ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kwel kabsa wazazi ndo kila kitu katika Maisha huo ushauri Ni mzuri Na hii movie Ni mzuri Sana Ina funzo Kwa kila mmoja pongez Sana Kwa kaz yenu
Mzee msisiri nakukubali sana ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️
Ssfi saana ❤️🌹❤️
Move nzuri yenye mafundisho mzee msisili nakupenda San move zako ni nzur🎉🎉❤❤❤
Kitu kizito sana. Asanteni wahusika
ivi videvu ndio vina kupa kibuli nimeku samee nakibao kikari kinoma iraiko vizuli sana movi yenu
Mganga nae anambwembwe uyoo👍
Kweli movie nzuri yenye mafunzo yakutosha kweli kunawengi wanasamini muke ao mume kuliko wazazi wako walio kufanya ukakomaa nakukuwa
Shayo ana maneno ya hekma nimempnda bure❤️
Movie zakibongo zinatia hasira sana kwenye sautiiiiiiii yan mnakera sana
Ndo tuna zipe da kama izi full akisheni nakubari
Uyu mweu kweli Yan mume ndo Bora kuliko mama mshez sana
Tatizo lenu sauti inakata baadhi ya vipande🤭
Saf sana Adili
Mnatisha
Kmk
Mashallah🙏video tamu jaman naipenda lkn mulitubwaga n sauti Kwel
Movie nzuri kweliila iyo nyimbo ya mtalamu khe yani kama tarabu ivi😁😁😁
NJIA TATA. ep1 new bongo movie swahili series
Swafi xanaaa
Kazi nzuri
Sehemu nyingine tu naangalia midomo tu inavyocheza bas saut 0+0 jamqn bora mngeweka na maandish
Adili bwanabwana komaa apoapo nzuri sana
Kazi nzuri 👏👏👏
We dad chiz eeh et mam kitu gan bir mam huyo mume angekuonaje chiz ww
Movie mzur san na inafundisha kwel
Jmn mbon saut imekua kipengele kwenye hi move
Mchawi anauwa wachawi wenzake kwakuwateteya wanakijiji mh inagela nsonganzela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Apo paku shikwa ndevu tena mwehu weeeh nime kusamehe patamu 😃😃😂😂🤭
Good 👍
movie nzuri sana ila sauti hakuna
Ongeren Jamn👍👍
Muko juu
good movie
We hio kali kwani kuna wa toto waharamu da 🤣🤣🤣🤣🤣🥰
kazi safi pongezi
Baba nimempenda alivyomaliza vizur
Mnakwama wapi nyie sauti unayumba sana
Move pow haina saut lakn
mupo vizuri sana
Duu sauti shida
Mwakatobe akasome
😂😂😂😂jamani mbona kisukuma teena na wasukuma mmetufikiaaa😅😅😅😅
😂😂😂😂eti uchawi wke niwa biscut hata mtt mdg anavunja
Hapo kwenye sauti ndo changamoto
Movie kali
Mzazi ndo kila kitu acha ujinga wewe
Uyu dada kaizalilisha hii jeze daaa
mbona sauti inapoteapotea?
Jaman movie nzuri lakin sauti mmebania sana wekeni saut jaman
Adili kupunguza muvi zakichaw tutakuogopa Sasa 😂🤣🤣
Weee shika adabu yako mumle yeye Hugo hy
Tatizo bado mnafel kwa saut
Mam ndo kilakitu unapaswa kumsikiliz
Nzurii
Shayo una maneno ya hekma sana nkpnda bure...
Nimekusamehe mwehu we🤣🤣🤣🤣
Oooooh jamni mama kitu gani teni
Kwel saut ina kwama
Tatizo sauti
Sauti haipo
Nmefeli.sauti inakwamakwama
❤❤❤
Watu amlali
Msisili endelea kushusha viatu.
Wasanii tunao jama
Saut mbovu km vipi andiken maandish
😂😂😂😂😂
Oma bulu😂😂😂😂
Tough
Maqini
Mmh🤫kweli wachawi sio watu wazuri
Maskinii baba wawatu
Dj
Vp
😂😂😂😂😂😂😂

Movie nzuri kweli
ila iyo nyimbo ya mtalamu khe yani kama tarabu ivi😁😁😁