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 5 วันที่ผ่านมา

    Huna SERA ZAIDI YA MATUSI NA POROJO WA TZ WAN̈AJITAMBUA HWADA N̈GANYIKÌ KABISA

    • @JosephMugala-yv5sb
      @JosephMugala-yv5sb 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hadanganyi ni ukweri mtupu

    • @Tumosafarini
      @Tumosafarini 5 วันที่ผ่านมา +1

      Watanzania wanaojitambua hawakubali wizi unaofanywa na viongozi. Ninaweza kuona sawa iwapo ninanufaika na hali inayoendelea. Ukweli ni kuwa kinachodaiwa kuwa ni maendeleo yanayofanywa na viongozi kwa sasa ni kidogo mno ikilinganishwa na hasara tunayoingizwa watanzania.

    • @danielbachuta157
      @danielbachuta157 4 วันที่ผ่านมา +1

      Tusi liko wapi ndugu Tahira

  • @SungiSaidi
    @SungiSaidi 5 วันที่ผ่านมา

    Nenda na wewe ukaishi huko Kenya

  • @tumsifukamuhanda5053
    @tumsifukamuhanda5053 5 วันที่ผ่านมา

    Ila lisu ni msenge

  • @JumaWaziri-d5x
    @JumaWaziri-d5x 5 วันที่ผ่านมา

    Kilakitu Kenya Kenya unajipya wewe

  • @Justinaija
    @Justinaija 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 5 วันที่ผ่านมา

    Akimaliza ataanza na marehemu wote kama mtu unadilili kuwatukana maraisi wako hadharani inje nyingine ungewekwa ndani mshukuru mama kweli mama ni mama hongera samia kwa utulivu mwache aendelee kutukana chadema niliyokuwa naijua naumia sana aikuwa hivyo inati sha sana jamani wa macho aangalie sana apime mambo haya.

    • @FaustaPaskal
      @FaustaPaskal 4 วันที่ผ่านมา

      Mama alikuzaa ww kilandage

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 4 วันที่ผ่านมา

      Mama yako umemuuza au ndio kumzalilisha mama yako

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl 5 วันที่ผ่านมา

    Bubaguzi

  • @MrossoBarth
    @MrossoBarth 5 วันที่ผ่านมา

    Jazba tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 5 วันที่ผ่านมา +1

    siasa za chuki kweli zitakupa urais au zitakuletea chuki?

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 5 วันที่ผ่านมา

      historia inasema bila siasa za chuki hakuna mabadiliko kwa sababu aliyeko madarakan hatk kutoka

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 5 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu una ushaidi au unaongea siku ipite.

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 5 วันที่ผ่านมา

    We unaongelea habari za kenya we unakosea kutukama maaskofu wetu sisi watanzani tunapenda amani watanzania kuweni macho jamani viongozi wa dini waeshimike wewe achakudanganya hata wewe ulipokea kakutoa inje kakuleta nchini watanzania angalieni sananadanganywa

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 วันที่ผ่านมา

      Mbona amani ipo jombaa

    • @amunicymutie5643
      @amunicymutie5643 4 วันที่ผ่านมา

      We boya kweli Sasa hao maaskofu ndo kinanani mpa wasisemwe, hivi unajua Yesu alisemwa alitukanwa kpigwa kasulubiwa,huyo askofu mlarushwa ndo nani mpaka asiambiwe ukweli au nawe ndo walewale😏🤔

  • @jamespeter2187
    @jamespeter2187 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni choko kweli kweli

    • @FaustaPaskal
      @FaustaPaskal 4 วันที่ผ่านมา

      Choko babako

    • @SephaniaMsigwa
      @SephaniaMsigwa 4 วันที่ผ่านมา

      Choko baba ako ndo maana kakuzaa taira

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 4 วันที่ผ่านมา

      Kichwa chako kina shida nadhan choko ni wewe usiyejitambua

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 4 วันที่ผ่านมา

      Ingestaili upelekwe kule kwa wakongomani washughulike na wewe

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi lissu tunaomba utwambie utatufanyia nini watanzania endapo mtachukua sio .sio kusema watu halafu tuchague wajumbe wa chadema

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu chizi sana ikulu ataisikia

    • @FaustaPaskal
      @FaustaPaskal 4 วันที่ผ่านมา

      Chizi mwenyew

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hufai kua Rais wa Nchi hii wewe

  • @tumsifukamuhanda5053
    @tumsifukamuhanda5053 5 วันที่ผ่านมา

    YULE DEREVA WAKO YUKO WAPI? 😅😅😅😅

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba 5 วันที่ผ่านมา

    Hana jipya lisu kila siku kulalamika

  • @hajikiame7551
    @hajikiame7551 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tundulisu tangaza Sela iwapo ukiwa raisi utaifanyia nini Tanzania wewe ni mbaguzi unataka tuchaguane kidini sisi waisilaamu tutamchagua Samia wewe wamasishe wakiristo wakuchague wewe

    • @drgeraldcubwa481
      @drgeraldcubwa481 5 วันที่ผ่านมา

      Mimi ni mkristo.lakini chadema ikipewa nchi ,ni hatari sana kwa umoja wa kitaifa

    • @PastorPascalJoseph
      @PastorPascalJoseph 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hapama ccm ndio hatari sana, haisaidii watu wake, Mheshumiwa Tundu lisu kwa mtu mwenye akili anamuelewa sana

  • @benjaminmassawe9891
    @benjaminmassawe9891 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉