Mageuzi makubwa eneo la abiria bandari ya Dar es Salaam, Mkurugenzi ataja kila kitu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว

    Finally imeoneka kwani ni kitu kilikuwa hakinipi Raha kwani jengo na wapiga debe wamezidi mpaka inakuwa Kero Kwa wasafiri na haswa Watalii. Pia hao wapiga debe wa nje wengi wanakuwa hawajaoga na wamevaa nguo chafu na hilo linakera sana Abiria kwani wanang’ang’ania watu sana na hawasikii hata uwaambie huhitaji ticket Au bidaboda Au bajaji badi wanaendelea kusumbua.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +1

    kama ni ivo mtafanya jambo Jema sana

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      Wamempa mkandarasi local hawezi kujenga kitu cha kuvutia

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 duh ndio.washapiga mapesa wamempa mkandarasi.wa ovyo

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      @@yahyahamad1802 mkuu ndio tatizo hawa wenye madaraka wako wabinafsi sana na hawana uzalendo , kama hela ipo ilitakiwa kumpa mkandarasi atakayejenga kitu cha kuvutia kama nchi zilizoendelea au Ulaya

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 ah ndio.ivo tena wakubwa huamua wanavotaka

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

    Ami and vai ni mkandarasi local sidhani kama atajenga kitu cha maana na kilichokuwa cha kuvutia, mngewapa makampuni ya nje yenye historia ya kujenga vitu vya maana, hata makampuni ya nchi za Scandinavia ni wazuri kwenye ujuzi wa majengo ya abiria kama hayo , au huyo mkandarasi local ni ndugu yenu au mambo ya asilimia 10?