MKOBA WA MAMA Episode [ 15 ]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 155

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 5 หลายเดือนก่อน +17

    Leo wakwanza toka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pita na like basi...alafu tanu kumbe ovyo tuu😂😂😂

    • @SAMANTHACHEGEChege
      @SAMANTHACHEGEChege 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 oya

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 5 หลายเดือนก่อน +4

    Turuntunturuntuuuu uuuuhh turutunturuntuuuuuuhhh uuh
    Beat yangu pendwa

  • @MariamShabani-c1c
    @MariamShabani-c1c 5 หลายเดือนก่อน

    Yani Léo nimecheka sana congratulations tanu Na mkwara woote ule kumbe hamna kitu nazipenda movie zako tanu❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi yng pendwa❤❤❤

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Halima mganga pisi Kali nimekupenda mama❤

  • @happyauleus5198
    @happyauleus5198 5 หลายเดือนก่อน +8

    Yan mnaacha kutoa maoni au kuwapongeza kwa kazi nzuri mnaomba like😮

    • @lornahmulitani2798
      @lornahmulitani2798 5 หลายเดือนก่อน

      Tanu hakuimwibia yeye ndio alimpiga tanu akatoroka

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 5 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉Much love from Kenya 🇰🇪

  • @DianaKomba-u8y
    @DianaKomba-u8y 5 หลายเดือนก่อน +3

    Yani mnakera nyie wa like mnakula izo like

  • @lucyjuma-nl2ko
    @lucyjuma-nl2ko 5 หลายเดือนก่อน

    Mfanyi biashara anataka kumteketeza tanu..... Tanu nyota ya mapenzi hauna babaa rithi mikoba ya mama usaidie jamii na hata familia yako kwa ujumla tanu utulie halafu kwanini unakuwa mbishi hivi ona vile watu wanakuwinda kwa udhaifu wako juu ya mapenzi tanu kweli kubali mikoba basi tanu na ukiikubali ata wewe mwenyewe utaweza kujikinga kwa mabaya yanayo kuandama..... Ila kazi nzuri sana bro love you from Kenya

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi yang pendwa

  • @fortunegerishom1827
    @fortunegerishom1827 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu uko sawaaaa kabisaaaa🙌🙌🙌 hucheleweshi mzigo,, love from kenya

  • @mariamumdoe1466
    @mariamumdoe1466 5 หลายเดือนก่อน +7

    Funga funga tuondoke mama mchawi hana uruma mama kanyimbo kazur hongereni sana❤

  • @JerryGasper-ft6kr
    @JerryGasper-ft6kr 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tanu we kanumbA kabisaa

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉 zingatieni sauti inagwara gwara

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 5 หลายเดือนก่อน +1

    Badalaya kuondoa tatizo ana taka kurudisha tatizo vi kwann wachawi awamauruma😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @alonechris
    @alonechris 5 หลายเดือนก่อน +3

    Anhaa leo mapema nakula burudani ndo niendelee na kazi kama weka like kama na ww unaenjoy❤

  • @SalumuCiza
    @SalumuCiza 5 หลายเดือนก่อน

    Kbx yani kanyimbo kazuri mnoooooo❤

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Sema Tanu una sauti nzuri sana 😂😂😂😂

    • @tanuplus
      @tanuplus  5 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @SophiaBakari-z3z
    @SophiaBakari-z3z 2 หลายเดือนก่อน

    Tanuuuuuu😂😂😂 maneno tu kujua kupigana aaah!!😂😂😂

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila tanu unaangaika
    Ebu pokea mkoba ukuweke buys 😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu jaman unanjfurahisha uchezaji wako naupenda sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NaaMaty
    @NaaMaty 5 หลายเดือนก่อน

    Na wew tanu hueleweki naona kisebu sebu na kiroho kiko papo 😅😅😅😅

  • @JustinFaustine
    @JustinFaustine 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni fundi sana

  • @zhonxheylions9752
    @zhonxheylions9752 5 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaha Hahahahaha daaah TANU HUNA NGUVU Huna HELA na SANDRA UNAMTAKA daah nimecheka sana.

  • @JohnChibanhila-ld6vv
    @JohnChibanhila-ld6vv 5 หลายเดือนก่อน

    Safi🔥

  • @DorinCherop
    @DorinCherop 5 หลายเดือนก่อน +1

    KAZI safi tanu and your team

  • @Jasminehilali-dl2zm
    @Jasminehilali-dl2zm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyie mnao taka like mnashida gani jmn kwani si mfanye kazi zenu ndio muombe like badala ya kutoa pongezi kwa wasanij wetu nyie kazi kutaka like kila kukicha mnaboa hamjielew kabisa me naona

  • @frankJonas-du5he
    @frankJonas-du5he 5 หลายเดือนก่อน

    Ndo mana kamwina walikanyanganya mke kwenye snake boy aaaa nimeelewa kana roho katu😂😂

  • @hawahawa8441
    @hawahawa8441 5 หลายเดือนก่อน

    Alima ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu mbea wewe nakufumua.
    Leo 😂😂😂 Ubaya Ubwela 😂😂😂

  • @SamyabshatiSamyabahati-n1e
    @SamyabshatiSamyabahati-n1e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alima ni mwanamke suja na kukubali

  • @marryhancy1632
    @marryhancy1632 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mki view video muwe mna like na ku subscribe ili tuwape nguvu yakuendea kutoa kazi nzuri .❤ Tanu ur the best 🫂

  • @MaryamSafi-vm6or
    @MaryamSafi-vm6or 5 หลายเดือนก่อน

    Jamn siyo kwakimjui icho😂😂😂

  • @JasminKilimo
    @JasminKilimo 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzurii sana

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 5 หลายเดือนก่อน

    Salute🎉🎉

  • @Salumfaki
    @Salumfaki 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya bwelaaaaaaaaaaa

  • @MaryamNurru
    @MaryamNurru 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂tanu kasalenda ume lianzisga afu ume kuputwa

  • @SaidyOdo
    @SaidyOdo 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ubaya ubwera tenaaa

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂tanu kumbe huna nguvu😂😂

  • @user-ic7felix
    @user-ic7felix 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu wew ni hivyo sana😂😂😂😂

  • @AdamZainab-mb7qj
    @AdamZainab-mb7qj 5 หลายเดือนก่อน

    Yaan kaka tanu mm sipend ndevu zak tu 😅😅 ila kazi yak ipo good 👍

    • @tanuplus
      @tanuplus  5 หลายเดือนก่อน

      Ntanyowa

  • @alexkinyaiya7684
    @alexkinyaiya7684 5 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri hamcheleweshi sirizi..

  • @Rui_Lvs
    @Rui_Lvs 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu kumbe za ovyo tu. 😂😂

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 5 หลายเดือนก่อน +1

    Funga funga tuondoke..... 😂

  • @Naima-v6v
    @Naima-v6v 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana kwa kutupea mambo matan on time 🎉🎉🎉

  • @SelinaKadzo-q2u
    @SelinaKadzo-q2u 5 หลายเดือนก่อน

    Mweni anaroho mbya kama unene wa uso wake😂😂😂

  • @DorinCherop
    @DorinCherop 5 หลายเดือนก่อน

    So nice team tanu

  • @AbdulrahmanKilemba-m9c
    @AbdulrahmanKilemba-m9c 4 หลายเดือนก่อน

    Movie kali sana

  • @KhadijahDidah
    @KhadijahDidah 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka tanu naomba ukubali uwo mkoba jamanii😅😅❤❤🎉mana mapenzi yamekukataa😅😅😢

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 5 หลายเดือนก่อน

    Yani hi nitamu😂😂😂🎉🎉🎉❤

  • @KaisiMwakyusa
    @KaisiMwakyusa 5 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka tanu amependeza na nguo za ukweni afu zimechafuliwa hadi huruma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ddomintv2891
    @ddomintv2891 5 หลายเดือนก่อน

    Nampenda halima jaman

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 5 หลายเดือนก่อน

    Ila TANU 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HlmS-y5l
    @HlmS-y5l 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu Umechizika ukisema cha mini wenzio wanasema utakipata lini

  • @hassansalim5263
    @hassansalim5263 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona Sauti mbaya, Mzee Mbwela

  • @SaidyOdo
    @SaidyOdo 5 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwer

  • @LeyGabash
    @LeyGabash 5 หลายเดือนก่อน

    🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @Awoshy
    @Awoshy 5 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela 😂😂😂

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana . Kutoka Gikombaa nairobi

  • @Ramlatshabani
    @Ramlatshabani 5 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela 😂😂😂🙌

  • @Fatumabeuty-bx1qo
    @Fatumabeuty-bx1qo 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂tanu amepigwa chini adi eaha

  • @CathelineMaaruful
    @CathelineMaaruful 4 หลายเดือนก่อน

    Ila huyo mdada wenu mwenye macho makubwa anatutisha jaman hadi tunarusha kipande chake mwambie apunguze kutoa macho hayo yanatisha khaaa

  • @kjhhh5322
    @kjhhh5322 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu kachanginyikiwa 😅🇧🇮🇧🇮

  • @Clif-s4k
    @Clif-s4k 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka kaz zak unalet kwa wakat sana

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh nimuongo uyo mfanyibiashara😢

  • @AlSchk-eu1uy
    @AlSchk-eu1uy 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur

  • @HappyAdam-tf6ow
    @HappyAdam-tf6ow 2 หลายเดือนก่อน

    Ningekua tanu huyu mbwa namuotesha bushaaa

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 5 หลายเดือนก่อน

    Mwina upo vizuri

  • @772moana
    @772moana 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ElishaOlemammboneNancy
    @ElishaOlemammboneNancy 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @mercygisourire1498
    @mercygisourire1498 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali tano🎉🎉

  • @Edith-rq3mm
    @Edith-rq3mm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tanu naona mapenz yanakuwehusha

  • @marthaalex-zo3rd
    @marthaalex-zo3rd 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @JeremiaSamweli-f4m
    @JeremiaSamweli-f4m 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi kama masai sijawahi kuona muvie ambae imepatiwa beat aliuwa mama leloo aliuwa baba leloooo

  • @joshuanyaulingo4109
    @joshuanyaulingo4109 5 หลายเดือนก่อน +1

    huyo sibomana ako na nyash atar

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 5 หลายเดือนก่อน

    Ndii kufika

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi Tanu

  • @hassansalim5263
    @hassansalim5263 5 หลายเดือนก่อน

    Rekebisha Mitambo, Mbwela na tanu

  • @Dee_ano
    @Dee_ano 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu katia aibu wanaume wenye ndevu 😅😅

  • @davidnyongesa7767
    @davidnyongesa7767 5 หลายเดือนก่อน

    Jiongezeni fupi sana picha zenu

  • @tatuwaziri6122
    @tatuwaziri6122 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu chukua mkoba wa mama utulie

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 5 หลายเดือนก่อน

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 หลายเดือนก่อน

    Unatapatapa kama mfa maji tanu😂😂😂

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 5 หลายเดือนก่อน

    Oooh

  • @NahishakiyeMagnifique
    @NahishakiyeMagnifique 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu anamapenz yakwer 😂😂😂

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu wa ovyo saaana 😂

  • @kinged9862
    @kinged9862 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona leo niko hapa mapema.

  • @NahishakiyeMagnifique
    @NahishakiyeMagnifique 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu 😂😂😂😂

  • @gyslaineiradukunda6731
    @gyslaineiradukunda6731 5 หลายเดือนก่อน

    Sauti iko vibaya

  • @rajabachu878
    @rajabachu878 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂Tanu bhana mtaka yote kakosa yote

  • @JanetSimiyu-j8o
    @JanetSimiyu-j8o 5 หลายเดือนก่อน

    Eish😂😂😂

  • @AllyJackson-sd6kg
    @AllyJackson-sd6kg 5 หลายเดือนก่อน

    Tunu ww nakuona kwenye jicho lambali ww ndio utakuwa mlisi wakanumba soh kaza

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah 5 หลายเดือนก่อน

    Nimewai Leo

  • @preciousbae9465
    @preciousbae9465 5 หลายเดือนก่อน

    Ila Tanu ka fala haujui kipi anataka kwenye Moyo wakee😂😂😂🚮💔 ananikwaza

  • @rajabachu878
    @rajabachu878 5 หลายเดือนก่อน

    Mikwara mingiii 😂😂 hakuna kitu Tanu

    • @tanuplus
      @tanuplus  5 หลายเดือนก่อน +1

      We acha tu

    • @rajabachu878
      @rajabachu878 5 หลายเดือนก่อน

      @@tanuplus 😄😄

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 5 หลายเดือนก่อน

    Mapenz co kitu chakukiendekeza hakika nawaambieen

  • @sarahdonte2183
    @sarahdonte2183 5 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉