𝗔𝗯𝘂𝘂 𝗟𝗮𝗵𝗮𝗯 - 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝘀𝘂𝗳𝗶 | 𝗔𝘀𝗶𝗹𝗶 𝗬𝗮 𝗠𝗮𝘂𝗹𝗶𝗱𝗶

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mtihan hu Allah atuifdhi
    Shukuran sana sheikh wetu Abdallah humedi Allah akuifdhi na akupe ummr mrefu amiyn

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba 4 วันที่ผ่านมา

    Shkh Abuu Fadhil Allah Akuhifadh nakila shari na mabalaa.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 วันที่ผ่านมา +2

    Itaqillah wamche Allah awa masufi moto wa Allah ni mkali, awaoni aibu kudanganya watu

  • @nasoros.mgungo5502
    @nasoros.mgungo5502 5 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi bwana mtihani kwelikweli wanatengeneza na wanamlisha mtu Tafauti kabisaaaaaaa na kila anachokikusudia😂😂😂😂😂😂.
    Uzuri kwenye Magroup ya WhatsApp Mawahabi ushindwa hoja wamebaki kujificha vyumbani.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 6 วันที่ผ่านมา

    kiswahili gani hicho?
    wanyama ndio wanazaa!!
    Ama mama zetu ,wanajifumguwa!!

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli mawahabi ni fitna kubwa sana hapo ruwaybidhwa kageuza mada ikawa ni masufi wamtetea abulahabi. Nlitegemea utatuambia hiki kisa ni cha uongo na hadithi hii haipo.

  • @nasramazombo-wo8lp
    @nasramazombo-wo8lp 5 วันที่ผ่านมา

    Anafanya videos only cz sasa watu wengi wapata elimu Kwa Media naanaepinga km upo Dar njoo live ukutane na salafi wapo kl Kona Alhamdulillah saa hizi hamna kudanganyika tena labda upende

  • @allyhamza9969
    @allyhamza9969 5 วันที่ผ่านมา +1

    sheikh mbona umefafanuwa upande mmoja tu?masheikh wenzako wanasema hadithi hiyo ipo kwa sahih Bukharin,ungetuelezea daraja ya Hadith kwanza.na je thuwaiba aliwachwa huru na huyo abu lahab?

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 6 วันที่ผ่านมา

    Wacheni kuongea nyuma za pazia kama mwari leteni mjadallah wacheni bwenbwe

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 6 วันที่ผ่านมา +1

      mjadala wa nn?? kama wan Elimu Wajibu haya Kwa elimu.
      Hakuna ushahid huo ktk sahih Bukhar Kuwa et Abu lahab Apunguziwa Adhabu.Dah!
      hakika nyiny Wavivu sana wa kusoma

  • @rushu1232
    @rushu1232 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe chuki zako zakijinga toa tafsiri ya hiyo surat lahab wametafsiri vengine Mwenyeezi Mngu hapendi kufadhiliwa nahukuna anaesema hayuko motoni lakini alimleya.

    • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
      @Alrisaalaturrahmahislamiccente 5 วันที่ผ่านมา

      shek abdaĩlah humed Allah akuhifadhi 15:02 nawauliza hao masufi jee alipozaliwa mtume huyu abulahab alifurahia kama mtoto kutoka kwa damu Yake au kama mtume wa Allah? jee angelijua ni mtume amezaliwa angempenda kweli? kwahivyo abujahal kama alifmfanyia wema wowote mtume basi sikwaajili ya utume wake Bali kwanasaba tu. kwa mfano nabiyallahu nuh alimpenda mtoto wake sana wakati anazsma na Allah akapitisha hukmu yake jee huyu mtoto wa nabi nuh anamata nafuu yoyote huko kaburini kutokana na mapenzi ya baba yake??

    • @rushu1232
      @rushu1232 5 วันที่ผ่านมา

      @Alrisaalaturrahmahislamiccente atuhifadhi sote waislamu alimlea kama mtoto wa nduguye na Mtume alitamani sana aslimu lakini hakujaaliwa lakini alimlea na alimpenda kinasaba.

    • @rushu1232
      @rushu1232 5 วันที่ผ่านมา

      @Alrisaalaturrahmahislamiccente tafauti ya sheikh wenu hwaelezei ikhtilafu za ulamaa sio masheikh wote wana fikra moja yeye aona masheikh tu ndio wako sahihi ndio utamsikia saa zote masufi makhurafi mahizbi matabligh kejeli dharau kibri kama yeye yuwatermshiwa wahyi.

  • @habibmayike7463
    @habibmayike7463 6 วันที่ผ่านมา

    Oya sheikhhee ww kama mkweli si ungekaa na waislamu wenzako mkaongea mambo haya kwanini wafanya videos only??

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 6 วันที่ผ่านมา +1

      wewe leo hii ukimtaja ibrisi malhuni kwann usikae nae kwanza uzungumze nae umpe nasaha😂 utampata wapi kwah kila shekh akiongopa umfate hata kama yupo mwanza wewe upo kenya utafupesaumfate khaaa ujinga mzigo kwel bila shaka naww nikufata uliko upo wapi nije nikupe nasaha za hii coment yako😂😂😂

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 6 วันที่ผ่านมา +2

    Masuf wajinga sana