Omg this looks so beautiful. I must've seen a hundred videos about African countries , states and cities. They get better all the time. I love Africa. The media needs to show this to the world.
Watanzania mbona wanapenda kutufwata fwata kwa matako kila pahali, in every forum or Kenyan youtube channel huwezi kosa hizi nugu... Pambaneni na hali zenyu...Alafu tusisahau Tsh110 = Ksh3...😂😂😂
Dar ni kubwa tu kwa maeneo ya ardhi ama ukitaka mahali panapoitwa dar lakini sio kwa maendeleo au mjini. Elimika tofauti ya ukubwa wa ardhi na ukubwa wa mji wenyewe.
Hussein Loyy yes ni kweli boy 1.posta old cbd,,,2,,kkoo oldest cbd,,3,,upanga residential area n cbd,,,4,,ilala residential area n cbd,,5 kijitonyama hii ndyo morden cbd inavutia hatar inashindana na posta,,,6,,magomeni huku ndyo kkoo namba mbili inakuja kwa kasi alafu hwa wanajifanya na vcbd vitatu kelele mtindo mmoja dar INA cbd vidgo Vingi kama mliman city pale kawe nk
Menrad Mwaliko hivi ww una akili timamu dar uifananishe na Mombasa??labda kwakua zote zipo location sawa ikiwa kama location kigezo cha kuringanish miji bhasi Nairobi ishimdane na arusha dar na Mombasa kisumu na mwanza
mm mtanzania yani hiyo ndiyo Nairobi !!!!!!!!????? mji wa nai sijui kwanini au pendezi kwenye camera hata ya 4K ni Giza Giza tu au Nairobi hakuna jua la kutosha !!? hapo naona vumbi tu! ukichukua hiyohiyo camera na kupiga dar es salaam utapata picha safi sana
#lwivakitete -never judge a book by its own cover hapa hatushindani mji gani ni bora Kenya na Tanzania ni kimoja tunafaa kufanya kazi kwa pamoja kama mandugu na madada +254
Nicky Franchesco hata mm nimeuliza tu kwanini naii kwenye picha inakuwa Giza siyo angavu hata wakenya wa jf wanakubari kuwa dar kwenye picha inapendeza sasa nikauliza kwanini picha za nai huwa zina fifia kimwonekano tazama 4k drone iliyopigwa dar tena na mkenya uone tofauti
So happy to see such a beautiful aerial view of my city. God bless Kenya.
Omg this looks so beautiful. I must've seen a hundred videos about African countries , states and cities. They get better all the time. I love Africa. The media needs to show this to the world.
Goodness.....No one else has covered Nairobi city like this....good job.
Now do a night view.
Upper hill Nairobi noma sana. Next time chukua outering exchange its phenomenal from above
For the first time I noticed that, it look like a flying sourcer that is packed on top of the Kenyatta conference centre (kcc) sky scrapper.😀😊
Sooo good that I made a test shot😅
drive.google.com/file/d/1_ohW7w8ilGZ0zNtkCMJBF4Tm-rBqcoLu/view?usp=drivesdk
Wow, professional coverage. Glad too you've water marked your videos to prevent people using them elsewhere.
Keep it up.
Most developed city in east and central Africa
Nice job Fam but next time put some sound track at the background itawezaaaa!!!
atleast today you've covered upperhill land of skycrapers ,,soon it will look like manhattan
You should do a commentary too, its not just Nairobians that would love to know this city. Thanks, IMHO
This video aerial shoot is detailed af..great job
My city my town, the city under the sun.
We...,hapa only Kenyans should comment coz Nairobi ni yetu, Watanzania tokeni hapa mwende mkashuti version lenu nanyi mjibinyue
WE MKEY ....SEMA BI KIZEE NAIROBI .....DAR CITY BYBE
@@husseinloyy1912 kwendeni mkashuti version lenu,ama pia drone hamwezi afford??
@@eastafricanforever3457 Haha kabisa wakwende uko.
True umenena UK locked sio mchenzo
We own@"good we know it
Good job
Wow nice work but you could have also taken Westlands side
Uma bonita cidade, mas parece que está muito poluída né? De qualquer forma, uma grande cidade . parabens.
Huyu n wa wapi😜😜
@@zablonokeno6346 umabonita 😂😂
Take this forest language back to where it belongs
What did he say?
Tem apenas 60 anos😅
Nice video nice coverage but atleast put some music in the background and the quality is not the best
This is home 🇰🇪🌍
Do one for 2020 😌😌kindly.
Don't leave out Westlands
Can you take night version
Beautiful footage
Watanzania mbona wanapenda kutufwata fwata kwa matako kila pahali, in every forum or Kenyan youtube channel huwezi kosa hizi nugu... Pambaneni na hali zenyu...Alafu tusisahau Tsh110 = Ksh3...😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kenya leads always
To be honest Kenyans trust U.G than you
They dont burn our chickens
@public enemy you sent a clear message kwanza washughulike fedha zao from NEP
Awesome 🔥
shoot later in the day.
Nime enda ata Ndondoma tarakea ni kufuka my antie Mchaga ya Kajiando Bornder pia Kimana Tz hamuna kitu but love your Konyagi
Largest city in Eastern Africa 😍😍
Iteso son noo
na dar es salaam baby ?
And the most developed
Hahhaha Da Es Salaam Tanzania baby ndyo kubwa
Dar ni kubwa tu kwa maeneo ya ardhi ama ukitaka mahali panapoitwa dar lakini sio kwa maendeleo au mjini. Elimika tofauti ya ukubwa wa ardhi na ukubwa wa mji wenyewe.
Aki hizo miti smart soon hatutaziona tena
Hawaezi kata miti zote,remember Nairobi has a park for animals
And a golf block
& the parks
kutakuwa na miti manyumba
Sure watauza ngoja uone
can i buy this
stock@microdrone.co.ke
Kwaiyo wew pesa yako ikiwa juu wewe uto lala njaa alimika acha upumbavu kwani uko kwenu Kuna nini uswailini tupu njaa inawasumbu sisi ntatuweza
if we say lagos is akid,Nigerians are complaining
@rdokoye numbers sometimes dont count no Homeless person in Mauritias sorry you dont know G.P.D havent time to explane UK Locked
rdokoye me too
How do i get in touch?
stock@microdrone.co.ke
Remove all rounderbouts
Nyairobi 17 min from mums countty 22 ma anjabu
One city 3 CBDs
dar city 6 cbd oyoooo
Dar is Mombasa version of Kenya
Peter Mburu hivi nynyi mapimbi kweli dar na Mombasa hahahaha kkoo ward inafirimba mombasa
Hussein Loyy yes ni kweli boy 1.posta old cbd,,,2,,kkoo oldest cbd,,3,,upanga residential area n cbd,,,4,,ilala residential area n cbd,,5 kijitonyama hii ndyo morden cbd inavutia hatar inashindana na posta,,,6,,magomeni huku ndyo kkoo namba mbili inakuja kwa kasi alafu hwa wanajifanya na vcbd vitatu kelele mtindo mmoja dar INA cbd vidgo Vingi kama mliman city pale kawe nk
@@husseinloyy1912 hahahaa...,hizo CBD zenu ni vijicbd
linganisha na jiji kuu na la kisasa la dar city
Dar labda Mombasa
Hahahha dar is the best ety mombasa taka taka
Mubaraka Cloud Leta video ya dar tuikague hapa badala ya kuropokwa tu.
Menrad Mwaliko hivi ww una akili timamu dar uifananishe na Mombasa??labda kwakua zote zipo location sawa ikiwa kama location kigezo cha kuringanish miji bhasi Nairobi ishimdane na arusha dar na Mombasa kisumu na mwanza
Mubaraka Cloud mimi nimesema hivyo kweli? Hebu jibu aliesema hivyo ama nikutumie hela ya kununua miwani😂 acha matusi kaka.
Why chainee owns Nairobi can't Kenyans build their cities
My friend you need to pee n sleep
Your phone/laptop is also made in China regardless of where you're watching the video from.
In which perspective does china own Nairobi
mm mtanzania yani hiyo ndiyo Nairobi !!!!!!!!????? mji wa nai sijui kwanini au pendezi kwenye camera hata ya 4K ni Giza Giza tu au Nairobi hakuna jua la kutosha !!? hapo naona vumbi tu! ukichukua hiyohiyo camera na kupiga dar es salaam utapata picha safi sana
#lwivakitete -never judge a book by its own cover hapa hatushindani mji gani ni bora Kenya na Tanzania ni kimoja tunafaa kufanya kazi kwa pamoja kama mandugu na madada +254
Nicky Franchesco hata mm nimeuliza tu kwanini naii kwenye picha inakuwa Giza siyo angavu hata wakenya wa jf wanakubari kuwa dar kwenye picha inapendeza sasa nikauliza kwanini picha za nai huwa zina fifia kimwonekano tazama 4k drone iliyopigwa dar tena na mkenya uone tofauti
Nicky Franchesco th-cam.com/video/MGBGhvYyfMU/w-d-xo.html
@@nguruwekikwete1635 kwa keli you are right lakini Dar na Nairobi hakuna tofauti nchi zote ziko tu sawa kwa maoni yangu
Lwiva Kitete wewe wacha zako..tukitaka nwangaza tutakuja hio dar
Nairobi imefubaa bt bd hawajatufikia sisi waTANZANIA
Show us your only 4 building's
@@reubentv2948 Lol XD
Nairobi GDP alone is Half of whole Tz GDP combined , Tz ....baaad economy
Tz baaad Economy
Kigali still better than yours!
Hahah lol....there's like 3 other cities ahead of Kigali. you capping bro