RAADI KWA SAALIM BARAHIYANI NA GENGE LAKE PAMOJA NA UONGO WAKE ABUL FADHL KASIM MAFUTA part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @ShemsaSheranee
    @ShemsaSheranee 28 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi sheikh wetu Abul fadhl Qasim mafuta.Allah akupende zaidi na akufishe kwenye hii hii da'awa salafiyya.Allah akupee UMRI MREFU WENYE AMALI NJEMA NA AFYA DUNIANI NA AAKHHIRA.Aaamiyn

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 29 วันที่ผ่านมา +4

    Wallah naweza sema katika watu ambao wanamkubali Sheikh Qassim Mafuta basi ni Muhammad Bachu.Ataongea wee jadidaa sijui vilee lakini anakubali jitihada zake.Mawazo yangu2 lakini.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 29 วันที่ผ่านมา

      Uko sahihi kabisa ,,,bachu anampenda sheikh qaasim mafuta na anatamani siku moja wawe pamoja ,,,na mara nyingi amemsifu sana ,,,lkn qaasim mafuta anamtilia bachu hamnazo ndio inabidi bachu apige kelele zake za jadida jadida ,,,

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@ABUUJAAFAR92sio kweli

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 29 วันที่ผ่านมา

      @@hafidhwajina6718 sio kweli nini ?

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 29 วันที่ผ่านมา

      @@hafidhwajina6718 sio kweli nini sasa?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 29 วันที่ผ่านมา +1

      @@ABUUJAAFAR92 bachu anataka watu wahukumu watu kwa hakk,
      Inapotokea mtu anamhukumu mtu asiyekubaliana naye kwa kosa x, alafu akamuacha anayekubaliana naye kwa kosa x hilo hilo,ndipo bachu anasema hicho ni kijadida maana sifa yao kubwa ni kunusuriana kwa batwr ,
      Ndio maana ameomba dua kwamba allah asimjaalie awe ktk kipote hicho,sasa wewe ukisema bachu anapiga kelele jadida jadida, ni kama unataka kutuaminisha bachu shida yake ni mapenzi na mafuta, anapoyakosa ndio hupiga kelele,na hayo si kweli,😞😞😞

  • @HalfanHemedi-r8z
    @HalfanHemedi-r8z 28 วันที่ผ่านมา +1

    mwanzo nilikua sikumuelewa shekh ila kilasiku nikimsikiliza nimeanza kumuelewa vzr

  • @iddimuatafa
    @iddimuatafa 18 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mazingatio juu yakaulizao

  • @IbrahimMahmoud-em1np
    @IbrahimMahmoud-em1np 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna jipya Qasim mafuta hana maajabu zaidi ya fitna tu alhamdulilah tumemjua tayar

    • @eliaihoo77
      @eliaihoo77 28 วันที่ผ่านมา

      Fitna gani?

  • @saroshilingi7559
    @saroshilingi7559 28 วันที่ผ่านมา

    waislam nyote Ni kitu kimoja acheni kujibizana muhimu mwisho Wa siku swala 5 Kwa siku Na Sheria Ni zile zile sote so hvi vitu mnazileta Allah atawaadhibu Kwa kauli zenu inshallah

  • @iddimuatafa
    @iddimuatafa 18 วันที่ผ่านมา

    Ila kweli ujadida nizaidi ya ukoma yani uongo wameufanya ndio manhaji

  • @rahimhassan6722
    @rahimhassan6722 23 วันที่ผ่านมา

    Acheni hio tabia ya kunyoosheana vidole waislam kwa waisalam ni ushaba kuna mambo mingi kuyajadili ku uistawisha uislam sio madongo baina yenu kila siku agh

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 28 วันที่ผ่านมา

    Makada wa pongwe oyee

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 27 วันที่ผ่านมา

    ,yeyey na genge lake wawape yatima wa marhum janira waliyodhulimu kabla hawaenda mbele ya haki wamuogope allah naadhabu ya wanaokila haki za yatima

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 11 วันที่ผ่านมา

    Kassim mafuta na Genge lake, wanaharamisha wasichokitaka wao na wanahalalisha hicho hicho pindi wnapo kitaka wao Kwa faida zao (Ahlul hawaa) , kula chuma iyo: th-cam.com/video/LxPmIy8N1Xw/w-d-xo.htmlsi=x0mJV8T2N-yBzaWs

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 29 วันที่ผ่านมา +1

    Msipoisikiliza hii darsa, Bachu akija kujibu maqala no 04 atawapoteza... mtanikumbuka!!!

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123  29 วันที่ผ่านมา

      Masha Allah wambiye

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 29 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@alfauzantv123hatuwezi. Kusikiliza. Ujinga. .wa mafuta amtahadharishe. Kwanza. Ndugu yake hizbi mwnachama wa CCM. Muhammad mafuta asojielewa. Ndiyo tutaaamini. Kweli. Kasimu mafuta nimkweli😢

    • @alfauzantv123
      @alfauzantv123  29 วันที่ผ่านมา

      @@NuryaMusa ww waniandama zungumza utakavo Sawa kama haunielewi eicha channel tafta kwingine

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 29 วันที่ผ่านมา

      @@NuryaMusa kumbe ni ujinga! Basi kawasikilize mahizbi wenzako huko.. watafuta nini sasa huku... hahahhah!
      Tuache sisi tuisikilize hii darsa ili Bachu akija kujibu maqala namba 04 asituhangaishe na talbis zake..... Mana najua anakuja kumtukana na kumtwaani Shekh Rabii na Muhammad Amani Al Jaami kwa Kejeri na dharau....!!! Hana adabu na maulamaa yule kabsa yan,, kila mtu anamparamia na kumkosoa!
      Atakuja kutumia Qauli za akina Ali Al halabi ambao ni Mahizbi waliotahadhalishwa na maulamaa!

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 29 วันที่ผ่านมา

      ​@NuryaMusa kwani lazima aradiwe na sheikh qaasim mafuta?
      Kwani hio radd ya bachu haitoshi?

  • @ausatmwangi6464
    @ausatmwangi6464 28 วันที่ผ่านมา

    Mm nilidhani mawahabi hawana tofauti kumbe mpira umedunda😂😂😂vita bado mbichi 😅😅😅

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq 28 วันที่ผ่านมา

    Kassim Kam radd nduguyoo poyoyo La ccm

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 20 วันที่ผ่านมา

    Kwani kunatofati gani ya barahiyani na wewe mafuta maana kila unacho ntuhumu barahiyani na wewe unacho ilianza taasisi na ww unayo uhizbi naww unao mahizibi mdogowako n ccm acha talbisi ww muft wapongwe

    • @abuufarha6562
      @abuufarha6562 20 วันที่ผ่านมา

      Huyu jamaa hanahoja kwasisi tunaye nfahamu ukimfuatilia kwaumakini maneneyake yazamani yanapingana naya leo ana tanaqudhwaat nyingi sana

    • @abuufarha6562
      @abuufarha6562 20 วันที่ผ่านมา

      Sema ukimsikiliza kiushabiki ana maneno yamapambo sana ila wallah huyu gogo la uhzb kwanza nimuongo hanatofaut nahao anao waradi kabisaaa

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 29 วันที่ผ่านมา

    Muhammad Mafuta CCM oyee

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 28 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 TH-cam kiwanja Cha mpira wa dini😂

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 28 วันที่ผ่านมา

    Mafuta CCM oyeee

  • @omarjuma3793
    @omarjuma3793 28 วันที่ผ่านมา

    Majadida ni shida

  • @hafidhwajina6718
    @hafidhwajina6718 28 วันที่ผ่านมา

    MAKASUKU SHEKH KANNENA,SHIKENI PEN NA KARATASI MUSHIKE POINT,MUKIENDA KWA BACHU MUSIHANGAIKE
    maana mahzb salay hawaifahamu ibara za wanazuoni,
    Hivyo mukienda kwa bachu mueke hawaa za nafsi zenu pembeni

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      Nina wasiwasi na uzima wa akili yako! Hzibi mkubuhu aliyekubuhu

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 28 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x sina wasiwasi na wingi wako wa suudhwnn , allah ajaalie uwe na akhlak nzuri pia

  • @Muswlih
    @Muswlih 29 วันที่ผ่านมา +1

    Bado Muhammad mafut mwanacham wa ccm

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 29 วันที่ผ่านมา

      Kikundi hiki Cha kihizbu. Salafi. Kikimtahadharisha hizbi mwanachama. Wa CCM Muhammad mafuta Niko pale nite jing kikundi hiki. Kinalindana. Ukiwa. Upo nao. Kwenye. Msimamo wao. Na ni nduguye kasimu mafuta hata. Ufanye. Kosa. Gani. Huwezi. Kutolewa

    • @NuryaMusa
      @NuryaMusa 29 วันที่ผ่านมา

      Ewe. Kijana. Al fawzan nakuuliza. Hivi. Muhammad mafuta hizbi. Mwanachama wa CCM myamradd lini. Naomba. Uwaulize. Wanachuoni. Wako. Akina. Mafuta. Mkubwa

    • @abuuawadhassalafy1594
      @abuuawadhassalafy1594 29 วันที่ผ่านมา

      Muko tayari kufanya mubahala na kuomba laana Kwa Allah kama hole kadi ni urongo si yake maana yy ashabainisha kua si yake umeundwa nyny muko tayari kuomba laana kama mwasema urongo ???

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 29 วันที่ผ่านมา

      @@NuryaMusa haya ya muhammad mafuta kuwa ni ccm ,Masalafy hawakuwa na habari nayo ,,mliavumbua nyinyi mahizbiy,,,kwahio habari ikiwafikia Masalafy ataraddiwa tu wala usiwe na Shaka yoyote ,,,kwamaana huu ni mukhaalafa wa wazi ,,,lkn hii ilikuwa Masalafy hawakujua na lau wangejua angeraddiwa kitambo ,,,alafu muhammad mafuta ashawahi kosea akaraddiwa na akataraaja',,,kwahio akibainishiwa atataraajai In shaa Allah,,,

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@NuryaMusa Na nyie lindaneni tuwaone sasa mahizbi wakubwa nyie.. wavivu wa kusoma dini... kazi kushabikia ruduud tu.. hahhaha!

  • @MohamedLulenje
    @MohamedLulenje 28 วันที่ผ่านมา

    Barahian na yeye ccm unasemaje

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 29 วันที่ผ่านมา +2

    Shekh huyu ni. Mtu mzima mwachie mchokoze bachoo ukione cha moto

    • @allyjaffar7072
      @allyjaffar7072 28 วันที่ผ่านมา

      Kasuku Bachu anajibiwa na wanafunz wa masheikh....yeye Bachu kujibiwa na mashaayikh wa kisalafi ni kama kumuuwa nzi kwa nyundo

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw 28 วันที่ผ่านมา

      Mtu mzima kwa mtu mzima mwenziwe
      Mtoto na mtoto mwenziwe

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 28 วันที่ผ่านมา

      Yaani wewe na akili Yako mbovu inamlingamisha kichaa bacho na sheikh kassim mafuta we huna hufahamu hata kidogo we ni fuata bendera

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 29 วันที่ผ่านมา

    NARUDIA TENA: Masalafy Sikilizeni hii audio yooote kabsa ili Bachu akija kujibu maqala namba 04 kuhusu Shekh Rabii asiwapoteze... Mtanikumbuka!
    Atakuja kuwakinaisha kuwa Shekh Rabii ndo mwanzilishi wa ujadida halafu na nyie mtakubali,, Mana nshawaona masalafy wengi kusoma hamtaki na ndo mana mnabebwa na Fitnah za mahizbi!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 28 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x wewe hakuna mkristo hapa,wakumtafunia maandiko na kumpa ameze,sisi tuna akili na tushakujueni munaponukuu ibara za ahlul ilmu,munarazimisha maana yenu,wewe huna mamlaka hayo ukweli tutaujua achakuekea panzia hakk wewe mtu wa hawaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@hafidhwajina6718 wewe huna akili ya kuchambua jema na baya kwa sabab hujaisoma manhaj Salafy! wew ni hizbi Mkubuhu

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 27 วันที่ผ่านมา

      Utakumbukwa ni nan ww ebu acha ushabiki kuwa na lengo la kujifunza, ushaegemea upande fulan ata huyo bachu hajazungumza hii inaonesha wazi kuwa ww hupo kutafuta haki

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 27 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x wewe elimu yako iko wapi kijana naona watapa tapaa tuuuu kazi yako ni ushabiki tuuuu uliokuwa nao

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 27 วันที่ผ่านมา

      @@HassanHamad-rf9tq Ushabiki gani??? Kwo kila anayewasapot masalafy ni Shabiki.... hahhaha! Kama ni hvo mniache na ushabiki wangu... kwan unakuhusu nini?!!! mind your own business bro!

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 29 วันที่ผ่านมา

    Wwe mafuta ni watu wa fitna hamna usalafi kitu ni watu wa fitna tupu.😂😂😂 Kundi la watu walovaa vazi la usalafi kwa dhulma na tunauliza kitu wwew mafuta jibu swala la shekh utheemeny ile raddi ya kundi potovu la usalafi mpya.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      Hilo swali lishajibiwa kitaambo acha mauzauza wewe hizbi wewe! Wewe unafatilia darsa kwel au unatumbua macho tu....!!!
      Hakuna Shubuha ambayo haijajibiwa... Sema tu nyie mahizbi ni wavivu kusoma dini hamutaki... Mtakufa na UVIVU wenu mahizbi nyie.... BADILIKENI..!!!

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 28 วันที่ผ่านมา

    Mjibuni bachu wacheni kelele.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      Hatutaki kumjibu sasa! Lieni... 😢
      Nasisi tucheke😅

    • @shafisaggaf1889
      @shafisaggaf1889 28 วันที่ผ่านมา

      Hhhhh hamumuwezi kawatoa maji

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      @@shafisaggaf1889 Sisi hatuko hapa kushindana wala kujibizana na mahizbi watu wasiojielewa walioikataa haqqi...
      Unaongea, tunakujibu mara moja tu, usipoelewa tunakuacha ili tuendelee na duruus zetu zenye faida kuliko kung'ang'ania kujibizana na nyie mahizbi watu wa bida'a!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา

      @@shafisaggaf1889 Yani nyie mahizbi mlichokosa na kinachowafanya Mjitoe wenyew kweny manhaj Salafy, ni Msingi wa Al walaa wal baraa.... Yan nyie kokote tu mnachukua Elim hata kama ni kwa masufi....!!! Halafu kila mtu mnashirikiana naye katika Da'awa hata kama ni mtu wa bida'a! Sasa mkiambiwa sio masalafy mnaanza kulalamika...!!!
      Mfano angalia wewe hapo kweny Channel yako, darsa ya kwanza kabsa umemuweka Sheikh Mbarak Awes ambaye ni SUFI Aliyekubuhu...!!! Ndo mana nakwambieni mtalia saana lakini tutazidi kusema NYIE NI MAHIZBI...!!! yani unataka kuwa Salafy halafu unapost darsa ya Mbarak Awes...???!!!

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 27 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x mwambie yule kada wa pongwe amjibu abuu zagar Maana yeye ni bingwa wa kuropokwaa

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 29 วันที่ผ่านมา

    Waislam naomba kujua hivi sheikh Sudais ni katika Maulamaa? Na Tanzania kuna ulamaa au tushawahi kuwa na ulamaa hata kama amefariki?

    • @SimbaHaji-jm7md
      @SimbaHaji-jm7md 29 วันที่ผ่านมา

      Inategemea wewe muulizaji unaelewa nini kuhusu neno ulamaa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 29 วันที่ผ่านมา +1

      Sudais ni imaam wa makka sio ulamaa. .na Tanzania hakuna ulamaa na hajawah kutokea...
      kuwa ulamaa so kazi ndogo sheikh!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 29 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x akhy shukran nimekuelewa maana naona masufi wanapenda sana kuwaita masheikh wao maulamaa wakati mwenyewe nlkua najua ulamaa daraja kubwa sana.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 29 วันที่ผ่านมา

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x na hawezi kutokea mpaka majadida waseme huyu ni ulamaa amesomea pongwe,

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 28 วันที่ผ่านมา +1

      @@hafidhwajina6718 acha kuwazulia jahil wewe... aliyekwambia ulamaa atatoka pongwe nan? Mjinga kweli wewe, Alkadhab, huna hata haya mbele ya mola wako.....!!!