Nimeipenda na pia napenda mapishi yako yako simple but nice really love your channel thumb up nataka kujua vipi kufanya icing ya kupika ya cocoa Shukran,Jazaki Allah khairan kwa kutupa elimu :-)
Ty my dear Shauna's kitchen for the awesome lovely cake Icing recipe n supper results I'm pleased and happy always watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
Sorry kwaa wale waliona hii video ya mwanzo niliiondoa kwa ajili ya marekebisho sehem 1 ya mwanzo, ni video ile ile nimei re post. Asanteni sana ❤
Nimeipenda na pia napenda mapishi yako yako simple but nice really love your channel thumb up nataka kujua vipi kufanya icing ya kupika ya cocoa Shukran,Jazaki Allah khairan kwa kutupa elimu :-)
Nime jaribu hii recipe na imetokea poa thanx to shuna kitchen
Mashallah dada sasa naitaji kujua zaid unanisaidiaje
Ty my dear Shauna's kitchen for the awesome lovely cake Icing recipe n supper results I'm pleased and happy always watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
Mashaallah allah akubarik
Safi sana dear nashukuru ubarikiwe.
Wa kwanzaaaaaaaa💃💃💃💃💃💃
Mzuri sana mashaallah Shukran
MashaAllah. Nice 🙌🏽👏🏼👌🏼
Yummy yummy habibty
Wow Amazing
Maziwa ya aina gan naweza kutumia
Fresh
Nice Shukran sana
Delicious
Habarii icho kitabu nakipatajee
Wow
Mashallah
Thanks🎂
Ma shaallah kama huna siagi unaweza weka blouband
Nope itakua nyepesi sana ..tumia Prestige margarine au ile golden band margarine
Me hutumia prestige margarine
Can I use hand mixer to make the frosting?
Shukrani
Mashaa Allah
Nimependa upishi wako
👌👌👌
Thanks again
Is very easy to make thank you
Nice
Mashallah dada😘, hapo kwenye butter kama huna hiyo unsalted unaweza kutumia blueband??
Was asking the same question
🥰🥰😍😍
nilikua nasubir siku nyingi
Assalamu aleykum kma mm sina scale ya kupimia g nitatumia nn yakupima iceing sugar
♥️
W
Da shuna mi sjaelewa apo ukisema skari grm 600inakua vipi
nikitumia cocoa powder keki kwann inakuwa chungu
Assalamualaikum Dada ahunus naomba kujua 600g ni sawa na vikombe vingapi??
Wengine wanaeka ute wa yai, why?
first yey
Dada shuna tunaomba msaada kwa ambao hatuna access ya kupata unsalted butter, unaweza kutumia nini instead??
Prestige
Prestige margarine
Kama keki yangu ni ya unga robo natumia vipimo vip,
Kama sina mashine ya kuchanganyia kwa mwiko itawezekana kweli
Yeah waeza
Mashallah
Thanks again