Mashaallah Tazama Waziri Ummi Mwalim Alivyoisoma Qur'an Mbele Ya Majaji Na Viongozi Wa Dini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 395

  • @AminaTaytor22
    @AminaTaytor22 7 หลายเดือนก่อน +1

    M.MUNGU AMPE UWEZO WA KUSOMA VIZUR QURAN .....NA ATAIFUTE ELMU YAKO YAALLAH KWA MAPENZI KTK MOYON.. AMEEEN

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 8 หลายเดือนก่อน +11

    Allah amjaalie kuisoma kwa ufasaha zaidi.. kukosea ni moja ya katika jitihada za kujifunza..Allah amlipe kwa yale aliyeyapatia

  • @zulfahabib-jo9qp
    @zulfahabib-jo9qp 8 หลายเดือนก่อน +15

    Takbri allah akujalie uingie hamu upate mtu akifundisha quran

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 8 หลายเดือนก่อน +13

    Subhanallah Mwenyeez Mungu amuongoze waziri wetu ummi mwalimu aweze kuisoma quran kwa ufasaha. Insha'Allah. Maana anachapia balaaah.

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 8 หลายเดือนก่อน

      Anapata Dhambi Bure tuu kwa kiherehere cha Kusoma kitu ambacho hakufundishwa na kukijua,anafikiri hilo ni gazeti la mzalendo,anajisomea tuu hovyooo.Mungu amsitiri na kumfahamisha

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 7 หลายเดือนก่อน

      😂 Aamiin nacheka km mazuri ila wewe ndio umenichekesha eti anaichapa Allah amsamehe

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 8 หลายเดือนก่อน +21

    Waziri umeisoma makosa hio aya ya 2 na quran unapoikosea inabadilika maana tujitahidi sana.
    Hongera sana.

  • @califgoban9086
    @califgoban9086 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah mpe hamu na utashi wa kuipenda Qurani ili aweze kujifunza kusoma kwa usahihi wake

  • @ajuedimrisho
    @ajuedimrisho 8 หลายเดือนก่อน +25

    Ni vizuri mheshimiwa ukarudi madrasa mana hiyo iqra umeisoma sivyo

    • @BabnaaNassour
      @BabnaaNassour 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂msiba kweli kweli ikisha muislam huyu

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 7 หลายเดือนก่อน

      Qur'an yenyewe inaitwa Quraan. Innalillahi wainnailaihi raajiuun

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allahumma Amin rabillaalamin alamiin hukti UMMY MASHAALLAH UMEPENDEZA KWA STARA HIYO.. ALLAH AKUHIFADHI FIRDUNIA WAL AKHERA

  • @SophiaMasumai
    @SophiaMasumai 7 หลายเดือนก่อน

    Mashah Allah Mola akupe kila la kher

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah!MashaAllah!MashaAllah mdg wng Ummy hakika hadi mwili wng umeccmka kwa yalotoka kinywani mwako,Rabbi akuongezee MAHABA kwa Dini yetu Tukufu islam/umri mrefu+ siha njm,inshaAllah tuyaishi ktk uislam na imani,Aamin !

  • @AshaMkungu
    @AshaMkungu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allaah akuongoze ndg yetu Aisha Hajat neema na maisha marefu nakupenda sana

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 8 หลายเดือนก่อน +17

    Subhaanallah! Hizi ndo hasara za wazazi wapeleka watoto madrasa yaani hata juzuu amma kuisoma ni shida!! Allah atufanyie wepesi tusiangalie maslahi ya dunia pekee

    • @rajabyanga3026
      @rajabyanga3026 8 หลายเดือนก่อน +1

      Almuhimu ameielewesha usimlaumu

    • @aminamwangile4020
      @aminamwangile4020 7 หลายเดือนก่อน

      Mbona amejitahd

  • @khamismussa6258
    @khamismussa6258 8 หลายเดือนก่อน +39

    Inna lillah wainna ilaihi rajuun Allah ampe uwezo wakuisoma vizur Qur'an

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 8 หลายเดือนก่อน +2

      At list hata hao viongozi wa sasa wanajitokeza kama hivyo ivi tulipo toka kuna viongozi gani wa kiislam walikuwa na power ipi ya kuja pahala kama hapo ,tushukuru Mungu kuna mabadiliko makubwa kwa viongozi wa kiislam kujitokeza katika majukwaa ya kidini kama hivi,

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 8 หลายเดือนก่อน

      Em futa Bhana Innalilah Ya Nn Sasa Mama Yangu Ana miaka 60 Saivi Na ndío Yupo tabatiadaacha Hizo

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 7 หลายเดือนก่อน

      @@iddyjohn1032 Kigoma Malima (Allah Amrehemu)

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 5 หลายเดือนก่อน

      AaminaYaarabKigomaMalimaWetu​@@mohamedimiraji5495

  • @ZakiaSalum
    @ZakiaSalum 8 หลายเดือนก่อน +3

    Subhaana Allah jitahid uisome.vizur hiyo qur an muheshmiwa ummi

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 8 หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah! Qur an umeisoma makosa. Allah akusameh

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 8 หลายเดือนก่อน +19

    Kumbe anapendeza sana Mhs Umi akijistiri ila Quran unahitajika kujifunza zaidi usiiyendekeze Dunia tu.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 หลายเดือนก่อน

      Ati asiendekeze dunia.

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ma sha allah
    Mwuheshimiwa Wazuri ummy
    Umependeza Umevaa stara kudumu na kujistiri wazazi usiwe unavaa kilema bs kisha haifai wee ni Kiongozi lazima uoneshe mfano ma sha allah pia Hongera unajua kusoma qur aan allah akuhifadhi

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 8 หลายเดือนก่อน +23

    Kumbe hajui kusoma na maskini kesho wallahy ataenda kulizwa mpka kuwa waziri inaama amesoma school lkn akawacha kitabu cha Allah anasoma vibaya 😢😢

    • @SalamaAkilimali-ly3bu
      @SalamaAkilimali-ly3bu 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hatujui mwisho wetu Allah akujalie mwisho mwema unaweza unaweza ukawa mcha mungu Sana mwisho wako ukawa mtihani na unaweza ukawa hueleweki Allah akakubadilisha mwisho wako ukawa mwema tuombe hatima njema

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo ummy umevuruga kama zaidi ya huyo mwanao ila jifunze zaidi usikate tamaa Inshaallah

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 8 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhana Allah Allah akujalie uijuwe kusoma Quran Kitabu chetu ammen

  • @ccmtanga2023
    @ccmtanga2023 8 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera sana Dada Mh.Oddo Ummy una malipo yako kwa Allah (SW) kwa kiasi cha ujuzi wako ktk Quran.
    Hata Mtume Muhammad (saw) amesema anayesoma Quran vizuri (pasi na kusitasita) ana malipo makubwa na anayeisoma kwa shida (kwa kusitasita) huku akiwa ktk kujifunza anapata ujira mara 2 zaidi.
    LKN PIA SENTENSI ZAKO ZA MWISHO UKINUKUU MANENO YA NAIBU MUFTI YA KUWA TUIISHI QURAN NA SIO KUKARIRI UMEONGEA VYEMA ZAIDI. KWANI WENGI WETU TUMEKARIRI PASI NA KUIFANYIA KAZI QURAN....Hatuishi vyema na majirani, hatupendani, nidhamu mbaya, hatuswali, hatutoi swadaqa, hatuheshimu viongozi na maagizo mengine mbalimbali ya Quran.
    Narudia tena, Hongera Sana Dada Ummy na endelea kujifunza na kuisimamia Quran kama ulivyotuelekeza kupitia hotuba yako.❤❤❤❤❤

    • @amiryibrah
      @amiryibrah 8 หลายเดือนก่อน

      Usimsifu mwenzako. Hivyo kakosea

    • @lilmantruth4052
      @lilmantruth4052 7 หลายเดือนก่อน

      lkn kuna makosa mengi Allah amuongowe

  • @tabumpate9722
    @tabumpate9722 8 หลายเดือนก่อน +1

    NAMUOMBA M/MUNGU AMPE UMRI MREFU BI.AISHA

  • @SalmaSeif-x1v
    @SalmaSeif-x1v 5 หลายเดือนก่อน

    Aibu naona mm 😢😢 msiba mkubwa sana ya allah husni llhatima🙏🙏

  • @Zowazowa-xu1gk
    @Zowazowa-xu1gk 8 หลายเดือนก่อน +6

    Subhannallah 😢😢😢😢 Allah akufanyie wepesi ujifunze kusoma quran vzr inshaallah

  • @FarajaAlly-rt1mv
    @FarajaAlly-rt1mv 7 หลายเดือนก่อน

    Allaah akulipe kheri na akutilie wepesi.....uingie darasan uongeze elim

  • @zainabusadi6469
    @zainabusadi6469 7 หลายเดือนก่อน

    Subhana llaah kumbe kuisoma kwenyew hujui Allah akuongoze

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 8 หลายเดือนก่อน +2

    Subuhana llah rudi madrasa tena kuisoma qur an hujui aibu kwa ulivyo isoma, ALLAH akupe ufaham ukhuty

  • @dudemussa6715
    @dudemussa6715 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Bi Ummi, ingawa Qur-an umeisoma kwa woga mbele ya masheikh. Allah akupe thawabu nyingi. Inshaallah!

  • @tatumnyamisi587
    @tatumnyamisi587 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni jambo la kheri. Mwenyezi mungu ampe Maisha marefu kiongozi wa taasisi hiyo.

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 7 หลายเดือนก่อน

    Jazakhalahu khaira

  • @Kusag-i9z
    @Kusag-i9z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umekosea sana jiangalie sana kesho akhera kutakua nashida

  • @zalfahashimu9393
    @zalfahashimu9393 7 หลายเดือนก่อน +5

    Shida ya sisi waiislam ni hii,hyo nimatamshi TU ,mama amejitahidi,sio aanavyotamka she nae atamke hivyo hapana bwana,tusivunjane moyo mama uko vizuri Allah atubariki Kwa pamoja

  • @bahatimussa-l7n
    @bahatimussa-l7n 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tobaaaaa huyu ametunga aya zake et, duh!! Njoo tutafute mwalimu mm na ww atusomeshe, hadhi yako itazidi mamaaa

  • @abuuahmad3238
    @abuuahmad3238 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini watu wanamponda badala ya kumpongeza na kumuombea dua Allah ampe tawfiq ya kuisoma Quran zaidi na kumzidishia kheri...

  • @JaliaAmir
    @JaliaAmir 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaall ALLAH akulipe Kila la kher jmn

  • @IDRISMKWlNDA
    @IDRISMKWlNDA 7 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi waislam Muna taabu sana munapenda kulaumu upumbavu hayo nimatamushi TU

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 8 หลายเดือนก่อน +4

    Innalillah yarabbi tujaalie tuipende quran na kujifunza kuifundisha pia

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 8 หลายเดือนก่อน +1

    SubhaanaAllah Qur aan haipaswi kusomwa vibaaya😢😢😢😢😢 wallahi Allah atuongoze anaisoma vibaaya mpk wapata hasiira😢😢😢😢😢

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 8 หลายเดือนก่อน

      Yeye sio Mwarabu wa Kikureish kumbuka

  • @maryammtumwa8278
    @maryammtumwa8278 7 หลายเดือนก่อน

    Allah azidi kukuongoa mama jifahidi na iwe asbabu zaidi ya kukipenda kitabu chetu kitukufu

  • @JumaAli-h6g
    @JumaAli-h6g 7 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah allah akuongoe àkutie ham upende kujifunza kuisoma qur an ameen

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 8 หลายเดือนก่อน +9

    INNAA LI LLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJIUUN
    KATOKA KWENYE MIFUPA YA KIISLAAM
    BORA MARA DUFF KUSOMA TAFSIRI YAKE KULIKO KUBORONGA MANENO YA ALLAH KIASI HICHO.

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 8 หลายเดือนก่อน

      Nimeshangaa na watu hawamrekebishi.

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 7 หลายเดือนก่อน

      Wameona aibu km nilivyoona Mimi na wewe Allah atusamehe

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tobaaa majangaa, Allah akuongoze ujitambue, angalau udurusu ulipopaacha na kutoroka chuo

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah dada angu kipenzi mh Ummy mwalimu ❤

  • @RahmaMfaume-x4x
    @RahmaMfaume-x4x 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera Dada um I. Mm I nilijua siyo mwisilamu.Ku be nimwisilamu.cu dunia Hii.

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kwa mawaidha mazur 2 asant pend xan wazir Wang

  • @hassanshani4999
    @hassanshani4999 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ummy ummy dada yangu Tenga muda angalau nusu saa kwa siku ujifinze quruan walimu wapo wengi sana quruan umeiacha ndio maana yenyewe pia imekuacha

    • @ramlaleila374
      @ramlaleila374 7 หลายเดือนก่อน

      Bahati nzuri siku hizi unajifunza mpk kwa mitandao

  • @alibakar1835
    @alibakar1835 8 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah wainna ilayh rajioun. Umeisoma quran kimakosa sana.
    Anza kuia

  • @salassalas-eo6vo
    @salassalas-eo6vo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yarab hata kumasaliA Mtume SAW pia hajui msiba huu

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 8 หลายเดือนก่อน

    Mlichokikosea hpa nikwann hamukumkosowa na kumueka sawa waziri Umi ktk kuisoma sawa suratul Alaq...hongereni kwa yte na Mungu atawabariki

    • @shabanabdullaziz9934
      @shabanabdullaziz9934 8 หลายเดือนก่อน

      Sio suratulAlaq tu bali hata hiyo Baqara pia kachemka

  • @FatumaNamande
    @FatumaNamande 7 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah kiongozi wetu

  • @SurprisedBlini-id6qv
    @SurprisedBlini-id6qv 7 หลายเดือนก่อน

    MASHAALLHA..ODO..YUKO..VIZURI

  • @MasikaAddi
    @MasikaAddi 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akuzidishiye lakini waisilamutujikaze sana kwa mambo ya dini

  • @maymunahomar5016
    @maymunahomar5016 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bismillahi Rrahmaani Rrahiym
    Iqra Bismi Rabbika Lladhiy Khalaq
    Khalakal Insaana Min 'Alaq
    Iqra Wa Rabbukal Akram

  • @mswadickbushumbiro6923
    @mswadickbushumbiro6923 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh,mama umeitafuna kweli kweli,kama sio kuikanyaga,

    • @LutfiyaHaji
      @LutfiyaHaji 8 หลายเดือนก่อน

      N mtihan mzito

  • @mohdaliy4090
    @mohdaliy4090 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah waziri wetu uumependeza

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 8 หลายเดือนก่อน

    Ma Sha Allah Umi Mwalim vaa hivyo hivyo kila siku

  • @RehemaIbrahim-sm4nz
    @RehemaIbrahim-sm4nz 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah waziri wetu

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 8 หลายเดือนก่อน

    Subhaana LLAAHI,akivaa hivyo anapendeza Sanaa,ila anajua kuvaa hivyo Mwezi wa Ramadhani tuu,miezi mingine hana haja ya kufuata Maelekezo ya Mungu, MUNGU amuongoze Dada yetu maana kwenye uvaaji wake wa miezi tofauti na Ramadhani, Ibilisi amemuandama sanaa

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 8 หลายเดือนก่อน +1

    Weee ummi wewe heeee subhanallah hujachelewa jifunze kusoma Quran

  • @hassankajembe4118
    @hassankajembe4118 8 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akupe mwisho mwema Odo Inshallah

  • @RahmaMfaume-cc7lc
    @RahmaMfaume-cc7lc 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah jazakaallahu kheryy❤❤❤❤🎉🎉

  • @HilalZaid-z2k
    @HilalZaid-z2k 8 หลายเดือนก่อน +9

    Jitahidi Da Ummi kurudi madrasa si vibaya

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 8 หลายเดือนก่อน

    MANSHALAH MANSHALAH MANSHALAH .SISTER UMMY MWENYEZI MUNGU AZID KUKYONGOZA AMEEN

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 8 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa allah 😊

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bado unahitaji kusoma kurani ili uisome vzr waziri

  • @jumajafar8710
    @jumajafar8710 7 หลายเดือนก่อน +1

    Haifai kusoma Qur'an mbele za wanaume

    • @binrashid1638
      @binrashid1638 7 หลายเดือนก่อน

      Na pia haipendezi sauti ya kike kusikika mbele ya wanaume

  • @MohammedOmar-s6q
    @MohammedOmar-s6q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu amfunguwe zaid ajue kusom

  • @USSIIDDI-qn7od
    @USSIIDDI-qn7od 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani ni balaa tu!Dunia mbele kuliko Akhera

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ummy mwalimu umenikosha ❤❤❤❤❤

  • @BimkubwaSimai
    @BimkubwaSimai 7 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah ata ww ulioisoma huijui tena unadhalilika kakae kitako utafte mwalim aje akusomeshe bado muda unao na unaweza ukamueka ata ndani uwezo unao licha ya hivo utakua na hoja mzito kesho kwa Allah.

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤️ ❤️ ❤️

  • @HalimaOmariMshana
    @HalimaOmariMshana 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah allah akulipe khery

  • @mohamedosman3889
    @mohamedosman3889 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah waziri anaisoma Quran viziri ila waziri wetu jitahidi saana uwe kilawakati utaisoma Quran ili uiimarishe Quran yako zaidi allaah akujaze Kila lakheri inshaallah

    • @mswadickbushumbiro6923
      @mswadickbushumbiro6923 8 หลายเดือนก่อน

      We vzr ya wp? Kaikanyaka vibaya mno

    • @shabanabdullaziz9934
      @shabanabdullaziz9934 8 หลายเดือนก่อน

      Bro acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa CHUPA.
      Ameidabanga

    • @muhiddinmustafa7906
      @muhiddinmustafa7906 7 หลายเดือนก่อน

      Anapokesea mtu kuisoma qur~ani vizuri mkosoe ili ajifunze kutokana na makosa,waziri hajaitendea haki Qur ani.

  • @JalinaPalanga
    @JalinaPalanga 8 หลายเดือนก่อน +18

    Waziri wetu umependeza kumbe ni muislaam jitahidi kuvaa stara kama hivyo ulivyo na pia uwezo unao tafuta mwalimu akufundishe quran kwani tutakuja kuulizwa tusipokisoma kitabu cha Allah ushauri wangu kwa waziri wangu na viongozi wengine tnawapenda

    • @Kokhaako
      @Kokhaako 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tafadhali kasome Qoran usiitamke utakavyo hivyo Aya unavyozitamka sivyo ukiisoma utaijua.
      Pili nikinyume na dini ya kiislam,Muislam kuolewa ni mtu ambae si Muislam ndoa za aina hiyo hazithiniti mbele ya Allah.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 หลายเดือนก่อน

      @@Kokhaako Kwani naye kaolewa na asiye Muislamu?

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu 8 หลายเดือนก่อน

      @@Kokhaako kwani hapo hajasoma Koran inavyotakiwa? Kumbuka yeye sio mwarabu hivyo ulimi wake hauwezi kuwa kama wa Mwarabu wa Kikureish

  • @ayubually5933
    @ayubually5933 8 หลายเดือนก่อน +2

    dada umu mm nakushauri uwe unavaa ivi kwakua hivi mungu ameamrin wanawake wajisitiri

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 8 หลายเดือนก่อน

    Mtihani kweli kweli kwa viongozi wa serekali ...kumbe ni majina tu baadh yao ..nnahamu nimskie waziri mkuu pia akisoma qur ann waziri majaliwa nnamfatilia sana sijamsikia ..Dada ummi rudi madrasa japo kidogo uijue japo sura za kuswalia

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 8 หลายเดือนก่อน

    Mh , ummy ukivaa full stara unapendeza sana , inshallah iwe mwanzo uendelee , uache kuvaa viremba tu .

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hqsara ilioje kupanda ktk member ukasoma aya za kuraai makosa matupu nakupenda sana waziri ummy jifunze dini yako unayohutubiya hapo wewe mwenyewe yanakuhusu dada

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 8 หลายเดือนก่อน

    Ukhty Ummy Mwalimu ! Majina matatu ya Kiarabu yenye maana nzuri sana.
    Ukhty(Dada) Ummy(Mama) (Mwalimu(Mkufunzi au mfundishaji)!

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mliopo mkosoeni hayo ni maneno ya Allah

  • @SalimHamad-eu6fm
    @SalimHamad-eu6fm 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi ningemumba muheshmiwa waziri na wengineo tunatakiwa tukiyasoma maneno ya Alla kama hatuja hifadh tuangalie vizuri katia msahafu aya tunazo zisoma.

  • @animamichael3968
    @animamichael3968 8 หลายเดือนก่อน

    Dada umi tunakushukuru sana na kukupenda waziri wetu endelea na fii sabiili llah wewe ndio uko huko juu dada tupiganie kwa fursa yako qiraa chako si kizuri lkn usikate tamaa kukosea ndio kujua muhimu laa taghdhabu kwa kukosolewa we need u mama

  • @maryammtumwa8278
    @maryammtumwa8278 7 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @Saida-b9v
    @Saida-b9v 8 หลายเดือนก่อน +23

    Duuh sio kwa kuchapia huku jaman tujitahidi kusoma dini

    • @asiamohamedy2643
      @asiamohamedy2643 8 หลายเดือนก่อน

      Kiswahili kasoma

    • @eshaabdallah8253
      @eshaabdallah8253 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli kachapia halafu yeye anashukuru anaijua vizuri😅

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huku kwetu yako Madrasa ya kufundisha
    Quraan kwa sie Watu wazima Alhamdulillah
    Tumefaidika sana
    Tunashukuru

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 8 หลายเดือนก่อน

      Kwenu wapi huko nije miezi 6 nataka ❤

    • @ummohammed8380
      @ummohammed8380 8 หลายเดือนก่อน

      @@zainabzain3434 Muscat
      Oman

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 8 หลายเดือนก่อน

    Wazir wang mpendwa wajina wa mtt wang (Ummy Abdallah)

  • @georgebenard6975
    @georgebenard6975 7 หลายเดือนก่อน

    Quran hutoroka kichwani haraka Sana kuliko ngamia kukata kamba. Allah awahifadhi viongozi wetu wa kiislamu bado muda upo tafuteni walimu achana na app

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 7 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😮😮😮 huyo ndiye Ummi almaarufu ODO,Tanga jiji mpooo!

  • @salum8848
    @salum8848 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh.ushauri kwa waziri jitahid kusema Quraan

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 8 หลายเดือนก่อน

    Angalau amejarib.iila tujitaid kuisoma quraan

  • @FatmaKombo-y8e
    @FatmaKombo-y8e 8 หลายเดือนก่อน

    Innalillahi wainna ilayhi rajiuuun, mama Aya umezikosea na umezitoa maana unastahiki urudie madrasa . Ninasema hivi kwa kukupenda

  • @jumamsukuma7794
    @jumamsukuma7794 8 หลายเดือนก่อน

    Odo kama odo mashalah

  • @ZaituniYahaya-i1c
    @ZaituniYahaya-i1c 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ila Quran haisomwi hvyo anakufuru tu hpo

  • @JudeBellingham-lp2hs
    @JudeBellingham-lp2hs 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah ndy alokamilika kosa kubwa ni kujifny unajuw bora ungesoma t tafsir ya izo aya

  • @farijala1
    @farijala1 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani anajua Ni jukwaa la Siasa. Yeye mwenyewe Hamjui Mwenyezimungu. Na Nimuislamu Jina. Yaani Yupo kinyume na Hayo anasema Tuhimize Watoto waisome Dini ilhali Yeye mwenyewe . Duuu

  • @georgebenard6975
    @georgebenard6975 7 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah,kuruwan 😢😢

  • @kahiyemohammed8556
    @kahiyemohammed8556 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama 😢😢😢maskini amekosea sana QURAN:

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym 7 หลายเดือนก่อน

    Tobaaaa muadhara huu jahara nnaasi😂
    Innaa lillahi wa innaa ilaihi raajiuun, hapo muheshimiwa umekufuru sana, jivunze bado hujachelewa vyenginevo mtihani kwakweli

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo kaedekeza duni anaikosea sana hata mimi nilio silimu namuzidi kuitamuka khaa ummy rudi madras

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 8 หลายเดือนก่อน

    Wallahi nashindwa kujizuia ninaposikia mtu amekosea kutamka aya ktk qrn
    ila mh pamoja na kua upi bsy sana lakin mpate mwalim pe nafasi akufundishe maneno ya Allah namaanisha qrn alkareem hii ni nasaha kwa upandewangu
    other wishe mimi nikushukuru kwa presantation yako pamoja na hotuba yako