Kila alichoongea ni amazing, ameitendea haki kizalendo nafasi aliyopewa, angekuwa mwingine angekuja hapo katoka kukesha bar, tusiache kumpongeza pia aliyemwalika maana aliona pia uwezo na mawazo yake yanaweza kuwa ya msingi 👏👏👏
Huyu jamaa ni skilled enough katika mambo ya fedha na mifumo ya computer. Nashauri awekwe katika team ya kureview 2025-2050 vision. ataleta maono na mwelekeo mzuri kwa badae.
Huyu jamaa ni genius kinyama now ni Ceo wa makampuni ya Hanspoul ambayo mmiliki ni baba yake mzazi. Dogo amesoma Uingereza na wana Supply magari ya utalii South Africa, Kenya na hapa Tanzania
Kaka Tz imetengeneza kizaz Cha upuuz kausha damu inakopesha kupitia godoro na kitanda lakin benk haikopesh kupitia nyumba kisa Haina ATI miliki na wahusika wa kuitoa ni serikali na hawatoi kisa Nia Yao weng waendelee kuwa masikin🤔🤔
Kama mdau umeongea vzr kwa Lengo la kukuza Pato la mtu Mmoja na pia Pato la Taifa tunahitaji Maboresho ya elimu ambayo ni realistic na Maisha ya sasa,pili tunahitaji njia nyepesi ya upatikanaji wa mitaji ili kupunguzia serikali mizigo ya kufikiria ajira na tatu mabadiliko ya Sheria ambayo ni rfk kwa Mfanyabiashara wa ndani ya inchi na inje ili ifutie kijn kuingia kwenye biashara.
Mawazo yangu ya 2050 ,kila mtu anapoanza kindergaten apimwe kiwango chake cha IQ, kiwe recorderd, natuweke sheria kiwango furani cha IQ harusiwe kuwa kwenye mamuzi makuu ya kitaifa
I hope that the 2050 vision will be discussed by all the representatives of the people, the research institutions and all the academic institutions as well as all the political parties.Thereafter,it should be followed up by development of the 2026-2050 National Strategic Action Plan which will eventually translate to the Sequencial Five Year Development Plans which will be appraised and monitored and evaluated continuously.
huyu ameongelea dhuluma za viongozibkuwqnyanganya wqnachi kodi na bila kuwarudishia wanachi kwwnye elimu. afya angalau vifaa vipo. ila wqgonjwq wengi wanaongezeka kwq sababu ya stress na njaa
Huwezi kuwa na fikra za trillion dollars economy kama sera za nchi hajijatia mkazo kwenye kuwawezesha wananchi(wazawa) kujiinua na kutoka kwenye umasikini. Ni lazima sehemu kubwa ya mtaji uliondani ya nchi uwe ni wazawa. Bila kusahau mazingira wezeshi ya kufanya biashara, hasa biashara rasmi ili kuwashawisha wafanyabiashara wadogo kurasmisha biashara zao.
Jaman kuongoza nchi ni kazi ngumu inahitaji polepole,tutafika tu tumetoka mbali,kumbuka tulitawaliwa na wakoloni tangu 1884 to 1960=76 wenzetu mda huo wanajenga nchi zao,tupo vizuri hadi sasa,chini ya Madam President SSH
Mind set ya bongo sio hiyo bwana mfanyabiashara ...hata hapo waziri anakuzoom tu.... Watakuchukia bure.... Viongozi wetu waambie tu namna ya kuuza rasilimali zao.... Makaa ya mawe yanaishia Rwanda sahivi
Angalia hata hili swala la Makonda na Gambo,wananchi wengi wanamsapoti Makonda,hapo ndipo utajua wananchi wengi uelewa wao ni mdogo sana,Makonda alitakiwa akemewe sana,kwa sababu kamkosea heshima boss wake,Gambo ni mbunge,ni mwakilishi wa wananchi,wananchi ndio waajiri wa serikali,kitendo cha Makonda kumkashifu Gambo,ni kuwakashifu waajiri wake,sasa tangu lini mfanyakazi akamkashifu boss wake?Kwa hiyo elimu ya uraia inatakiwa na katiba vinatakiwa sana,vinginevyo Maendeleo,tutayasikia kwa wenzetu tu,tusifanye mambo kwa mihemko ya kisiasa,kwa mfano unakimbilia kujenga Standard gauge Railway,wakati hii ya chini imekushinda,kila siku inamatatizo.maendeleo siku zote huanzia chini kwenda juu,sisi tunataka tuanzie juu kwenda chini,barabara nzuli huna unakimbilia Ndege,are we serious? offcaouse big no.
Kwamba Gambo na Makonda nani boss? Ndug yangu unajidabganya kusema kwamba mbunge ni boss wa mkuu wa mkoa.. Kumbuka huyo mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika jimbo lake tuuu, na jimbo katika mkoa ni sehemu tu ndogo tena unaweza kutaka sehemu zingine wilaya moja inamajimbo mawili au zaidi kwa maana hiyo hata mkuu wa wilaya bado ni boss wa mbunge. Pia usichojua au kama unajua nikukumbushe mkuu wa mkoa ndo mkuu wa ulinzi na mambo yote yanayohusu mkoa mzima ndo mwakilishi wa raisi mkoa mzima the same kwa mkuu wa wilaya( ni mkuu wa ulinzi wa wilaya nzima na mambo yote yanayohusu wilaya husika) lakini mbunge linamhusu jimbo lake tuu. Kwahiyo MAKONDA (Mkuu wa mkoa)ni mtu mkubwa sana kwa GAMBO(mbunge) Hata MKUU WA WILAYA ni mkubwa kwa MBUNGE.
Lazima tukubali kuwa mtaala wa ELIMU ubadilike❤, then thinking Leo bado tunafikiria mwendokasi wa diesel wakati Kuna Umeme, why not investing kwenye magari ya umeme au tren ya umeme pia inayobeba watu wengi kwa wakati mmoja?
Afrika haswa tanzania akili ndogo zinaongoza akili kubwa kwenye mfumo akili kubwa chache mno na ndio maana watu wakipata pa kufanya yao huko nje na wanathaminiwa hawarudi😢
Watu wenye akili kama hawa wapewe nafasi, education system yetu inaitaji mabadiliko makubwa mno...then kazi,biashara na kodi vitafutiwe uwiano....kwani milioni ya leo ni hela kidogo mno ukilinganisha na miaka kumi iliyopita...mtu analipwa laki tatu lakini kodi yake inalingana anayelipwa milioni...kiukweli uwezo wa kufanya manunuzi uko chini mno...wahitimu ktk technologia,wapewe hadhi kama mawaziri au zaidi ili ujuzi ubaki nchini...tusiwekeze sana kwenye siasa, elimu kazi na biashara ndo siri ya kujikomboa. .
Awa awajishughulishi na siasa ila wanaojikita na siasa wengi ni wapuuzi sana ila wenye akili kama awa wako nje ya mfumo na wanaochukua mawazo yao wanaenda kuyatunza
Huyu ni mjanja anatengeneza mazingira ya serekali kueka loophole ya watu kutolipa kodi. Kila mfanya biashara atasema anawalipa wafanyakazi wake chini ya laki 5
Very brilliant and intelligent person
Safi sana, inatakiwa kuwafundisha Watoto wetu wajue kuwa inatakiwa wafanye kazi ndo wapate hela
Kila alichoongea ni amazing, ameitendea haki kizalendo nafasi aliyopewa, angekuwa mwingine angekuja hapo katoka kukesha bar, tusiache kumpongeza pia aliyemwalika maana aliona pia uwezo na mawazo yake yanaweza kuwa ya msingi
👏👏👏
THIS MAN IS INTELLIGENT
Thanks for your educative speech. Better is not good enough. The best is yet to come. Long live HAS.
Ndugu wenye kufikiri wapo nje wenye kuwaza wapo ndani mbaya sana.
Very good br haya maono ya muda mrefu very good think more
Huyu jamaa ni skilled enough katika mambo ya fedha na mifumo ya computer. Nashauri awekwe katika team ya kureview 2025-2050 vision. ataleta maono na mwelekeo mzuri kwa badae.
Good brains. We need such people to change people's .mindsets so as to move our country forward .
Bungeni kuwepo na wataalam wa biashara na wataalam wengine na sio wanasiasa tu na machawa
Bunge limejamaa praise and worship team
Its too.late especially ukiwa n'a Wabunge wote wenye muelekeo wa upande mmoja. Hawana mawazo mbadala.
Hao watu wapo ila mfumo hauwataki😂
😂😂😂😂@@AlfredMatemu
Huyu jamaa ni genius kinyama now ni Ceo wa makampuni ya Hanspoul ambayo mmiliki ni baba yake mzazi. Dogo amesoma Uingereza na wana Supply magari ya utalii South Africa, Kenya na hapa Tanzania
Uyu anae ongea ni mzarendo cnaa🇹🇿anaongea vitu vitamu mtizamo wanchi yetu itavokua maono mmnooo naomba awe ata waziri wa nchi yetu bigup tume kuelewa ina mawazo mazuri nanchi yetu🇹🇿❤️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🙏🙏🙏🙏🙏
Very smart and Intelligent person. Anafaa ateuliwe mbunge kwa nafasi 10 za Rais.
Kwa nini tunapenda kila mtu awe mwanasiasa ili atoe mchango?
Huyu mbwa anaakili nyingi sanaaaaa
Hans for TRA Commissioner❤
Education System… Education System… Education System Problematic 😢
Kaka Tz imetengeneza kizaz Cha upuuz kausha damu inakopesha kupitia godoro na kitanda lakin benk haikopesh kupitia nyumba kisa Haina ATI miliki na wahusika wa kuitoa ni serikali na hawatoi kisa Nia Yao weng waendelee kuwa masikin🤔🤔
Jamaa ako na 37yrs old lakini mind yake ni ya 50+
Hanspoul umetisha mwamba
Ndugu yangu,, big up for innovative ideas. You are giving a beautiful lesson.
We need 100 yrs about your idea and consideration.
Tukiwa out of corruption, maybe we can try to do so !
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Hans u're GENIOUS but my friend our leaders and our policies are a very BIG BIG problem they can't get of U
U JUST LOOSE U'RE CALORIES
Watu wa hivi wanatakiwa kwenye ujenzi wa nchi
Kama mdau umeongea vzr kwa Lengo la kukuza Pato la mtu Mmoja na pia Pato la Taifa tunahitaji Maboresho ya elimu ambayo ni realistic na Maisha ya sasa,pili tunahitaji njia nyepesi ya upatikanaji wa mitaji ili kupunguzia serikali mizigo ya kufikiria ajira na tatu mabadiliko ya Sheria ambayo ni rfk kwa Mfanyabiashara wa ndani ya inchi na inje ili ifutie kijn kuingia kwenye biashara.
Brilliant speech ufahamu mkubwa sana Big boss
Very brilliant 👏
Namuomba mheshimiwa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania daktari samia suluhu hassan amuongeze kwenye tume ya mipango
Laiti watunga sheria(wabunge) wangekua Smart ivi tungekua mbali sana.
Very intelligent man 🙏🏽
Mawazo yangu ya 2050 ,kila mtu anapoanza kindergaten apimwe kiwango chake cha IQ, kiwe recorderd, natuweke sheria kiwango furani cha IQ harusiwe kuwa kwenye mamuzi makuu ya kitaifa
He is intelligent.... Issue ni kuwa sahau TZ na viongozi wake hawafikirii hicho kitu
This guy is genius
I hope that the 2050 vision will be discussed by all the representatives of the people, the research institutions and all the academic institutions as well as all the political parties.Thereafter,it should be followed up by development of the 2026-2050 National Strategic Action Plan which will eventually translate to the Sequencial Five Year Development Plans which will be appraised and monitored and evaluated continuously.
Tuseme inshallah
Very nice
Kwa kweli tra...ni Changamoto ngoja tuendelee kulala tu..tumechoka!
huyu ameongelea dhuluma za viongozibkuwqnyanganya wqnachi kodi na bila kuwarudishia wanachi kwwnye elimu. afya angalau vifaa vipo.
ila wqgonjwq wengi wanaongezeka kwq sababu ya stress na njaa
Huwezi kuwa na fikra za trillion dollars economy kama sera za nchi hajijatia mkazo kwenye kuwawezesha wananchi(wazawa) kujiinua na kutoka kwenye umasikini. Ni lazima sehemu kubwa ya mtaji uliondani ya nchi uwe ni wazawa. Bila kusahau mazingira wezeshi ya kufanya biashara, hasa biashara rasmi ili kuwashawisha wafanyabiashara wadogo kurasmisha biashara zao.
Angalia Bongo kuna jamaa kalala kabisa huku jamaa akimwaga madini huyo alielala inabidi afukuzwe kazi kabisa hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
Watoto wa miaka 10 tz washawaza kuoa , wabadilishe ndugu yangu
Akili kubwa
Safi sana
Amazing
Kwenye good leadership kitila kuelewa 😂😂
Huyu waziri amsikilize hanspaul anajua kuliko yeye apewe wizara ya uchumi huyu hans atasaidia nchi
Hata akipewa kule Huwa wanazibwa midomo akili kubwa zikiingia serikalini Huwa zinazibwa zisiwe na nguvu
@@sawackmlingayes...watawala hawataki watu wenye akili sana
Kweli kabisa @@sawackmlinga
Tatizo la inch hii viongozi wapo kwa ajiri masirai binafsi tu.
na ukiionea huruma nchi kwa kutoa mawazo mzuri,yanayapinga mslai ya tumbo,unachkiwa sana,yaan tuna viongozi ambao siyo wazalendo
Ongezeni huyu kwenye Tume ya mipango
Wabongo wanaogopa ngozi nyeupe.
Hakika!
Tunahitaji watu kama hawa kwenye michango wa maendeleo. Watoto wanafundishwa Mali empire, badala ya Mason yakujiajiri
Apo kwenye kodi apo nagonga msumari huwezi kupandisha makodi kila kukicha bila kuangalia value for money
Jaman kuongoza nchi ni kazi ngumu inahitaji polepole,tutafika tu tumetoka mbali,kumbuka tulitawaliwa na wakoloni tangu 1884 to 1960=76 wenzetu mda huo wanajenga nchi zao,tupo vizuri hadi sasa,chini ya Madam President SSH
Toa hiyo mentality ya ukoloni kwanza, na uchawa. Kiongozi hatakiwi kusifiwa kila mda anatakiwa kuongoza nchi kwenye maendeleo
Huyu hans cdm wakichukua nchi wampe uwaziri wa uchumi atatusaidia sana
Mind set ya bongo sio hiyo bwana mfanyabiashara ...hata hapo waziri anakuzoom tu.... Watakuchukia bure.... Viongozi wetu waambie tu namna ya kuuza rasilimali zao.... Makaa ya mawe yanaishia Rwanda sahivi
Hapo ndipo utajua why masikini hafai kuwa kiongozi
The problem is government is lazy but it's people work in AI, CRYPTO, STOCK'S& FOREX SERIKALI INAOGOPA
Wahindi wako makini sana na KAZI: elimu, uvumbuzi, sanaa, biashara ...
fanyieni kazi hayo mawazo isiwe tena business as usual
Angalia hata hili swala la Makonda na Gambo,wananchi wengi wanamsapoti Makonda,hapo ndipo utajua wananchi wengi uelewa wao ni mdogo sana,Makonda alitakiwa akemewe sana,kwa sababu kamkosea heshima boss wake,Gambo ni mbunge,ni mwakilishi wa wananchi,wananchi ndio waajiri wa serikali,kitendo cha Makonda kumkashifu Gambo,ni kuwakashifu waajiri wake,sasa tangu lini mfanyakazi akamkashifu boss wake?Kwa hiyo elimu ya uraia inatakiwa na katiba vinatakiwa sana,vinginevyo Maendeleo,tutayasikia kwa wenzetu tu,tusifanye mambo kwa mihemko ya kisiasa,kwa mfano unakimbilia kujenga Standard gauge Railway,wakati hii ya chini imekushinda,kila siku inamatatizo.maendeleo siku zote huanzia chini kwenda juu,sisi tunataka tuanzie juu kwenda chini,barabara nzuli huna unakimbilia Ndege,are we serious? offcaouse big no.
Kwamba Gambo na Makonda nani boss?
Ndug yangu unajidabganya kusema kwamba mbunge ni boss wa mkuu wa mkoa..
Kumbuka huyo mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika jimbo lake tuuu, na jimbo katika mkoa ni sehemu tu ndogo tena unaweza kutaka sehemu zingine wilaya moja inamajimbo mawili au zaidi kwa maana hiyo hata mkuu wa wilaya bado ni boss wa mbunge.
Pia usichojua au kama unajua nikukumbushe mkuu wa mkoa ndo mkuu wa ulinzi na mambo yote yanayohusu mkoa mzima ndo mwakilishi wa raisi mkoa mzima the same kwa mkuu wa wilaya( ni mkuu wa ulinzi wa wilaya nzima na mambo yote yanayohusu wilaya husika) lakini mbunge linamhusu jimbo lake tuu.
Kwahiyo MAKONDA (Mkuu wa mkoa)ni mtu mkubwa sana kwa GAMBO(mbunge)
Hata MKUU WA WILAYA ni mkubwa kwa MBUNGE.
Big point
Safiiiii
Tunamshukulu Mungu sana kupata wazalendo kama wewe.
Lazima tukubali kuwa mtaala wa ELIMU ubadilike❤, then thinking Leo bado tunafikiria mwendokasi wa diesel wakati Kuna Umeme, why not investing kwenye magari ya umeme au tren ya umeme pia inayobeba watu wengi kwa wakati mmoja?
Word!!...u spoke my mind!!
Afrika haswa tanzania akili ndogo zinaongoza akili kubwa kwenye mfumo akili kubwa chache mno na ndio maana watu wakipata pa kufanya yao huko nje na wanathaminiwa hawarudi😢
Tuna matatizo makubwa sana kwenye biashara
Mtu kama huyu professional as he is, ni muhimu sana kuwepo katika system ya serikali yetu.
Mwacheni aendeleze makampuni yao, ukimuingiza serikalini huyu USHAMPOTEZA
brother hii nchi imejaa mavi achana nao hao
Kichwa yenye akili za ziada
Uhondo kweli
Huyu akikaa na Mhe. Bashe wanafanya kitu
huyu ni mfanyabiashara na kaongea mambo ya kawaida sana! hao wanasiasa wanajua kila kitu ila wanajitoa ufaham wanafanya kusudi
Huyu jamaa alifaa awe waziri wa fedha hapa Tanzania 🇹🇿
I wonder kama wote walimwelewa
Kama nimetoka njee nasirudi bongo jau kwelii kwwli
Kumbe tuko wengi bro
Yule dakatri wa uchumi sijawah sikia akiongea hivi 😂😂😂😂
Jamaa ametoa points za muhimu (Re-thinking)....
Huyu mwamba anamadini hatari
Tunahitaji wengi 10 kama hawa hii nchi itapona
Watu wenye akili kama hawa wapewe nafasi, education system yetu inaitaji mabadiliko makubwa mno...then kazi,biashara na kodi vitafutiwe uwiano....kwani milioni ya leo ni hela kidogo mno ukilinganisha na miaka kumi iliyopita...mtu analipwa laki tatu lakini kodi yake inalingana anayelipwa milioni...kiukweli uwezo wa kufanya manunuzi uko chini mno...wahitimu ktk technologia,wapewe hadhi kama mawaziri au zaidi ili ujuzi ubaki nchini...tusiwekeze sana kwenye siasa, elimu kazi na biashara ndo siri ya kujikomboa. .
Huyu anatufaa
Rwanda ni madini yanayo ibiwa Congo wana faidika nayo
Rwanda
ndiyo inayo fadhili vita ya Congo
Wanayatumiaje hayo madini ya wizi? Je wenye madini yao ya halal Ii wanayatumiaje?
Mhuu wewe kwani congo hawana hayo madini
Tukipata wengi kama huyu tutapiga hatua, kichwa kimetulia
nchi hii ina watu wa maana sana hata hawajulikani
Bungeni wamejaa machawa tu
Huyo professor wenu je alikua na thoughts kama hizi watu wana madini au kazi kuwapa watu tittle tu
Nampongeza huyu ndigu anachoongea kikizingatiwa n hi itabadilika siyotusubiri malaika kutoka mbinguni aje atufundishe?
Jamaa ana akili nyingi mno na anajua sana
Awa awajishughulishi na siasa ila wanaojikita na siasa wengi ni wapuuzi sana ila wenye akili kama awa wako nje ya mfumo na wanaochukua mawazo yao wanaenda kuyatunza
Kiuhalisia serikali inahitaji watendaji na sio wanasiasa
Lakini cha ajabu huku bongo waziri ni mwanasiasa na sio mtendaji😢
🧠
Ivi uyu jamaaa anaeleweka na wanaomsikilizaa au wanataka tu amalizee kuongeaa
😂
Aise twende shule kwa kweli..
😊😊Kwa nini?
@@williamcharles2480Wauliza kwanini unaona hicho kichwa ni cha kawaida
Amesoma Constantine ni international wetu waliosoma international ni tofauti na wale wa Kayumba
@@kuchimillionaire6683ukitoka tanzania hakikisha hurudi bro😂
Kweri wewe ni msomi nilie mwerewa
Naweza kupata namba ya huyo jamaa anisadie kwenda mbele
Rudi shule
Huyu ni mjanja anatengeneza mazingira ya serekali kueka loophole ya watu kutolipa kodi. Kila mfanya biashara atasema anawalipa wafanyakazi wake chini ya laki 5
Wew nae elewa anachongea kichwa chako hakipo sawa
Duh😢😢😢 nimecheka mueleweshe tu
Nadhani wewe ni mfuasi wa CCM mawazo mgando huwezi kuelewa mawazo mbadala.
Du! jamaa kichwa kigumu hujaelewa chochote😂😂😂😂
Huo mtazamo wako ni has