Ingekuwa bora zaid hz siku moja moja za kuenda uku ...Ukatembelea vituo vya yatima ukawafariji... Utapata mambo matatu: Kufurahi pamoja nao, Utawaachia Tabasam baada ya ww kuondoka, kisha Allah atakulipa kw kufanya lile alilo tuamrisha... Ila kw hili umefurahisha moyo wako,umefurahisha Sheitwan kisha malipo yke sio mazur kw Allah .. La mwisho siku tukifa ninani atafuta hz video . Tuwen na tahadhar siku tulizo ishi ni nying zilizo bak ni chache .. NB: Ni ukumbushe tu wa nafs yangu na yenu tusiwe na makasiriko sote ni wapita njia.. Na mm pia nipo na mapungufu yngu ila nakubali kuambiwa Alhamdulillah.
Maa Shaa Allah nawakubali wapendwa wngu âĪâĪâĪ
Ati maa shaa Allah...uko sawa kweli??? Maa shaa Allah ya pombe ama mziki???
Masha Allah inaingiliana na nini hapo? Ama hujui maana ya Masha Allah?
MashAllah y kazi gni apo Allah atuongze ste
Ingekuwa bora zaid hz siku moja moja za kuenda uku ...Ukatembelea vituo vya yatima ukawafariji...
Utapata mambo matatu: Kufurahi pamoja nao, Utawaachia Tabasam baada ya ww kuondoka, kisha Allah atakulipa kw kufanya lile alilo tuamrisha...
Ila kw hili umefurahisha moyo wako,umefurahisha Sheitwan kisha malipo yke sio mazur kw Allah ..
La mwisho siku tukifa ninani atafuta hz video .
Tuwen na tahadhar siku tulizo ishi ni nying zilizo bak ni chache ..
NB: Ni ukumbushe tu wa nafs yangu na yenu tusiwe na makasiriko sote ni wapita njia..
Na mm pia nipo na mapungufu yngu ila nakubali kuambiwa Alhamdulillah.
We hufanya ivo vtu umeongea acha watu waenjoy pia punguza ushauri
âĪâĪâĪâĪ
âĪâĪâĪ